Sally citizen tv

Sally citizen tv CONTENT CREATOR | ACTOR |DANCER | FAITHFUL TO GOD๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐโ™ฅ๏ธโ™ฅ๏ธ
๓ฑข
(8)

LEXI HAS THE TITTLE DEEDS, JUNIOR, BECKY AND TRISHA WATAKUWA CHOKORA/TITO AND LEXI THE NEW BOSES IN TOWN (BECKY CITIZEN ...
19/12/2023

LEXI HAS THE TITTLE DEEDS, JUNIOR, BECKY AND TRISHA WATAKUWA CHOKORA/TITO AND LEXI THE NEW BOSES IN TOWN (BECKY CITIZEN TV WEDNESDAY 20TH DECEMBER 2023 WRITTEN UPDATES

TEAM Becky, ebu nione wangapi wamemiss Martha. Na si tufikishe Martha 10k likes leo. K**a wewe ni Team Becky weka like a...
17/12/2023

TEAM Becky, ebu nione wangapi wamemiss Martha. Na si tufikishe Martha 10k likes leo. K**a wewe ni Team Becky weka like and check My comment wakuu ๐Ÿ™

Happy Sunday ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
17/12/2023

Happy Sunday ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ๐Ÿ–๐“๐‡ ๐ƒ๐„๐‚ Kumbuka kuweka LIKE๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ Junior kusikia Trisha ako kwa Shantelle alikuja k**a umeme. Trisha aka...
16/12/2023

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ๐Ÿ–๐“๐‡ ๐ƒ๐„๐‚

Kumbuka kuweka LIKE

๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Junior kusikia Trisha ako kwa Shantelle alikuja k**a umeme. Trisha akamwambia I know utakuja kunitafuta finally,kilichokuleta? Junior akamwambia nimekuja we discuss the terms of our divorce. Trisa alimwambia mimi sina mambo mob, the terms are, tukidivorce,mansion ni yangu, mali ingine yoooote ni yako. Junior alishtuka,yaniii,nyumba nikupe? Trisha akamwambia yeah,all other property ni yako,hao ni yangu. Tito alikua hapo,akauliza Shan,kwani hii yote kukuja kwa mansion ilikua script ya kuomoka? Shan akamwambia sindio,si pia unatumia Lexy kupata so relax.

Trisha aliambia Junior,my lawyer atakuja na papers. Junior alijam akataka kupiga Trisha lakini Trisha akamwambia mimi si yule Trisha ulikua unajua. Ilibidi Tito amchukue Junior waende na akaambia Junior,yafaa ujue, nyoka hapa ni Shantell,huyu dem ni muongo kuruka,na yeye ndio anapoison Trisha,hata mimi nikikuja kwenu na lawyer ni huyu dem aliniambia. Shantelle alimwambia nyamaza Tito,na akauliza Junior,unaezaje tetewa na msee uko na dem mwenye anapenda? Tito alimwambia ujinga,mimi mwenyewe ndio niliambia Junior akue na Becky so wewe chenye unasema ni ujiga tu.

Kwa mamake Lexy, Moses alikuja akamwambia how I wish ungekua sawa umuone mtoto wako venye amegrow na hata anakaa tu k**a wewe wakati ukiwa umri wake. Imelia yeye amenyamaza tu,huwa hasemi,huwa haongei na huwa habongi,lakini ajabu ni kuwa, for the first time,mbele yangu,mbele ya Moses,mamake Lexy aliongea,akasema nini "nilikua nadhani ni ndoto",aah hakutarajia,hadi akamuuliza,did you say anything,kuna kitu Umeongea? Imelie akamwambia ndiooo,nilidhani ni ndoto,but nishajua my Lexy is alive,baaaaasi,sasa acha niwaambie kitu hapa,aah nitawaambia kwa comments,ukimaliza kusoma fika kwa comments but all in all Imelia is back,Imelia is fine,Imelia is now normal. Moses alimuuliza how long? Imelia akamwambia since I saw Lexy.

