31/08/2024
A big a shout-out kwa wale machampe wote walijaribu bahati yao kwa hii promo ya , brought to you by EABL. Kumekua na washindi kadhaa wa;
-Magari
-Nduthi
-Credo
-Rent ya 50,000 Ksh
-Doh za 1,000,000 Ksh
Congratulations kwa washindi wote, zidi kujibamba na vinywaji zako safi za EABL. Kabooom!