Lewamo Lewamo

  • Home
  • Lewamo Lewamo

Lewamo Lewamo Short hot stories
(5)

11/02/2025

Mrembo hata ufiche mimba 🤰 yako aje kwa kupost selfie pics tu jua tu sisi tunajua mapua ya a pregnant woman yanavyoonekana

11/02/2025

Mwalimu wa ulimwengu hajali k**a umelipa fees, anakufunza tu 😂

MAMBO MBOTELA BURIAL DATE:■ Veteran Football commentator Leonard Mambo Mbotela will be laid to rest on Saturday, Februar...
10/02/2025

MAMBO MBOTELA BURIAL DATE:

■ Veteran Football commentator Leonard Mambo Mbotela will be laid to rest on Saturday, February 15th, at the Lang’ata Cemetery.

■ Mambo Mbotela passed away on February 7th at the age of 85.

For those well wishers who need to support the burial of the late you can send anything to this M-pesa no.0704308058

MAY GOD BLESS YOU ABUNDANTLY 🙏

Hizi ni gani Baba Talisha.🤣🤣🤣🤣Anyway thank you for everything
09/02/2025

Hizi ni gani Baba Talisha.🤣🤣🤣🤣

Anyway thank you for everything

09/02/2025

Mrembo iwapo umeamka na sasa unataka kwenda date badala ya kwenda kanisani nakuombea ushike mimba 🤰

Leo nakula special lunch hapaNani anataka kunijoin?
08/02/2025

Leo nakula special lunch hapa
Nani anataka kunijoin?

Gotea mwenzako umwambie 'Tricky sana'Mimi nilikuwa nafikiria MCA Tricky ni Mkamba kumbe ni Masaai kutoka Ukambani 🤣Happy...
07/02/2025

Gotea mwenzako umwambie 'Tricky sana'

Mimi nilikuwa nafikiria MCA Tricky ni Mkamba kumbe ni Masaai kutoka Ukambani 🤣

Happy birthday to you MCA Tricky

06/02/2025

Kuna Maasai mwingine huku nimeonyesha jinsi ya kupost picha huku Facebook ametuma mtoto wake akaniletee mbuzi wawili🤣

LAST YEAR'S VALENTINES DAY👉🔥🙆Kuna mrembo alikuwa ananiandikia message za love🥰 kwa inbox yangu huku Facebook.Sasa jana a...
06/02/2025

LAST YEAR'S VALENTINES DAY

👉🔥🙆Kuna mrembo alikuwa ananiandikia message za love🥰 kwa inbox yangu huku Facebook.Sasa jana asubui aliniandikia 'Akh sweetheart Lewamo usinilenge hivyo leo ni Valentines day'.
Nikaangalia hiyo message yake nikaona kweli huyu dem ako serious anataka tumeet.

Sasa mwendo wa saa nne asubui nilikuwa nimekwisha mpea Sharon surprise yake ya Valentines day.Sasa nikaona niende nimeet huyo dem anayenisumbua na message za mapenzi.Nikaingia kuoga kutoka bafuni nikapata Sharon hayupo ndani ya nyumba nikaona nimpigie simu nimwambie nimetoka.Akaipokea

Me:Beb nimeitwa kazini kuna emergency imetokea huko.
Her:Niko huku sokoni narejea sahii mimi.

Nikatoka kisha nikatext huyo dem nikamwambia anitumie number yake.Bila kusita dem akanitumia🙆.Nikampigia nikamwambia tumeet karibu na Naivas Supermarket.Dem akaitikia mara moja nikafunga safari hadi Naivas supermarket.
Kufika nikampigia simu kumuuliza iwapo ashafika pia.
Dem akaichukua kisha akaniuliza nimevaa nguo rangi gani.Nikamweleza nilivyokuwa nimevaa baada ya dakika chache dem alinipigia akaniambia hata ashaniona akaniambia nikuje hadi kwenye lango kuu amesimama hapo kufika hapo tu hivi nilishtuka kupata ni sharon alikuwa ananipima💔.
'Beb huku ndio emergency kazini' Sharon aliuliza.
Hadi kwa sasa bado sijamjibu hilo swali lake.
Kumbe alikuwa ametumia number mgeni ambayo sina💔.

Ogopeni this daughters of Jezebel akh🤣🤣

Thursday T.B.T pale RIYABE PRIMARY SCHOOL after K.C.P.E examAkh Mungu hutoa watu mbali🙏 Nakumbuka shuleni Mwalimu alikuw...
06/02/2025

Thursday T.B.T pale RIYABE PRIMARY SCHOOL after K.C.P.E exam
Akh Mungu hutoa watu mbali🙏

Nakumbuka shuleni Mwalimu alikuwa anatuuliza ukiwa mkumbwa unataka kuwa nini?
Sasa before wakuroge wewe unayesoma hii post ulikuwa unataka kuwa nini maishani?
Yangu Iko kwa comment section

Ulikuwa msoto sana alafu uokote hii What will you do as a good Christian???
06/02/2025

Ulikuwa msoto sana alafu uokote hii

What will you do as a good Christian???