Lexy ashatoka kwa Moses akakuja akakaa huku kwa barabara,anashin

Say RIP papa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
15/12/2023

Say RIP papa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

๐Œ๐š๐ฅ๐ข ๐ฌ๐š๐Ÿ๐ข ๐œ๐ก๐ข๐ญ๐จ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
15/12/2023

๐Œ๐š๐ฅ๐ข ๐ฌ๐š๐Ÿ๐ข ๐œ๐ก๐ข๐ญ๐จ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ๐Ÿ“๐“๐‡ ๐ƒ๐„๐‚ Kumbuka kuweka LIKE๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ Lexy alikuja kwa Mr Jabulani but walikua washahama ikabidi amepewa dir...
14/12/2023

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ๐Ÿ“๐“๐‡ ๐ƒ๐„๐‚

Kumbuka kuweka LIKE

๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Lexy alikuja kwa Mr Jabulani but walikua washahama ikabidi amepewa directions na aready ashafika. Moses wakikuja ndani,Imelia alikua anaongelesha ile dolly,akisema venye anangoja iwe kubwa aipeleke shule. Punde si punde, Lexy na Moses wakafika. Mosea akaambia Imelia,say hi to your daughter Lexy. Mamaa hakuongea. Lexy alikuja akakaa hapo akamuita mum but mamaa akashtuka akachukua dolly yake akaenda mbio kwa room yake. Hakumbuki Lexy.

Lexy anawish sana siku moja mamake amtambue na tena mamake awe sawa.

Huku kwa Junior bado kumechemka,Becky anamuuliza, hii muda yote nadhani tuko kwa relationship na wewe kumbe niko ndani solo? Junior alimwambia si hivyo babe but I can't just sit and see Trisha get the wealth. Becky alimwambia I dont care kuhusu mali na k**a Trisha ndio shida,lets fight her together but Junior alimwambia madhe worked so hard for everything we have,siezi acha tu Trisha achukue,kuna Lexy na kuna Sally siezi taka kwanza Sally akuje apate hakuna kitu. Becky alimwambia ni sawa,nishakusikia but msimamo wangu ni ule ule,until you divorce Trisha,siezi jicommit kwa relationship na please ishia,I want to be left alone. Wueh๐Ÿคฃ๐ŸคฃBecky ameamua for this relationship to work lazima Junior amdivorce Trisha na Junior on other side anaona zii,he ain't doing it,no matter what.

Moh na yeye,amekua akisikiza kila kitu alafu Junior kutoka kwa Becky,akamuuliza kumeendaje? Junior akamwambia Becky amekataa plan yangu anataka nidivorce Trisha. Moh alimwambia by dha way nimesikia mkiongea na I think you are right hakuna venye utampa Trisha talaka apate hii mali yote,for Becky acha nitaongea na yeye.

Trisha alirudi kwa Sharntell akamwambia manze Junior ashachanuka na amekataa story ya divorce. Shan akamuuliza k**a aliambiwa akiwa solo,Trisha akamwambia alisema mbele ya kila mtu. Shan akamuuliza na Becky alijam sindio? Trisha akamwambia yeah na hapo sasa Trisha akaona k**a Becky alijam ju ya story ya k

Only legends can know this movie ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
14/12/2023

Only legends can know this movie ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ๐Ÿ’๐“๐‡ ๐ƒ๐„๐‚ Kumbuka kuweka LIKE๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ Ni wakati wa chajio,alafu sasa Moh anakula k**a kawaida yake haondokea...
14/12/2023

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ๐Ÿ’๐“๐‡ ๐ƒ๐„๐‚
Kumbuka kuweka LIKE
๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Ni wakati wa chajio,alafu sasa Moh anakula k**a kawaida yake haondokeangi chakula,but Becky na Tito kuna venye wanaangaliana badala ya kukula,hadi Junior akaambia Becky,babe,eat something sweetie. Becky akamwambia hata sina appetite. Junior akamwambia come on,eat for me. Lexy pia akaamua kuchoma๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃakaambia Tito come on,kula bana pia eat for me๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Junior wakawa na attention,na Lexy akaambia Junior,manze k**a kuna dem nimekubali kuwa wife material ni huyu Becky,weks stamp bana ama uchelechelewe upate Becky mwenye si wako๐Ÿคฃ๐Ÿคฃnow listen guys,hapa ndio Lexy anakosea,kumbuka Tito alimwambia aende aongee na Junior Trisha arudi but yeye sasa anaambia Junior live live Becky ndio wife material na hii kitu inasinya Tito,mbaya mbovu,cheki venye anamuangalia na macho ya fundi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

