Mon Sports

Mon Sports Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mon Sports, News & Media Website, http://Monmediat. blogspot. com, Nairobi.

Habari wadau naomba support yenu mnifollow ukurasa wangu huu maalumu Kwa habari zote za Michezo
06/10/2024

Habari wadau naomba support yenu mnifollow ukurasa wangu huu maalumu Kwa habari zote za Michezo

REAL MADRID 3 - 3 MAN CITY Diaz 12' (of)  ⚽  Silva 2'Rodrygo 14'         foden 66'Ververde 79'        Gvardiol 71'
09/04/2024

REAL MADRID 3 - 3 MAN CITY

Diaz 12' (of) ⚽ Silva 2'
Rodrygo 14' foden 66'
Ververde 79' Gvardiol 71'

BODI YA LIGI YAIKATALIA SIMBA KUCHEZA NA COASTAL UNIONSimba imeomba Mchezo wake dhidi ya Coastal Union uchezwe kati ya A...
21/08/2023

BODI YA LIGI YAIKATALIA SIMBA KUCHEZA NA COASTAL UNION

Simba imeomba Mchezo wake dhidi ya Coastal Union uchezwe kati ya Alhamisi hadi Jumanne ijayo siku yeyote iwezekanayo maana na Timu zingine zinacheza pia kabla mchezo huu ulikuwa uchezwe baada ya mchezo wa Kwanza wa CAF Away wa Simba kabla ya Marudiano na ulikuwa upo katika ratiba ya TBA kwa maana utapangia siku katika kipindi hicho, Simba kuona hili ikaona nafasi hii ya wazi Siku 14 izitumie kuomba mchezo huo ili kupunguza Viporo huko mbele na kutoa nafasi kwa Timu kujiandaa vizuri na mechi ya CAF ila Bodi ya Ligi imewakatalia.

Lengo la Simba ni kutokana na ratiba iliyo mbele sasahivi kuna nafasi isiyokuwa na kazi mpaka 04-12 September ni muda wa Timu za Taifa halafu ndio Michezo ya Champions league inafuata 15-17 September sasa kipindi kizuri ni sasa timu hazina cha kufanya maana baada ya kurudi mechi ya Away CAF kutakuwa na Michezo ya CHAN tena 22-24 September hapa Wachezaji wanagawanyika tena wakirudi mechi ya nyumbani ya Marudiano CAF 29 September.

Tukumbuke Timu ya Simba mwezi wa October ambayo imepangiwa michezo Mitatu ya haitaweza kucheza michezo miwili maana ni muda wa African Super League hivyo kufanya kuwa na viporo vingi zaidi visivyokuwa na maana muda wa kuondoa hivyo viporo ilikuwa ni sasa ila kwa ajabu kabisa Bodi ya ligi imekataa kwa sababu nyepesi sana Eti Coastal Union wameshawapumzisha Wachezaji wao baada ya mchezo wa Mtibwa.

Ukiangalia kwa Makini ni kuwa Bodi ya Ligi inataka kuichomekea Hii mechi ya Coastal wakati Simba wapo katika Mbio za michezo ya CAF pamoja na zile Mbili za Singida Fountain na Mashujaa ili Simba wasiwe makini na michezo hiyo sana hapa tunaona Sio sawa hiki ndio chanzo cha kuanza kubebana baadae na kuanzisha kelele zisizo na maana, Kuna sababu gani sasahivi Timu zote mbili Simba na Coastal zimecheza mechi Jumapili hazichezi tena kuna siku 14 zinapita bure hapa kabla ya Timu ya Taifa haya ni matumaini mabaya ya Kufikiri baada mnaanza kupanga mechi kila baada ya siku 3 k

NENO MOJA KWA HUYU MWAMBA
13/08/2023

NENO MOJA KWA HUYU MWAMBA

Messi alifunga mabao mengine mawili kwa Inter Miami jana usiku na kugonga sherehe ya Wakanda Forever 😎
03/08/2023

Messi alifunga mabao mengine mawili kwa Inter Miami jana usiku na kugonga sherehe ya Wakanda Forever 😎

Moyo hupenda unapothaminiwa Kiukweli TANGU zamani nilikuwa naipenda simbaNawashukuru kwa kunipokea vizuri amesema Alikib...
02/08/2023

Moyo hupenda unapothaminiwa
Kiukweli TANGU zamani nilikuwa naipenda simba
Nawashukuru kwa kunipokea vizuri amesema Alikiba

Simba SC Tanzania
Alikiba

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Ally Saleh Kiba 'Alikiba' amehama rasmi kutoka Yanga SC 🇹🇿 na kujiunga na watani wao,Si...
02/08/2023

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Ally Saleh Kiba 'Alikiba' amehama rasmi kutoka Yanga SC 🇹🇿 na kujiunga na watani wao,Simba SC 🇹🇿.

Alikiba amekabidhiwa kadi rasmi ya Uanachama wa Simba mda mfupi uliopita.

"Kila mtu anapenda kwenda sehemu ambayo anakuwa Appreciated (Thaminiwa)"

Maneno ya Alikiba mara baada ya kuhamia Simba.

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Senegal Sadio Mane (31) amejiunga na Club ya Al Nassr ya Saudi Arabia kwa mkataba wa miaka ...
02/08/2023

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Senegal Sadio Mane (31) amejiunga na Club ya Al Nassr ya Saudi Arabia kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea FC Bayern Munich ya Ujerumani.

Mane anayeenda kucheza timu moja na Cristiano Ronaldo atakuwa akilipwa mshahara wa pound 650,000/= (Tsh Bilioni 2 kwa wiki).

Toka Ronaldo aende Saudi Arabia Wachezaji wengi wamekimbilia huko akiwemo Roberto Firmino, Riyad Mahrez, Neves, Ng’olo Kante, Mendy, Koulibaly, Karim Benzema na sasa Sadio Mane.

Ipe caption
13/06/2023

Ipe caption

Mambo
12/06/2023

Mambo

Anaitwa Fantana kutoka nchini Ghana mrembo anaetajwa kuwa kwenye mahusiano na staa wa muziki nchini Diamond PlatnumzJE U...
22/05/2023

Anaitwa Fantana kutoka nchini Ghana mrembo anaetajwa kuwa kwenye mahusiano na staa wa muziki nchini Diamond Platnumz

JE UMEKUBARI KWA ASILIMIA NGAPI?

Mama na mwanaNA LIKE 👍 NAYO NI KITU CHA KUWANYIMA KWELI
22/05/2023

Mama na mwana

NA LIKE 👍 NAYO NI KITU CHA KUWANYIMA KWELI

Mamboo
15/05/2023

Mamboo

Address

Http://Monmediat. Blogspot. Com
Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mon Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share