Radio 47 Hapa Ndipo

  • Home
  • Radio 47 Hapa Ndipo

Radio 47 Hapa Ndipo Bonge la Radio. 📻

Stesheni inayovuma Kwa Kasi zaidi.
(6)

Aleksandar Pavlovic will miss the   through tonsillitis.
12/06/2024

Aleksandar Pavlovic will miss the through tonsillitis.

Billy Miya  anamhata mwenzake Mbaruk Mwalimu  kwenye show lakini mwanaume ni effort 💪.
12/06/2024

Billy Miya anamhata mwenzake Mbaruk Mwalimu kwenye show lakini mwanaume ni effort 💪.

Karibu ndani ya the baddest and hottest drive show in Africa  .   Billy Miya
12/06/2024

Karibu ndani ya the baddest and hottest drive show in Africa .
Billy Miya

Leo kwenye kipindi chetu cha muziki, tunayo furaha kumkaribisha msanii maarufu na mwenye vipaji vikubwa ambaye amevuma s...
12/06/2024

Leo kwenye kipindi chetu cha muziki, tunayo furaha kumkaribisha msanii maarufu na mwenye vipaji vikubwa ambaye amevuma sana kwenye anga za muziki. Ungana nasi kwenye tukiwa naye Cartoon47 .🔥🔥
Manucho the Young Baller DJ IMMO KENYA

Mambo ni freshi barida na Manucho the Young Baller  na DJ IMMO KENYA  usibonyeze kidude.
12/06/2024

Mambo ni freshi barida na Manucho the Young Baller na DJ IMMO KENYA usibonyeze kidude.

Unyama ni mwingi sana..  ana stori hapa
12/06/2024

Unyama ni mwingi sana.. ana stori hapa

Karibu ndani ya   ukiwa na Manucho the Young Baller  na   tayari kuwapa muziki na burudani kibao.
12/06/2024

Karibu ndani ya ukiwa na Manucho the Young Baller na tayari kuwapa muziki na burudani kibao.

Food is food.
12/06/2024

Food is food.

Why is it like that?
12/06/2024

Why is it like that?

Hii ya leo ni k**a movie… Goodmorning
12/06/2024

Hii ya leo ni k**a movie… Goodmorning


Masaa ni ya kuchikicha na   na   kwenye Mchikicho.
12/06/2024

Masaa ni ya kuchikicha na na kwenye Mchikicho.

Chilling with the Bigboyz of Radio        Alex Mwakideu
12/06/2024

Chilling with the Bigboyz of Radio
Alex Mwakideu

We thank God for a new day. Welcome to your favourite Breakfast 47 show   with the BigBoyz of Radio.Captain Emmanuel Mwa...
12/06/2024

We thank God for a new day. Welcome to your favourite Breakfast 47 show with the BigBoyz of Radio.
Captain Emmanuel Mwashumbe Alex Mwakideu

Wavuti: www.radio47.fm

 ... UTUKUFU WA BWANA USIONDOKE, IKABODI! 1 Samweli 4:19-22Mkwewe, mke wa Finehasi, alikuwa mjamzito na karibu wakati wa...
12/06/2024

... UTUKUFU WA BWANA USIONDOKE, IKABODI! 1 Samweli 4:19-22

Mkwewe, mke wa Finehasi, alikuwa mjamzito na karibu wakati wa kujifungua. Aliposikia habari kwamba Sanduku la Mungu limetekwa na ya kuwa baba mkwe wake na mumewe wamekufa, akapata utungu naye akajifungua lakini akazidiwa na utungu. Alipokuwa akifa, wanawake waliokuwa wanamhudumia wakamwambia, “Usikate tamaa, umemzaa mwana.” Lakini hakujibu wala kuweka maanani. Alimwita yule mtoto Ikabodi, akisema, “Utukufu umeondoka katika Israeli,” kwa sababu ya kutekwa kwa Sanduku la Mungu na vifo vya baba mkwe na mumewe. Akasema, “Utukufu umeondoka katika Israeli, kwa kuwa Sanduku la Mungu limetekwa.” Ni uchungu na hatari kiwa katika hali ya Ikabodi yaani kuondokewa na utukufu wa Mungu pale utakosa kibali kabisa, utang'ang'ana vibaya, utakataliwa karibu na kila mtu maana huna utukufu! Nakuombea Ikabodi isiwahi kuja kwa maisha yako, mpendeze Mungu Na ufuate maagizo yake, utukufu wake utakujaa. Tukutane Galilaya!

