LOOK UP Digital

LOOK UP Digital This is the back up fan page for Look UP TV. We are a free to air fully commercial and solutions focused TV station.
(3)

We are available on GoTV and StarTimes VIA SIGNET FREE TO AIR COUNTRYWIDE +254 700 893 542

24/08/2024

Fununu za uhamisho

Juventus wanazungumza na man united kuhusu sancho

Arsenal yatarajiwa kukata tamaa kumnunua nico williams

Napoli yamtaka scott mctominay

21/08/2024

fununu Za Uhamisho Ulaya

21/08/2024

ULINGO WA SPOTI || POLICE BULLETS YATAMBA

17/08/2024

Fununu Za Uhamisho Ulaya

Crystal Palace Wanatazamiwa Kukataa Ofa Ya Nne Yenye Thamani Ya Pauni Milioni 65 Pamoja Na Nyongeza Kutoka Kwa Newcastle Kwa Ajili Ya Beki Wa Kati Wa England Marc Guehi, 24. Newcastle Haiko Tayari Kuachana Na Mpango Wa Kumnunua Guehi Kwa Sasa Lakini Klabu Hiyo Inazingatia Chaguo Lao.

15/08/2024

Wanariadha mbalimbali wajiunga na familia zao Eldoret.

Fununu za uhamisho - Napoli wameanza mazungumzo na Manchester united kuhusu uwezekano wa kumsajili kiungo wa kati wa scotland Scott Mctominay

14/08/2024

Ulingo Wa Spoti:
Timu ya taifa ya riadha imekaribishwa kwa mbwembwe na bashasha baada ya kurejea nchini usiku wa kuamkia leo

27/07/2024

MOJA KWA MOJA: ULINGO WA SPOTI - MASHINDANO YA MICHEZO YA OLIMPIKI YAANZA RASMI JIJINI PARIS UFARANSA

20/07/2024

MAANDALIZI YA MICHEZO YA OLIMPIKI NCHINI UFARANSA

06/07/2024

Mwisho Wa Kipindi Cha Ulingo Wa Spoti

Brian Mose Awahaga Mashabiki Na Watazamaji Wa Kipindi Cha Ulingo Wa Spoti

06/07/2024

Fununu Za Uhamisho Ulaya

Manchester United Imempa Kiungo Bruno Fernandes, 29, Ruhusa Ya Kuanza Mazungumzo Na Saudi Arabia, Huku Klabu Mbili Za Ligi Ya Saudia Zikimtaka Mchezaji Huyo Wa Kimataifa Wa Ureno.
Kiungo Wa Kati Wa Manchester City Kevin De Bruyne, 33, "Amekubali Kwa Maneno" Kujiunga Na Klabu Ya Saudi Arabia Al-Ittihad, Na Sasa Ni Man City Kuidhinisha Kuondoka Kwake
Liverpool Wanatumai Fowadi Wa Misri Mohamed Salah, 32, Atasaini Mkataba Mpya Mkataba Wake Wa Sasa Utakapokamilika 2025.

06/07/2024

Toni Kroos Astaafu

Mchezaji Wa Timu Ya Taifa Ya Ujerumani Toni Kroos Amestaafu Kucheza Kandanda.Kando Na Timu Ya Taifa Ya Ujerumani Kroos Amezitumikia Timu Kadhaa Ikiwemo Real Madrid.Aidha Mchezaji Huyo Ameshinda Mataji Kadhaa.6 Ya Ligi Ya Mabingwa Ulaya,1 La Kombe La Dunia,4 Ya Ligi Ya La Liga,3 Ya Bundesliga Miongoni Mwa Mataji Mengine.

06/07/2024

Ten Hag Aongeza Mkataba Na United

Kocha Wa Manchester United Erik Ten Hag Kuendelea Kuitumikia Timu Hiyo K**a Kocha Mkuu Hadi Mwezi Wa Juni Mwaka Wa 2026.Ten Hag Ni Kocha Wa Tano Wa Manchester United Tangia Kustaafu Kwa Alex Ferguson Mwaka Wa 2013.Ten Hag Alitua Old Trafford Mwaka Wa 2022 Akitokea Ajax Na Ameisaidia United Kutwaa Kombe La Carabao Na Lile La Fa.

06/07/2024

Matokeo Ya Dimba La Euro

Ujerumani 1-2 Uhispania
Ureno 0(3) – (5) 0 Ufaransa

06/07/2024

Ratiba Ya Dimba La Euro

Uingereza – Uswizi – 19:00
Uholanzi – Uturuki – 22:00

06/07/2024

Ratiba Ya Copa Amerika

Colombia – Panama – 1:00
Uruguay – Brazil – 4:00

06/07/2024

Matokeo Ya Copa Amerika

Venezuela Canada
1(3) Mabao 1(4)
55% Umilisi 45%
16 Majaribio 16
5 Mashuti 7
307 Pasi 290
1 Kadi Ya Majano 2

06/07/2024

Kipute Cha CECAFA Kagame Cup

Mabingwa Mara 21 Wa Ligi Kuu Ya Kandanda Nchini Gor Mahia Wako Kundini B Katika Kipute Cha Cecafa Kagame Cup Pamoja Na Al Hilal Ya Sudan, Red Arrows Ya Zambia Na Telecom Fc Ya Djbouti.Kipute Hicho Kuanza Julai 9 Hadi 21 Mwaka Huu Nchini Tanzania.

