Steve stano

Steve stano The TRUE TELLER AND PEACE Maker

Celebrating my 1st year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉
09/10/2024

Celebrating my 1st year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

20/09/2024

Nothing good comes in the easiest way..you must toil to gain from pain

Mi husaka chapaaDaily na morio mtaaWadhani mi huvuta jaba Ndo ni pate chapaaAiii,zii hiyo nakataaHekaya za abunuasi naVi...
29/05/2024

Mi husaka chapaa
Daily na morio mtaa
Wadhani mi huvuta jaba
Ndo ni pate chapaa
Aiii,zii hiyo nakataa
Hekaya za abunuasi na
Vitina za tinah ndo zimejaa
Kwa ndimi zao wakati za
Kwao zimewashinda
Mi huforcus na
Life yangu,ili mwisho wa
siku nipate tabasamu iliyo ya
Tamasha Bali sio ya tamaa
Nakushukuru ewe jalali kwa
Kunijalia kuiona hii mida
Zidi kunijalia ili wanao nichukia
Ikuwe testimony kuwa
Wewe ndo jalali na
Halali wa siku zote,ju hua
Nasoma testament zote new na
Old kwa sasa
Nafahamu bila
Wewe maisha balaa bin belua 🙏🙏

Address

Kilimani
Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Steve stano posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Steve stano:

Share