Another fine Tuesday ... karibu ndani ya   na Mwasi wa Ingo Cate Kulo. Je, unasikiliza ukiwa wapi?
11/06/2024

Another fine Tuesday ... karibu ndani ya na Mwasi wa Ingo Cate Kulo. Je, unasikiliza ukiwa wapi?

11/06/2024

Wanaume, ni nini inakufanya ujihisi mwanaume kamili leo hii?

Men, stop making promises to children when you know you can't marry their mother.     The REAL Dr.Ofweneke
11/06/2024

Men, stop making promises to children when you know you can't marry their mother. The REAL Dr.Ofweneke

"Mama yangu ndio kila kitu hata mimi hujiita mtoto wa Khadija.Yeye ndo amenilea mpaka mahali nimefika, so my upcoming al...
11/06/2024

"Mama yangu ndio kila kitu hata mimi hujiita mtoto wa Khadija.Yeye ndo amenilea mpaka mahali nimefika, so my upcoming album nataka kuiita jina yake na pia yeye ndio atakuwa cover" Mejja says.


Have ladies become cheap nowadays?     The REAL Dr.Ofweneke
11/06/2024

Have ladies become cheap nowadays? The REAL Dr.Ofweneke

Men its our time! Karibu ndani ya   ukiwa na mtetezi wa wanaume The REAL Dr.Ofweneke.
11/06/2024

Men its our time! Karibu ndani ya ukiwa na mtetezi wa wanaume The REAL Dr.Ofweneke.

Full-time Kenya O-0 Ivory Coast Thoughts on the game?
11/06/2024

Full-time

Kenya O-0 Ivory Coast

Thoughts on the game?

⏱️ 62'Kenya 🇰🇪  0-0 Ivory Coast 🇨🇮 Je, unadhani Harambee Stars wataweza kupata ushindi hapa?
11/06/2024

⏱️ 62'

Kenya 🇰🇪 0-0 Ivory Coast 🇨🇮

Je, unadhani Harambee Stars wataweza kupata ushindi hapa?

Jikakamue mpaka uipate mwishowe 💪Billy Miya
11/06/2024

Jikakamue mpaka uipate mwishowe 💪
Billy Miya

Sasa kuuma mtoto masikio ndio kumchezesha au kumuumiza?😂😂
11/06/2024

Sasa kuuma mtoto masikio ndio kumchezesha au kumuumiza?😂😂

Billy Miya leo ameweza kweli anagive rich mbabaz vibes 🔥😍
11/06/2024

Billy Miya leo ameweza kweli anagive rich mbabaz vibes 🔥😍

Masaa ni ya udaku, habari, taarifa na uhondo ndani ya Maskani47 ukiwa na  . Je, unasikiliza ukiwa wapi? Billy Miya Mbaru...
11/06/2024

Masaa ni ya udaku, habari, taarifa na uhondo ndani ya Maskani47 ukiwa na . Je, unasikiliza ukiwa wapi? Billy Miya Mbaruk Mwalimu

"Inakuwa upweke sana kuwa star, niamini, wakati mwingine ninamiss kupanda matatu bila kuangaliwa. Nimekuwa upweke kiasi ...
11/06/2024

"Inakuwa upweke sana kuwa star, niamini, wakati mwingine ninamiss kupanda matatu bila kuangaliwa. Nimekuwa upweke kiasi kwamba nimehamia kwa nyumba za shemeji yangu na watoto wangu" Akothee asema.

Tuko live ndani ya   naye Manucho the Young Baller  na Deejay Darvo  wameandaa burudani tele.
11/06/2024

Tuko live ndani ya naye Manucho the Young Baller na Deejay Darvo wameandaa burudani tele.

UPDATE: Wreck of the missing aircraft carrying Malawi VP Saulos Chilima and others found. Malawian President Lazarus Cha...
11/06/2024

UPDATE: Wreck of the missing aircraft carrying Malawi VP Saulos Chilima and others found. Malawian President Lazarus Chakwera to address the nation soon.

Karibu ndani ya   ukiwa na Manucho the Young Baller na Deejay Darvo tayari kuwapa muziki kibao. Unatuskiza ukiwa wapi si...
11/06/2024

Karibu ndani ya ukiwa na Manucho the Young Baller na Deejay Darvo tayari kuwapa muziki kibao. Unatuskiza ukiwa wapi siku ya leo?
Wavuti:radio47.fm

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio 47 Hapa Ndipo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share