03/08/2023
MADEM WAKI CALL MADEM WENZETU...........
DEM 1: Hiiiii sweetheart, long time... Yaani a whole week huja call hata
DEM 2: Ooow dear... Aki nime kumiss, FB picha yako... Waah, sema urembo, figure nayo...!
DEM 1: Ah, thanks... Pia niliona yako na your guy... Wooow, I must say, ni cute. Nacome hivo kwako kesho evening... Si you can make some pancakes??
DEM 2: Wooow... You're coming? Ofcourse pancakes ni lazima, you know you can come over any time... You're my best friend ever.
[...AFTER THE CALL...]
DEM 1: Oh, that bitch competes with me in dressing, nkt... Ati FB picha urembo na vyenye amechapa... Na vile pancakes zake ni tasteless!!!
DEM 2: Damn... That w***e is coming here again... Waah... She is a pain in my ass and she just eats and eats...!..............BOY AKI-CALL BOY MWENZAKE.........
BOY 1: Eeeh punda hii... Unakuanga na ufala... A whole month, huwezi hata text??
BOY 2: Sikia sasa vile unabweka matope... Manze buda alikuwa m'sick... Kwani hukusikia nyani hii??
BOY 1: Haha, buda, na vile ni msee makupewa vitu chungu... Izza jo... Lakini hiyo kichwa yako kubwa unaipeleka wapi this weekend?
BOY 2: Sina mpango... Kwani unaniletea manzi yako, au nini? Hahaha
BOY 1: Nkt... Tokea nikupe moja mbili tuki watch game ya chelsea na man u...
BOY 2: Na vile wewe huwa msoto... hahahaha...But ni sawa, nitaku call sato morning... Cheers!!!
[...AFTER THE CALL...]
BOY 1: Mark is such a cool guy, he's funny, he is a true friend...
BOY 2: Eh manze Ben just makes me laugh, he's there for me any time. Niko sure kata nice on sato...
# MORAL:
β’ MaDem wengi ni pretenders kwa simu, but ndani yao... SUMU!!!
β’ MaChali ni jokers kwa simu, but ndani yao... Ni UPENDO!!!
TRUE OR FALSE??