06/07/2024

Droo Ya Afcon 2025

Timu Ya Taifa Ya Kandanda Harambee Stars Iko Kundini J Pamoja Na Cameroon, Namibia Na Zimbabwe.Timu Mbili Za Kwanza Kutoka Kwa Kila Kundi Zitafuzu Kucheza Kipute Cha Afcon Mwaka Wa 2025 Nchini Morocco.

06/07/2024

FKFPL: Mechi Ya Mchujo

Timu Ya Kandanda Ya Sofapaka Itacheza Dhidi Ya Naivas Kwenye Mechi Ya Mchujo Ya Kutambua Timu Ambayo Itabaki Ama Kupanda Ligi Kuu Msimu Ujao.Sofapaka Ilimaliza Ya 16 Kwa Alama 36 Kwenye Msimamo Wa Ligi Kuu Msimu Uliopita Nao Naivas Wakamaliza Wa 3 Kwa Alama 76 Kwenye Ligi Ya Nsl.Mchi Ya Mkondo Wa Kwanza Itachezwa Jumamosi Hii Ugani Police Sacco Huku Ile Ya Mkondo Wa Pili Ikiratibiwa Tarehe 14 Ugani Dandora Mwezi Huu

06/07/2024

Gofu Ya Kcb

Zaidi Ya Wanagofu 120 Kushiriki Mashindano Ya Mkondo Wa 12 Wa Gofu Ya Kcb Ukanda Wa Afrika Mashariki Jumamosi Hii Katika Uga Wa Gofu Wa Klabu Ya Nanyuki.Timu Mbili Za Kwanza Kupambana Na Timu Zingine Kutoka Kaunti Za Nairobi, Uasin Gishu, Kiambu, Nyeri Miongoni Mwa Kaunti Zingine Kwenye Fainali Ambapo Timu Ambayo Itashinda Itazawadiwa Kitita Cha Shilingi Milioni Moja Na Tiketi Ya Kushiriki Mashindano Ya Magical Kenya Open Mwaka Wa 2025.

06/07/2024

Mashindano Ya Olimpiki

Rais William Ruto Ameipa Bendera Timu Ambayo Itawakilisha Taifa Katika Mashindano Ya Olimpiki Mwaka Huu.Mashindano Hayo Ya Olimpiki Kuanza Julai 26 Hadi Agosti 11 Mwaka Huu Paris, Ufaransa.

06/07/2024

MOJA KWA MOJA: ULINGO WA SPOTI |RAIS WILLIAM RUTO AMEIPA TIMU YA KENYA BENDERA

Unatutazama Ukiwa Wapi?

05/07/2024

Fununu Za Uhamisho Ulaya

Manchester City Wanajiandaa Kupokea Ombi La Saudi Arabia La Kumnunua Mlinda Mlango Ederson Na City Wanataka Zaidi Ya Pauni Milioni 30 Kumuuza Mchezaji Huyo Wa Kimataifa Wa Brazil, Ambaye Anahusishwa Na Klabu Ya Al-Nassr.
Manchester United Wanataka Kumuuza Kiungo Wao Wa Kati Donny Van De Beek Msimu Huu Badala Ya Kumpoteza Kwa Uhamisho Wa Bure Wakati Mkataba Wa Mchezaji Huyo Mwenye Umri Wa Miaka 27 Utakapokamilika Msimu Ujao Wa Joto.
Barcelona Wanaongoza Katika Mbio Za Kumsajili Winga Wa Athletic Bilbao Na Uhispania Nico Williams, Huku Arsenal Na Chelsea Wakikabiliwa Na Hatari Ya Kumkosa Mchezaji Huyo Mwenye Umri Wa Miaka 21.
Beki Wa Lille Leny Yoro Anataka Kuhamia Real Madrid Na Mfaransa Huyo Mwenye Umri Wa Miaka 18 Anasubiri Vilabu Kuafikiana, Wakati Liverpool Na Paris St-Germain Ziko Tayari Kumnyakua Iwapo Dili Hilo Litasambaratika.

05/07/2024

MOJA KWA MOJA: ULINGO WA SPOTI |ZAIDI YA WANAGOFU 120 KUSHIRIKI

Unatutazama Ukiwa Wapi?

03/07/2024

MOJA KWA MOJA: ULINGO WA SPOTI |EMERGING STARS 2 – 0 ZIMBABWE

Unatutazama Ukiwa Wapi?

29/06/2024

MOJA KWA MOJA: ULINGO WA SPOTI |KENYA POLICE BULLETS NDIO MABINGWA FKFWPL

Unatutazama Ukiwa Wapi?

28/06/2024

MOJA KWA MOJA: ULINGO WA SPOTI || EMERGING STARS 2 – 0 ZAMBIA

Unatutazama Ukiwa Wapi?

26/06/2024

MATOKEO YA MECHI ZA EURO 2024 || LIGI YA FKF KWA AKINA DADA || FUNUNU ZA UHAMISHO ULAYA ||

22/06/2024

MOJA KWA MOJA: ULINGO WA SPOTI || RATIBA YA LIGI YA FKF

Unatutazama Ukiwa Wapi?

20/06/2024

Fununu Za Uhamisho Ulaya

Lazio Wameanza Mazungumzo Na Manchester United Kuhusu Uhamisho Wa Pauni Milioni 30 Kumnunua Mshambuliaji Wa Zamani Wa Uingereza Mason Greenwood, 22. Juventus Na Napoli Pia Wanapambana Katika Harakati Za Kumsajili Greenwood.

Address

Amboseli Gardens, Opposite FIDA Kenya, Amboseli Road
Nairobi
00100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LOOK UP Digital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to LOOK UP Digital:

Videos

Share

Category