All in all, chakula kilibaki Moh ak**aliza yote na ashakuja jikoni kupika githeri aongezee. Becky alimletea sahani zingine alikua amesahau huko na akaamua kuongea na yeye,akamwambia Moh najua umenijamia venye mimi hukutreat so pia nichukie tu usijifanye unanipenda mbele ya wasee. Moh alimwambia mimi sina sister mwingine,mbona nikuchukie wewe k**a sister yangu? I will do anything kukuprotect Becky,hata ile issue ya Trisha,ni one of them,ya kuonyesha nakujali na sai badala ya kukuchukia,Iam happy for you at least umekua T for tough. Becky aliifeel na akaambia Moh Iam sorry venye nimekua nakutreat ni venye kila kitu imehappen haraka sana hata sijielewi. Moh alimwambia haina noma bora tu ujue mimi sister yako niko hapa for you na nakupenda sana,hadi wakahugiana manze.

Sanchez ndio kuamka kanaamka kalitarajia kupata Trisha kwa bed but wapi,alitoka hata hajui alitoka saa ngapi.

Lexy akiwa kwa call na Moses,Moses alimwambia hope hujaambia Junior kitu,akijua unamchunguza italeta noma. Lexy alimwambia hakuna kitu nimemshow mzae na nikipata time nitakuja kuona madhe. Haya! Lexy alibishiwa na Tito,na Tito akamuuliza,mbona uamb

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ๐Ÿ๐“๐‡ ๐ƒ๐„๐‚ ๐‰๐€๐Œ๐‡๐”๐‘๐ˆ ๐ƒ๐€๐˜ Weka LIKE k**a ushapata updates๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ Lexy ashafika amekaa mbele ya mamake but haong...
12/12/2023

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ๐Ÿ๐“๐‡ ๐ƒ๐„๐‚ ๐‰๐€๐Œ๐‡๐”๐‘๐ˆ ๐ƒ๐€๐˜

Weka LIKE k**a ushapata updates

๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Lexy ashafika amekaa mbele ya mamake but haongei. Mzee Moses alikuja akaambia Imelio,this is Lexy your daughter mwenuye tulidhani alikufa. Huh,Imelia hana shughuli na Lexy,mzee akamwambia ni yeye,ebu muangalie vizuri lakini wapi mamake Lexy ako zake. Lexy was soo disapointed sana,she expect some reaction but nothing has come hadi akaamka akaenda zake. Hizi ni mawhat sasa!

Haya,turudi kwa nduguu, Trisha aliambia Sanchez asante sana kunisidia but nafeel vibaya sana umekosana na beshte yako. Sanchez akamwambia usijali,Tito ni nduguu,by kesho tutakua tushasolve. Trisha akamwambia unajua Titio anaeza ambia Junior niko huku. Sanchez akamwambia so what,hiyo isikupee joto,wee kaa hapa and feel at home na usiwe na wasiwasi hata kidogo. Trisha alifurahi sana hadi akamshika Sanchez mkono kimahaba na akamwambia anataka kufika nje kiasi kufanya shughuli atarudi. Tito hadi akamwambia kwenye kuna ufunguo na kisha Trisha akamkiss Sanchez,mako...makosa. But you can tell,hii kiss si ya kumaanisha,ju akimaliza kukiss anageuka akakunja uso.

