Chelule Moi

Chelule Moi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chelule Moi, Broadcasting & media production company, P. o Box 32, Amalo, Nairobi.

Syndrome might be down but flex is all the way up 🔥
06/02/2025

Syndrome might be down but flex is all the way up 🔥

Happy birthday to Me1st July  ndio huwa nafile return ya mwaka,maisha inawaka,Huu Mwaka itajipaThanks Heaven
01/07/2024

Happy birthday to Me

1st July ndio huwa nafile return ya mwaka,maisha inawaka,Huu Mwaka itajipa

Thanks Heaven

Siri ya Kuomoka ni Kucheza Cheza Crash Leo.Stay alert; don't miss out on the fun. Join the excitement at chezacrash.com ...
01/02/2024

Siri ya Kuomoka ni Kucheza Cheza Crash Leo.
Stay alert; don't miss out on the fun. Join the excitement at chezacrash.com and stand a chance to win up to Kshs. 100,000. Additionally, invite others!

No need to Imagine it Anymore !!Play, Enjoy and Make Money.Cheza the hottest platform today, chezacrash.comKuomoka ni Th...
15/01/2024

No need to Imagine it Anymore !!
Play, Enjoy and Make Money.
Cheza the hottest platform today, chezacrash.com
Kuomoka ni This Year !!

NAKURU INTERNATIONA COLLEGE,January Intake,kindly lets enroll for Diplomas,Certificate and Good Artisan Courses!Watu wan...
22/12/2023

NAKURU INTERNATIONA COLLEGE,January Intake,kindly lets enroll for Diplomas,Certificate and Good Artisan Courses!Watu wangu wa Journalism tuzame hapa Mbio mbio.
Call 0720690821

Happy Birthday manyuun Clemo-the digital man,May you live long🎂
22/08/2023

Happy Birthday manyuun Clemo-the digital man,May you live long🎂

Ninapenda viazi karai, but nimenokii mathe wa mayai,wote wako sokoMoja na niko na mbao moja,na  wote wawili wanaidai,mba...
22/07/2023

Ninapenda viazi karai, but nimenokii mathe wa mayai,wote wako soko
Moja na niko na mbao moja,na wote wawili wanaidai,mbao nimpatie nani?,nikule food gani?,i need to be wise with my cash na sitaki kupeteza Cr*sh...

HAPPY BIRTHDAY TO MEHalloo,mwaka ni mpaya kwangu,napiga saluti,kitu safi ni mimi na Suti,Shukrani za dhati kwa munguTo m...
01/07/2023

HAPPY BIRTHDAY TO ME

Halloo,mwaka ni mpaya kwangu,napiga saluti,kitu safi ni mimi na Suti,Shukrani za dhati kwa mungu

To many many Poet Moi

Happy Fathers day Dad,mimi ndio nitaleta Tittle deeds,Maisha ni fupi sana,ukipenda babangu hivi tutauza mpaka nyumba zet...
18/06/2023

Happy Fathers day Dad,
mimi ndio nitaleta Tittle deeds,Maisha ni fupi sana,ukipenda babangu hivi tutauza mpaka nyumba zetu😋😂😋!kwanza “kipara” ya mzee nataka ipigwe mafuta 24/7,I love you Dad.

Mararetab Jumapili,Volume lazima iwe Full,itagat🙏2pm-7pmEmoo Fm
23/04/2023

Mararetab Jumapili,
Volume lazima iwe Full,itagat🙏
2pm-7pm

Emoo Fm

Nikiwa MMU nili-host Third year fulani alikuwa attacho ndio tulipe rent 50 - 50, jamaa alidiscover baadaye ile rent nusu...
19/04/2023

Nikiwa MMU nili-host Third year fulani alikuwa attacho ndio tulipe rent 50 - 50, jamaa alidiscover baadaye ile rent nusu alikuwa ananipea ndio ilikuwa full rent na bado nabaki na change😂....atestai ana abakach...

Hii Scarf nilibuyiwa na Mum juu hiyo time ilikuwa inanyesha na baridi sana,mimi kuenda music Festivals Nikapatana na Mre...
13/04/2023

Hii Scarf nilibuyiwa na Mum juu hiyo time ilikuwa inanyesha na baridi sana,mimi kuenda music Festivals Nikapatana na Mrembo wa CHELILIS Girls nikamsaidia, nilimpa Scarf then akanipa namba yake akaniambia akifika HOME atanicall,saa hii ni 15 yrs hajawahi nicall,may be she is HOMELESS...

26/02/2023

Emoo Fm

Mararetab Jumapili

Scola LadyDj ak Chelule Moi

Kindly follow this page💪

Na Hii Uchumi Kulipa mahari inapaswa kuwa ng’ombe ngapi?
23/02/2023

Na Hii Uchumi Kulipa mahari inapaswa kuwa ng’ombe ngapi?

Address

P. O Box 32, Amalo
Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chelule Moi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chelule Moi:

Share