![ZUCHU AKUBALI YAISHE NA DIAMOND ATANGAZA KUWA"PENZI LAO LIMEFIKA MWISHO"Msanii wa Bongo Fleva Zuchu ametangaza rasmi ku...](https://img4.medioq.com/161/451/1361900761614515.jpg)
13/11/2024
ZUCHU AKUBALI YAISHE NA DIAMOND ATANGAZA KUWA
"PENZI LAO LIMEFIKA MWISHO"
Msanii wa Bongo Fleva Zuchu ametangaza rasmi kuachana na mpenzi wake Diamond Platnumz ambaye pia ni Boss wake katika lebo ya muziki ya WCB, kupitia ukurasa wake wa Instagram ametangaza kuwa
"HELLO MY GOOD PEOPLE
AFTER THREE YEAR OF DATING ME AND NASIB WE HAVE POSITIVELY DECIDED TO CALL IT QUITS.THIS WAS A MUTUAL DECISION FROM BOTH PARTIES. WE DO HAVE AN UPCOMING PROJECT SO DON'T BE SUPRIZED WHEN IT IS RELEASED.WISHING SIMBA THE ABSOLUTE BEST.ASKING MY GOOD PEOPLE FOR YOUR ENDLESS POSITIVE SUPPORT AS MY MAIN FOCUS NOW IS HEALING AND MY CAREER.
YOURS SINCERELY ZUCHU".
Ikiwa na maana
"HABARI WATU WANGU WEMA
BAADA YA MIAKA MITATU YA KUWA KWENYE MAHUSIANO KATI YA MIMI NA NASIB TUMEAMUA VYEMA KUSITISHA. HAYA NI MAAMUZI YA PAMOJA KUTOKA KWA PANDE ZOTE MBILI. TUNA MRADI UNAOKUJA KWA HIYO USISHANGAE UTAKAPOTOKA. NAMTAKIA SIMBA KILA LA KHERI. NAWAOMBA WATU WANGU WAZURI SAPOTI YENU IKIWA HUU NI WAKATI WANGU WA KUPONA NA KUPAMBANIA KAZI YANGU.
WAKO KWA DHATI ZUCHU".