Ray kakangu videos

Ray kakangu videos This page helps to advertise and share videos of lovers

I am single
12/09/2024

I am single

Hae
16/08/2024

Hae

0 Followers, 59 Following, 7 Likes - Watch awesome short videos created by abiutwainsta3

Hae
16/08/2024

Hae

0 Followers, 59 Following, 6 Likes - Watch awesome short videos created by abiutwainsta3

My guys who are actors of 72 estate comedy say hi coz first income is on the doorWe have managed to get 1million subscri...
15/08/2024

My guys who are actors of 72 estate comedy say hi coz first income is on the door
We have managed to get 1million subscriber's since 2021 up now

15/08/2024

Eti penzi wah Hadi mimi

15/08/2024

Say hi to your Love

Instead of single as a marital status, it should read independently, owned and operated :)
02/02/2023

Instead of single as a marital status, it should read independently, owned and operated :)

Wanaume mbona mnaniogopa...

No family is perfect, we argue, we fight, we even stop talking to each other at times but in the end, family is family …...
02/02/2023

No family is perfect, we argue, we fight, we even stop talking to each other at times but in the end, family is family … the love will always be there.

30/10/2021

Big mind art

30/10/2021
Behind the scene
25/10/2021

Behind the scene

Videos production
20/10/2021

Videos production

20/10/2021

Get first hand, detailed, and in-depth information about Alibaba's latest tech.

20/10/2021

Amazing China! Let's explore!
Find our App on Apple App Store, Google Play Store or at xhtxs.cn/G99

20/10/2021

A Design & Build Consortium operating in 5 Countries; Nairobi, Juba, Kampala, Hargeisa & Kinshasa.

19/10/2021
17/10/2021

We are public media for the public good. We never end our quest for facts and truth.

17/10/2021

Affordable Used Cars For Sale In Kenya by Dinga World
Buy Cash| Finance| Trade In| mport any Car just

12/10/2021

ZORA WRITTEN UPDATES
Tuesday on Zora.

Before usome k*mbuka ku like πŸ™
Zora atafika pale site kwenye mwili wa Oliver ulipatikana. Loretta bado analia Oliver tu. Zora atasimama kwa woga. Na pale kando kuna dem amevalia design hajulikani. Amini husiamini...ni Alma na haikosi ndiye ako behind kifo cha Oliver. She's back na ni revenge anataka. Watu wataanza kujitoa. Madiba atamuona Zora. Ataenda asimame amwangalie. Kidogo detective atakuja k*mu arrest Nana. Loretta ataanza k*mleta Nana juu lakini Kwame atamzuia. Zora naye anataka kuongea Madiba lakini Madiba hana time yake.
Alma ataenda place ingine na motorbike yake, atoe helmet kidogo then apanguse machozi kisha huyooo, akajipa shughli. Wuuuweh, ni kuhot.
Zalena ataamka naye anawaza tu Oliver. Zalena ataanza kuuliza Yola Oliver ako wapi, is he dead...? Yola hamjibu hata. Zalena ataanza kuambia Yola asimfikirie hivyo juu yeye hajaua Oliver. Yola atacheka akiuliza Zalena mbona anaropokwa wakati yeye hajasema kitu. Yola atampa Zalena dawa zake.
Fela na Simba watakuwa wakiji nice na movies. Fela atajaribu ku make call flani lakini ni mteja. Fela ataambia Simba kuna ka emergency kiasi kametokea so anatoka kidogo. Simba atauliza emergency gani. Fela atamwambia ni beshte yake flani amepata ajali ako hosi sasa anaenda k*mcheki. Fela atatoka.
Neema atakuwa anabonga na Hamida kuhusu Oliver. Hamida ni time anatoka Kwenda kazi. Hamida atadai wategee Zora aje awapashe zaidi. Wao waende kazi. Neema atauliza Hamida sasa watu wanafiwa alafu yeye anaenda kazi, Kwani Hamida hana huruma kwa Zora na mpenzi wake Madiba amepoteza babake...? Hamida atadai ako na huruma lakini sasa wakikaa home watakula hizo huruma..? Neema atadai hata hana nguvu ya Kwenda kibandani, anaumwa na mwili juu ya ile headi. Hamida ataambia Neema basi akae na asimuombe pesa zosote. Hamida akienda kutoka atapatana na Master. Master ataambia Hamida upendo wake ni strong sana, na master anataka ku settled na Hamida tu. Kutoka Master aji commit kwa Hamida ameishi ku feel poa. Master atadai ye hapendi mama P**i, na pia Mama P**i hamtishi. So Hamida aamini Master akimwambia anampenda na ako ready k*mlinda, hata Mama P**i afanye nini hawezi change decision ya Master. Kidogo Mama P**i ataingia akimtishia Hamida, anataka k*muonyesha Hamida vitu yeye amepitia juu ya Master. Na k**a vitu Mama P**i amepitia pia Hamida amewahi pitia then amkatibie Master. Mama P**i ataambia Master k**a Hamida hayuko ready kupitia magumu then master asim force amfikishe hapo, juu Fiddy ako ready. Mama P**i atajitoa then Master afwate. Neema atakuja mbio kuuliza Hamida hii ni mara ya pili, amapewa second chance, lakini k**a hataki kusikia basi aendelee kung'ang'ana nao watakuja kuokota mizoga pale.