Kumbe Tito na yeye kuona hana pa kulala alirudi kwa mansion๐Ÿคฃ๐ŸคฃMoh kumuona akaanza kuzua tena,akamuuliza kwani umekua ambassador? Tito akamwambia relax,ju wewe ni ambassador wa mshene unadhani kila mtu ni ambassador sio? Moh alijam akaanza kumfukuza Tito lakini Lexy alikuja akamwambia Moh relax bna,na akauliza Tito,rada si umekua mtaa ama? Tito akamwambia nimefika huko guess napata nani kwa keja ya Sanchez? Trisha๐Ÿคฃ๐ŸคฃLexy alishangaa sana ati Trisha ako ghetto? Haimake sense. Lexy kwanza akaambia Moh aende kutengenezea Tito kitu akule an Tito akaongeza akamwambia na uhakikishe kwa chai umeeka kebeb, mayai mbili ya Pauloh na samaki tatu chapchap๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃTito anapenda sana kukula vitu useless,sana sana mayai.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Moh alimcall Shan akamuuliza kuna udaku nimesikia ati Trisha amecrushia Sanchez? Shan alianza tu kucheka akamwambia na venye ali

12/12/2023

Hello wรฅdรฅรน ๐Ÿฅฐ๐Ÿ”ฅ

Zuchu chapati๐Ÿ’ฒ๐Ÿ’ฒ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
10/12/2023

Zuchu chapati๐Ÿ’ฒ๐Ÿ’ฒ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ๐Ÿ๐“๐‡ ๐ƒ๐„๐‚ Kumbuka kuweka LIKE๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ Sanchez alikuja na Trisha kwake na already ashamcall Tito akuje,lakini...
09/12/2023

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ๐Ÿ๐“๐‡ ๐ƒ๐„๐‚

Kumbuka kuweka LIKE

๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Sanchez alikuja na Trisha kwake na already ashamcall Tito akuje,lakini Tito alimcall akamwambia sikiza bro,leo sitakam huko nalala kwa Lexy. Sanchez alishtuka ju hakutaka hivyo. Tito akamuuliza kwani emergency ni gani ndunguu? Sanchez akamficha akamwambia hata hakuna emergency browee relaz na Lexy ukam kesho. Sanchez hakuambia Tito,Trisha ako huku๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Sanchez alikuja akaambia Trisha,una bahati sana ju hata Tito hatakuja so ni mimi na wewe hadi asubuhi. Trisha alifurahi sana hadi akamhug Sanchez. Sanchez,chunga sana bro,mimi huyu Trisha kitu alinifanyia siezi taka watu wajue๐Ÿคฃ๐ŸคฃNangoja ifike usiku niwaandikie updates venye Sanchez na Trisha kutaenda. Explicit๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Tito, Junior na Lexy walikuja chumbani na Junior aaambia Becky,Tito anabaki kukeep Lexy company. Becky akashtuka akauliza "ati?" Lexy akamwambia yeah, venye wewe unakeep bro wangu comoany, Tito pia ananikeep huku kisha Lexy akamshika Tito mkono wakakuja chumbani but kuna venye Tito hayuko sawa hadi akaambia Lexy ukweli wa mambo,manze mimi bado napenda Becky,mako...makosa. Lexy alikua amemshika Tito,akamuachilia. Mapenzi wewe.

On other side, Becky aliamua kujipa kwa Junior,ju k**a Tito amejipa kwa Lexy, aliamua kujipa kwa Juniorakavaa nguo za kulala,akakuja kwa room ya Junior akamshika mkono na akamwambia nini "nakupenda pia" Junior hakuamini,hadi akamwambia ebu rudia? Becky akasema kwa mara ya tatu na ya nne, nakupenda pia and I mean it. Becky hafanyi hivi ju anampenda Junior,anafanya hivi ju amekosa option kwa Tito. Woiye! Upande wa Junior its soo easy ju yeye ameishi kumpenda Becky but kwa Becky amekosa option,amekua simba amekosa nyama akaamulia nyasi. Kaende kaende sana. Kisha wakaamua kukiss,cheki mate,jesus! Hadi imebidi nisiandike hiyo part ju mimi kusema ukweli its been long sinve I kosed.

