
11/12/2024
"Usiumie Penina akikutangulia kuzaa na akakukejeli na kukuchokoza
We mwambie majira yetu hayafanani. Saa ukizaa mtoto wako mmoja ni bora mara kumi zaidi ya watoto kumi wa Penina
Mtu wa Mungu it is just a matter of time, Ni swala la Muda tu, Niko hapa kukwambia kwamba wakati wako umekaribia
Jiandae kupata ile kazi uliyoisubiri kwa muda mrefu, jiandae kuvalishwa Pete, jiandae kuvaa ile shera uliyoona kwenye ndoto, jiandae kwa ajili ya ile safari, majira yako yamekaribia
Nakuona 2025 ukishuhudia katika jina la Yesu. Usipite bila kusema AMEN MY TIME IS COMING.