09/01/2025
UDANGANYIFU KATIKA KCSE 2024
Watahiniwa 840 walihusika katika udanganyifu wa KCSE 2024.
Walimu na wataalamu aidha walihusika kuwasaidia katika udanganyifu.
Waliohusika na udanganyifu matokeo yao yalighairiwa.