Upande wa mwanaume wetu, Sanchez ameamua kupikia Trisha pancake. Trisha ameenda kuoga maji moto hadi amekuja na towel pekee kwa r

Asubuhi kwa mansion ya Sanchez, breakfast is ready Trisha
08/12/2023

Asubuhi kwa mansion ya Sanchez, breakfast is ready Trisha

๐…๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ๐ฐ&๐ฅ๐ข๐ค๐ž ๐ฆ๐ฒ ๐ฉ๐š๐ ๐ž๐Ÿฅฐ๐ŸฅฐBecky citizen tv
08/12/2023

๐…๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ๐ฐ&๐ฅ๐ข๐ค๐ž ๐ฆ๐ฒ ๐ฉ๐š๐ ๐ž๐Ÿฅฐ๐ŸฅฐBecky citizen tv

Unahurumia Trisha kweli?๐Ÿ˜ƒ
07/12/2023

Unahurumia Trisha kweli?๐Ÿ˜ƒ

K**a uliwatch hii movie weka like ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡
07/12/2023

K**a uliwatch hii movie weka like ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡

Happy birthday to the baddest MC... Chuma cha reli... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿพ๐Ÿพ๐ŸŽ‚๐ŸŽ‚๐ŸŽ‚
07/12/2023

Happy birthday to the baddest MC... Chuma cha reli... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿพ๐Ÿพ๐ŸŽ‚๐ŸŽ‚๐ŸŽ‚

07/12/2023

07/12/2023

Mrng glory ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Top student wa mwaka gani!!??
05/12/2023

Top student wa mwaka gani!!??

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ“๐“๐‡ ๐ƒ๐„๐‚ Kumbuka kuweka LIKE ๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ K**a kawaida weka LIKE ukiendelea kusoma. Friday tuliachia pahali Lexy...
04/12/2023

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ“๐“๐‡ ๐ƒ๐„๐‚

Kumbuka kuweka LIKE
๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
K**a kawaida weka LIKE ukiendelea kusoma. Friday tuliachia pahali Lexy amekuja chumbani bila kuongelesha mtu na Becky akamfuata kuja kuongea na yeye. Becky alijua makosa ni yake akaambia Lexy,Iam sorry unajua nivenye nilikua jealous hata k**a tulikua tumeachana. Lexy akamuuliza "Jealousy" unamaanisha nini? Becky akamwambia najua wewe na Tito mko close sana,Lexy akamwambia yeah tuko close but jealous inatokea wapi? Becky akamwambia kwani hujajam ju ya hiyo story? Lexy akamwambia msee sikiza,mimi issue yangu ni personal hainivolve anyone huku wala Tito. Becky akamwambia nisawa nilidhani maye umenijamia ukidhani nakunyang'anya bwana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Becky ashajua issue si hiyo and this means,Lexy na Tito hawana anything,hivi sasa ndio Becky kashajua sasa na kamejua Tito is clean na alikua anasema kweli ile siku. Junior alikuja akamuuliza k**a ameongea na Lexy but akamwambia yeah ni venye amejam but si venye nilikua nadhani. Junior akakuja kuongea na Trisha.

Junior alimuuliza Lexy k**a Trisha amemwambia amove out coz she has no right. Lexy akamwambia zii,but still haezi niambia nitoke ni venye tuissue yangu ni personal. Junior alimwambia ni sawa, but incase your personal issue ikue kuwa just let me know na usisahau Trisha anapika.Lexy alicheka,akasema huyo sasa anajua kupika ama ameenda matokhotyo huko ndani๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Becky alikuja jikoni na Trisha akamwambia akuje aone chakula yake na aliwapata wakicheka sana na Trisha. Becky akamwambia nakuja kuongea na Moh. Becky akamshika Moh akamleta nje,akamuuliza, mbona unacheka na huyo shetani,huoni anakupangia kitu? Moh alimwambia wee tulia bna,unataka kunipimia hewa huku wakati wewe unaenjoy na Junior sindio,so hata nikienda choo lazima nikuambie,usinidharau bna. Moh alijam sana akaenda akaacha Becky hapo ju clery Becky hajui Moh na Trisha ubeshte usharudi.

