LIVE COVERAGE FOR THE LATE MZEE PETER WANYANGU IN MUHAKA KHWISERO SUBCOUNTY
WAZAZI WA WATOTO WALIOPOTEA WAOMBWA KUWACHUKUWA WANA WAO KAYOLE.
BURIAL SERVICE FOR THE LATE MAMA PERIS AMBOKO AT KHWISERO ACK GROUNDS
Mwanamume mmoja ni kidosho wake wakwama kwenye tendo huko Sabatia kaunti ya Kakamega
Emalindi Kisa East is Hon Aseka Wangaya's bedroom.
Mbunge wa Khwisero mheshimiwa Christopher Aseka ameubeza mfumo wa Kiuchumi wa Bottom up unaoshabikiwa na mrengo wa Kenya kwanza akiutaja Kama njia ya kuwaibia wakenya. Bwana Aseka amesema haya katika Kijiji Cha Mushinaka,Kata ndogo ya Mundobelwa Alipowatembelea Wananchi wa eneo hilo. Mbunge huyo amezidi kumsuta mwaniaji kiti cha ugavana kaunti ya Kakamega bwana Cleophas Malala akimtaja Kama mtu anayefikiria zaidi akitumia tumbo badala ya kutumia akili.
ASEKA NI MZIMBITING! Hon Aseka hillariously joins students of Shiongo in a wrap. Everybody is singing Aseka Tano tena. From poems to songs! Huyu Aseka Kweli ni MZIMBITING!
Hon Aseka meets asmall Aseka on the dance floor. Ebulwani Primary School is now officially registered by the Ministry of Education courtesy of Aseka Wangaya's efforts. Huyu alipita kitambo anasubiri tu kuapishwa.