Diamond Platnumz na mpenzi wake, Zuchu kwenye usiku wa ndoa ya Jux..
#king_kaizari
Baada ya kuiangalia header hii ya Cristiano Ronaldo kutoka angle tofauti, huyu ni binadamu au ndege..
Air CR7✈️
#king_kaizari
Harmonize ameachia wimbo wake ambao amemtaja ex wake akidai kuwa haenjoy.
Unaipa ngapi chini ya 10..
#king_kaizari
Harmonize mbele ya mashabiki akimshukuru Diamond Platnumz kwa alipomtoa mpaka kufikia kuwa Star.
#TBT Harmonize akiwa chini ya Lebo ya Diamond Platnumz zamani..
#king_kaizari
Diamond Platnumz hatimaye ametoa tamko lake kuhusu kuondoka kwa Mbosso WCB..
"Mbosso aliniomba aanze kujisimamia mwenyewe, nikampa baraka zote... Alitaka kunilipa ila nikamruhusu bila kulipa chochote"
#king_kaizari
Lionel Messi aliposimama baada ya fujo kutokea alipochezewa vibaya..
Ni wachezaji wachache wanaoweza kufanya alichokifanya Messi..!
#king_kaizari
Hii ndio maana ya mchezaji aliyekamilika zaidi kuwahi kutokea! Bao la kichwa la Cristiano Ronaldo jana.
Air Cristiano ✈️
#king_kaizari
Ulianza kumfuatilia Diamond Platnumz zamani. Jina la wimbo na mwaka..
#king_kaizari
Njia pekee ya kumkwepa huyu Lamine Yamal ni kuhakikisha unakaa benchi ☠️.
Miaka 17 pekee, ameshindikana.
#king_kaizari
Bodyguard wa Lionel Messi alikutana na size yake alipojaribu kumzuia shabiki aliyevamia uwanja kumfuata Messi usiku wa kuamkia leo.
#king_kaizari
Kwenye wimbo mpya wa Diamond Platnumz.. "Nipe makofi mawili kama hujatumika sehemu za sir*"
Peana makofi kama hujafanya hivyo 😂😂
#king_kaizari
"Kijana wa Kenya ambaye unadhani una pesa kama mimi.. ninaweza kukulisha wewe na familia yako" - Chief Godlove.
Jamaa ana dharau huyu 😂
#king_kaizari