16/06/2023
Jambo Gidi Na Ghost, naitwa Alex Romano Wamalwa, 26yrs kutoka Lutungu Soko ya Nyange, Bungoma County. Naomba mnipatanishe na mke wangu Caren Wasike, 22yrs. Tumekuwa kwa ndoa for 3yrs na tuko na mtoto moja. Nilikosana na bibi yangu on March 2022 baada ya yeye kufikiria niko na mpango wa kando. Nilikuwa nimepeleka ng'ombe na mbuzi kwao alafu baadae nikaenda nikazirejesha tena na akakasirika na akaenda kwao.