Sauti

Sauti Habari zinazochipuka kwa lugha ya Kiswahili.

Gospel artist Redemption born Brian Juma finally addresses rumours he is dating Mulamwah's ex girlfriend Carrol Sonnie.T...
24/05/2022

Gospel artist Redemption born Brian Juma finally addresses rumours he is dating Mulamwah's ex girlfriend Carrol Sonnie.

The musician has also reconciled with gospel artist Guardian Angel. https://youtu.be/Zj9ZS-6mu1k

11/08/2021

10/08/2021

Kulikoni kati ya Raila Odinga na Kalonzo Musyoka? Watazame.

Utata wazunguka kutimuliwa kwa Ezekiel Mutua k**a afisa mkuu mtendaji wa KFCB baada yake kufahamu kufutwa kwake huku aki...
06/08/2021

Utata wazunguka kutimuliwa kwa Ezekiel Mutua k**a afisa mkuu mtendaji wa KFCB baada yake kufahamu kufutwa kwake huku akiendelea na hafla.

Ezekiel Mutua anahusishwa na sakata ya ulipaji wa mishahara na marupurupu katika bodi hiyo.

Christopher Wambua kutoka mamlaka ya CAK amechukua wadhfa huo k**a kaimu afisa mkuu mtendaji.

Mapenzi kikohozi...Nadia Mukami na Arrow Bwoy wapata dozi.
04/08/2021

Mapenzi kikohozi...Nadia Mukami na Arrow Bwoy wapata dozi.

Je, Wajua?
02/08/2021

Je, Wajua?

Je, Unamfahamu kiongozi huyu?
28/07/2021

Je, Unamfahamu kiongozi huyu?

Msanii Moussa Sandiana Kaba, jina maarufu 'Grand P' amepata mchumba mwingine muda mfupi baada ya kuachana na kipusa wake...
24/07/2021

Msanii Moussa Sandiana Kaba, jina maarufu 'Grand P' amepata mchumba mwingine muda mfupi baada ya kuachana na kipusa wake wa muda mrefu Eudoxie Yao. Imebainika kuwa Grand P amemtema Eudoxie ambaye hufahamika k**a Kim Kardashian wa Afrika.

Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Freeman Mbowe ametiwa nguvuni na maafisa wa polisi akiwa katika chumba chake katika...
21/07/2021

Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Freeman Mbowe ametiwa nguvuni na maafisa wa polisi akiwa katika chumba chake katika hoteli moja jijini Mwanza, Tanzania.

Mbowe alik**atwa alipokuwa akihudhuria mkutano wa chama chake cha Chadema.

Polisi hawajatoa sababu za kuk**atwa kwake.

Ndege inayoendeshwa na kampuni ya Skyward Express yaanguka katika kaunti ya Mandera. Ndege hiyo imeanguka katika mpaka w...
21/07/2021

Ndege inayoendeshwa na kampuni ya Skyward Express yaanguka katika kaunti ya Mandera.

Ndege hiyo imeanguka katika mpaka wa Kenya na Somalia.

Hakuna ripoti za moja kwa moja kuhusu majeruhi japo imeripotiwa kuwa abiria wachache wamepatwa na mshtuko baada ya kunusurika kifo.

Je, Unamfahamu Kiongozi huyu?
21/07/2021

Je, Unamfahamu Kiongozi huyu?

21/07/2021

Leo ni mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa mwigizaji maarufu Charles Bukeko jina maarufu Papa Shirandula.Unamkumbuka vi...
18/07/2021

Leo ni mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa mwigizaji maarufu Charles Bukeko jina maarufu Papa Shirandula.

Unamkumbuka vipi Papa Shirandula?

Picha zinaendelea kuibuka za mwanamke aliyevalia nguo na kuwa na umbo sawa polisi muuaji Caroline Kangogo aliyejiua kwa ...
17/07/2021

Picha zinaendelea kuibuka za mwanamke aliyevalia nguo na kuwa na umbo sawa polisi muuaji Caroline Kangogo aliyejiua kwa kujipiga risasi jana.

Maafisa wa upelelezi wanaendelea kupata kizungumkuti kutegua kitendawili cha mauaji aliyoyatekeleza kangogo kabla ya kujitoa uhai.

16/07/2021

Mchekeshaji maarufu na mtangazaji wa Kiss 100 Felix Odiwuor jina maarufu JALANG'O amejiunga rasmi na chama cha ODM. Jala...
15/07/2021

Mchekeshaji maarufu na mtangazaji wa Kiss 100 Felix Odiwuor jina maarufu JALANG'O amejiunga rasmi na chama cha ODM. Jalang'o ni mmoja walioonyesha nia ya kugombea kiti cha eneo bunge la Lang'ata katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022 .

15/07/2021

Msani wa Bongo Diamond Platnumz awanyamazisha wenye kinyongo kwa kutoka na msafara wa magari yake ya kifahari ikiwemo gari aina ya Rolls-Royce Cullinan aliyonunua na kuzindua hapo jana.

Address

Nairobi
254

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sauti posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sauti:

Videos

Share

Nearby media companies



You may also like