Lexy alimuuliza Junior,mamake ni mtu wa aina gani ju alipass k**a Lexy hajabond na yeye sana. Junior alimw

Shantel: Niaje beb,,,,Junior:  Poa hunny ๐Ÿ˜ป, niambieShantel: Aky I need a favour from u plizJunior: Which one hunny ๐Ÿ˜ป?Sha...
04/12/2023

Shantel: Niaje beb,,,,
Junior: Poa hunny ๐Ÿ˜ป, niambie
Shantel: Aky I need a favour from u pliz
Junior: Which one hunny ๐Ÿ˜ป?
Shantel: Aki niko tao na nimeona troza kali inauzwa 2k, na imagin nilisahau doh home.
Junior: So nikusaidiaje mrembo?
Shantel: Nilikua nataka unitumie izo doh nitakurefund nikifika home.
Junior: Fare ya kwenda home ni ngapi?
Shantel: Ni mbao Swiry.
Junior: (Kidogokidogo , KL295T6MHEN Confirmed, You have received Ksh.60 frEng'era C-46466 , New Mpesa balance is 60.83.
Shantel: Ghai! Hii ni ya nini?
Junior: Hio ni fare, toa 50bob, chukua mbao ukimbilie doh zenye ulisahau home, Mbao urudi tao ubuy troza, alafu hio kumi unaeza buy mtura ama miwa.
Shantel Becky Citizen Tv : UMBWA HII, Usiwahi nitext...Mchawi wa south korea wewe.. Ooh My! Like seriously? ๐Ÿ™๐Ÿค—!!!
Junior Becky Citizen Tv : Kwenda uko, Sura k**a ya innocent mugabe , Nyani wewe! Nilipe rent ama ninunue nguo! POTELEA MBALI! NUGU!
wanaume sikuizi hawataki upuzi ,no weapon formed against there wallet shall prosper!!Amen...volume iko sawa uko nyuma ama niongeze๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘น
Follow Love kingpin
Follow Vickie Kingpin
I was just listening there conversation today

Hii collabo mnaonaje ๐Ÿ˜‚Mejja Genge
03/12/2023

Hii collabo mnaonaje ๐Ÿ˜‚Mejja Genge

Coming soon ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
03/12/2023

Coming soon ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ

Still is new month ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ wรฅdรฅรน
02/12/2023

Still is new month ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ wรฅdรฅรน

02/12/2023

Happy Sabbath ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ’๐“๐‡ ๐ƒ๐„๐‚ Kumbuka kulike tuanze mwaka vipoa mkuu! 10K likes?๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ Becky alitoka akakuja kwake huku ghetto ...
01/12/2023

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ’๐“๐‡ ๐ƒ๐„๐‚

Kumbuka kulike tuanze mwaka vipoa mkuu! 10K likes?

๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Becky alitoka akakuja kwake huku ghetto na kufika alianza kukumbuka venye Junior alikua anamwambia akae huko and how he feels when Becky is close. Becky alikataa,akamwambia haoni akikubali hii offer yake hata kidogo ju anajua akihamia huku anaeza kumdisapoint sana. Hii kitu inamkula sana Becy kichwa ju anaona maybe hangeambia Junior hivi considering that ndio amepoteza tu mamake juzi. Becky aliona chenye anaeza fanya maybe ni kusimama na Junior but sasa kuna Tito atadu? Akaona asort Tito kwanza asijue kuna kitu inahappen kati yake na Junior,so akaamua kuja kutafuta Tito.

Tito na yeye,washapika ugali wako hapa wanashambulia na Lexy mbaya mbovu,alafu sikuhizi anytime Becky anataka kuonana na Tito ameishi kumpata na Lexy, so tena leo maskini wa Mungu, wakati Becky amejipa kuja kuongea na Tito alimpata ready handed Lexy akimlisha chakula,mako...makosa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃTito alishtuka mbaya mbovu but already Becky ashamuona,akamuangalia na akaamua kurudi tu Haina haja nikuje kuongea na wewe wakati Lexy anakulisha chakula,woi!