Kwa Chibales, Loretta atakuja akilia Oliver. Loretta ataenda k*mu attack Zalena akidai Zalena na Nana wameungana na Nana k*muua Oliver. Madiba atamzuia Loretta ku cause dramas mob. Madiba atamtoa Loretta pale. Zalena atauliza Kwame k**a ni kweli ni Nana. Kwame atadai Yap, Nana ndo Main suspect. Zalena atahapa kuwa Nana ataozea jela.
Fela atafika kwenye alikuwa anaenda, alikuwa anaenda kwa Nana. Odan atafika kuuliza Fela anataka nini pale..? Fela atadai amekam k*mtafuta Nana lakini ni k**a hayuko pale, Fela alitaka ku confirm story ya Oliver kufa. Kidogo Fela atapata notification kuwa Nana is arrested as the first suspect of murder concerning death of Mp Oliver Chibale.
Neema atakuwa akidai ile nyumba ni k**a ililaaniwa. Mwanzo kifo cha Alma kilikuwa na drama mob. Neema ataona Hamida mawazo yake ni k**a yako tu kwa mapenzi. Kidogo Zora atafika na ataambia Hamida na Neema kuwa Nana ameshikwa kwa kuhusika kwa kifo cha Oliver.
Fela atadai yeye haoni k**a Nana ndiye ameua. Odan ataambia Fela aachane na story ya Nana, waongelee yeye. Odan ataambia Fela ukweli kuwa yeye ako selfish na amekuwa akiumiza Zora sana. Odan anajua vile Zora akiwa na ball ya Fela alikataa na kuvumilia sana juu ya Fela. Lakini njia Fela anatumia sahi k*mpata Zora si poa. Fela aache ku involve mtoi kwa hizi story.
Kwame akiwa kwa room Yola ataingia k*mpa pole kwa kifo cha babake. lakini Yola anataka Kwame amwambie kitu kimoja, ni Zalena aliua Oliver..? Kwame atashtuka. Yola atajijazia tu ati ni Zalena. Kwame atadai yeye hajui. Kwame atadai hakuna vile anaweza confirm wala kukataa, yeye hajui. Kwame ataomba Yola amletee kinywaji kingine.
Madiba atakuwa kwa room na watoi wake. Ashawambia babu yao amepass na polisi wanafanya uchunguzi wao. Lila anauliza kwani hii familia imelaaniwa..? Sasa wakikaa hivi hawajui who's next. Wanaogopa.
Hamida atadai yani mapenzi yanafanya mtu aue..? Kweli mapenzi yana run dunia. Lakini Zora atadai Nana hawezi ua. Hamida ataambia Zora asijifanye anajua watu sana. Angoje mahak**a iamue. Hamida atadai yeye naye hapo kwa Master itabidi aweke ziii.
After umesoma usikose ku like. Like yako ni important kwangu πŸ™πŸ™
Share after umesoma πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
To be continued

Read out but don't forgot to like and comend
08/10/2021

Read out but don't forgot to like and comend

ZORA WRITTEN UPDATES
Friday on Zora.