05/02/2025

Mrembo iwapo unanyonyesha uwe unasema Jana kwa club Karibu nimeze maziwa🤣🤣🤣

04/02/2025

Sitawahi nunua hizi bulb coloured tena
Nimemwaga maziwa yangu nje nikifikiria ni supu ya maharagwe 💔

🙆🔥🤔Leo nikiwa tao kidogo nimesikia sauti ya mrembo ikiniita 'Lewamo! Lewamo!''Na hii sauti mbona inakaa k**a ya mtu amba...
04/02/2025

🙆🔥🤔Leo nikiwa tao kidogo nimesikia sauti ya mrembo ikiniita 'Lewamo! Lewamo!'
'Na hii sauti mbona inakaa k**a ya mtu ambaye ninamjua? Nikajiuliza🤔.
Nikaamua kuangalia nyuma yangu ili nimwone haswa anayeniita.
Kugeuka nilishtuka kumwona Ex-Girlfriend wangu🙆.

Her:(Huku akinisakimia) Lewamo huyu ni wewe🤣?
Me:(Nikisalimika)Ndiye yuyu mimi haswa.
Her:Nimekuonea mbali sana na nowadays umenona.
Me:Ni ya Mungu tu.
Her:Nakuambia heri tu ningekuvumilia.
Me:Mbona.
Her:Ni kufurushwa nimefurushwa kutoka kwangu na bwanangu kutoka jana jioni sijala chochote💔 na sina pesa hata shilingi moja🤔
Me:Twende kwa mkahawa upate chakula kwanza ndio tuendelee na mazungumzo
Her:Sawa akh utakuwa umenisaidia sana.

Kidogo tukaingia kwa hoteli nikamwambia huyo Ex girlfriend wangu aitishe chakula.

Her:Niitishe ya pesa ngapi?
Me:Itisha chakula chenye utakula ushibe.
Her:Asanti sana akh.

Kidogo waiter akakuja akaniuliza kwanza nataka chakula kipi nikamshow niko sawa labda huyo mrembo akupe order yake.
Dem akaitisha Chipo kuku full na Soda nikaangalia menu nikaona inacost ksh1500.Akaletewa chakula alichokiagiza akakula hiyo chipo kuku ak**aliza wakati alianza kuteremsha soda nilianza kukumbuka ile heartbreak 💔 aliyonipa nikaamka nikamwambia naenda msalani narejea nilipe bill na hivyo ndivyo nilimwacha kwa hiyo hoteli.

mimi sipendi ujinga🤣

Ndio nimeingia kwa nyumba na hii shopping wife amekataa kuniongelesha kwani ina ubaya gani my brothers and sisters 🙆🙆🙆🙆
03/02/2025

Ndio nimeingia kwa nyumba na hii shopping wife amekataa kuniongelesha kwani ina ubaya gani my brothers and sisters 🙆🙆🙆🙆

Huyu Dr. Fred Matiang'i Man of actions If you love him usimnyime like yako please
03/02/2025

Huyu Dr. Fred Matiang'i
Man of actions
If you love him usimnyime like yako please

Unavyoona ukifa sahii huyo bae unayedate anaweza kaa kwa tent ya Familia amah atakaa kwa fance k**a sisi🤣🤣🤣
03/02/2025

Unavyoona ukifa sahii huyo bae unayedate anaweza kaa kwa tent ya Familia amah atakaa kwa fance k**a sisi🤣🤣🤣

Kabla ya marriage inakuanga hivi👇👇👇👇Chali:==fanya hivyo.Dem:==unataka nitoke!?Chali:==aaai apanaDem:==unanipenda?Chali:=...
02/02/2025

Kabla ya marriage inakuanga hivi
👇👇👇👇

Chali:==fanya hivyo.

Dem:==unataka nitoke!?

Chali:==aaai apana

Dem:==unanipenda?

Chali:==C ndio

Dem:==utakua na mpango wa kando

Chali:==hiyo ni upuzi siezi fanya

Dem :==utanikiss milele

Chali:==kila time

Dem:==utakua unanipiga

Chali:==aaai hiyo haiwezekani

Dem:==naweza kukutrust

Chali:==yeah!!!!

Dem:==my love

𝚜𝚊𝚜𝚊 𝚞𝚔𝚒𝚝𝚊𝚔𝚊 𝚔𝚞𝚓𝚞𝚊 𝚟𝚒𝚕𝚎 𝚔𝚞𝚗𝚊𝚎𝚗𝚍𝚊𝚗𝚐𝚊 𝚊𝚏𝚝𝚎𝚛 𝚖𝚊𝚛𝚛𝚒a𝚐𝚎 𝚜𝚘𝚖𝚊 𝚞𝚔𝚒𝚎𝚗𝚍𝚊 𝚓𝚞𝚞
😂😂😂

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lewamo Lewamo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lewamo Lewamo:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share