Tito na yeye venye alikua amejipa kwa Becky tena,ilibidi amfuate akamwambia Becky chill kiasi lakini Becky alikataa,akamuuliza unataka nini? Tito akamwambia si ulikua unakam kuniona ama? Becky alienda straight,akamwambia kumbe hii muda yote ni Lexy,unamdai sindio? Tito alimwambia acha kuoverthink Becky,hakuna kitu yangu na Lexy. Becky alimwambia mimi si mtoto, wewe jibambe na yeye na after all mimi na wewe hatukopamoja,so wee jibambe na Lexy wako,nkt. Becky amejam sana na ukweli wa mambo ni, there is nothing kati ya Tito na Lexy!

Huku kwa mansion, Trisha alikuja kuomba msamaha kwa Moh akijifanya mzuri na akamwambia unajua mimi na wewe tulikua mabeshte but venye nilijua Jeff ni mtoi wa Junior,nikajam sana so yafaa unielewe haikua kupenda kwangu kukutusi kuwa uko na mdomo plural,so nataka tuwe mabeshte. Moh alimuelewa akamwambia ni sawa lakini sikiza u

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ๐’๐“ ๐ƒ๐„๐‚ Kumbuka kuweka LIKE๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ Trisha alikuja kumkuta Moh,akamuuliza,unaezaje panga kitu na hubby wang...
30/11/2023

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ๐’๐“ ๐ƒ๐„๐‚

Kumbuka kuweka LIKE

๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Trisha alikuja kumkuta Moh,akamuuliza,unaezaje panga kitu na hubby wangu na huwezi niambia? Moh akamuuliza msichana akili yako iko na akili? Unaezaje uliza maid swali k**a hiyo badala uulize bwana yako? Trisha akamwambia si i thought we were friends? Moh akamuuliza friends which? Mimi na wewe na venye uko na roho mbaya k**a samaki imeoza,we cant be friends Trisha na venye kunaenda,wewe utabaki kuwa maid,bwanako ashaleta bibi yake ambaye ni Bekcy,utadu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kunguni mfupi wewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Upande wa Junior na Becky,alimwambia manze, you are a married man,na mimi nataka tu life simple,nifanye kazi niende home but Junior alimshika mkono,kisha akamwekelea mkono mwingine kwa kichwa,akamwambia sikiza Becky,I love you and I never stopped to love you,nakupenda sana Becky,na nakupenda sana and I mean it na kila kitu nafanya hapa,its all for you,wewe ni mama wa mtoto wangu,wewe ni moyo wangu,wewe ni kangumu yangu na nakupenda sana,kisha Junior na Becky wakaamua kukiss lakini Becky akaondokea,shiet!!

Junior alimwambia Becky najua nilikuhurt ndio,and Iam soo sorry na k**a kuna venye naeza kukulipa if we can fix this. Becky alifeel hadi akaambia Junior manze hii story ni heavy sana. Junior alimwambia remember tukiwa shule,you promised never to leave me and here we are,can we sweetie because I need you sana,check venye wanaangaliana,s*x eyes,s*x nose na hata s*x forehead kwanza ya Becky,kisha Becky akasmile,kuonyesha wewe ni wangu Junior,mimi wako na sisi we were meant to be together hallelu....hallelujah,Becky na Junior,love realoaded. wapi makofi?(walai naapa mi hoi,huyu simtoi acha nimfishe pete ya usanda)

Lexy na yeye,alichukua ile card ya Moses Jebulani akaamua kumcall ajue huyu mzee ana story gani.

Trisha na yeye,aliona zii aliamua kumpea Junior msomo,akamwambia hutaniletea co-wife kwa nyumba yangu. Junior alimwambia stop your paranoid,kwanza nyumba ni yangu na hakuna siku nimeoa Becky k**a co-wife.

It deserves a million likes ๐Ÿ’œ
30/11/2023

It deserves a million likes ๐Ÿ’œ

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sally citizen tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share



You may also like