Before usome k*mbuka ku like πŸ™
Detective atauliza Zalena kuhusu their domestic issues wakiwa na Oliver. Zalena atadai ilianza tu after Oliver kujua Madiba si mtoto wake. Oliver akasema hawezi Lea mtoto ambaye si damu yake. Hapo ndo alimfukuza Madiba. Detective atauliza na babake Madiba yuko wapi. Zalena atadai alifariki two weeks ago, alipigwa risasi kwa boma ya rafiki yake. Lakini chanzo cha kifo hajui. Detective atauliza jina la babake Madiba. Zalena atadai ni Gerald Sande. Detective anaandika chini tu. Detective atauliza Zalena yani two weeks ago Gerald akauwawa then sahi Oliver is missing, isn't that strange..? Zalena atadai very strange. Detective atauliza na mbona Oliver alimtumia ile Text..? Zalena atadai ni juu tu ya hiyo mambo ya Madiba. Lakini sentence ya mwisho ndo ilimsumbua Zalena sana. Zalena ataonyesha detective text yenyewe. Zalena atadai alikol Oliver na hakuwa anashika, then akamtumia hiyo Text na akaenda mteja. Zalena alitaka Oliver aende home waongee. Anajaribu hadi 5am but there was no response. Detective atauliza Zalena if alikuwa aware of relationship ya Oliver na Nana. Zalena atadai no. Zalena atadai hata ndo anashtuka akisikia kutoka kwa detective. Zalena ataambia detective yeye alichukulia Nana k**a bintiye na k*m treat vipoa time alikuwa anafanya kazi pale.
Zora naye atapatana na Mama P**i, amejam πŸ˜‚πŸ˜‚ Mama p**i atauliza Zora if anamjua vizuri. Zora atamuita Mama p**i. Mama p**i atamuuliza if anamjua. Zora atadai Yap, Master ndo alimshow. Mama P**i amejam juu anasikia Zora huchocha Hamida achukue Master. Mama p**i atadai last time alikuja kukanya Hamida akae mbali na Master but hakusikia, so leo amekuja kuambia Zora amchapie. Kidogo Hamida na Neema watafika wakicheka story zao. Kidogo k*muona Mama p**i, Hamida atatulia. Mama P**i atadai hata kamejileta. Hamida atahepea kwa mlango wake. Mama p**i atauliza Hamida k*mbe ako na mkidi na badala a concentrate na baby Daddy wake, ye ananyemelea mtu wake. Neema atazusha juu ya kuitwa mtoi. Mama p**i atampa Neema heady moja ya kimataifa πŸ˜‚πŸ˜‚ then atamuonya Hamida akae mbali na Master or else atatiii. Mama p**i before atoke ataacha k**a amewaambia asikie ati mtu amefungua mdomo wake na kuchapia Master hii story ndo watajua.

Madiba atakuwa akihojiwa na detective wa pili. Madiba ashajieleza na kusema before Oliver apotee mambo yao ilikuwa sawa but si vile. Juu since Madiba arudi hajaongea na Oliver. Detective atadai yani Madiba afukuzwe then akirudi tu hivi mzee anapotea. Detective atauliza Madiba what Happened to his wedding with Nana..? Madiba atadai haikufanyika juu ako in love na dem mwingine anaitwa Zora. Na anakaa huku Nairobi tu. Detective atauliza if iko mtu mwingine ako na relationship na Zora kwa hii familia apart from him..? Madiba atadai Zora na Nana walikuwa marafiki, walikuwa walimu shule moja. Detective atauliza Madiba if alikuwa aware of relationship between Nana and Oliver. Madiba atadai zii, lakini the other day ni Kwame alimchapia. Detective atamshukuru Madiba kwa ku cooperate. Then detective wa pili atajitoa.
Kule ghetto wako na wasiwasi. Neema anauliza Hamida anadeal na watu gani hawa wako na vichwa ngumu k**a N**i. Neema ataanza kuambia Hamida ukweli. Hawa ni nani ana deal nao..? Huyu Master anapigania hana shape, sura ndo hiyo. Sasa Hamida alipendea master nini na kuacha fadhili handsome boy...? Sasa ameshikana na Master. Neema ataambia Hamida kweli anamuangusha. Neema ataanza kuambia Zora vile fadhili hukua mzuri. Neema ataambia Hamida ni juu tu ya heshima lakini yule fadhili yeye angekuwa amepita naye.
Kwame naye atakuwa anahojiwa pale nje akiulizwa if anajua mtu yeyote ambaye anaweza kuwa na intentions za ku harm babake..? Kwame atadai zii. Detective atauliza Kwame reactions zake wakati Madiba alifukuzwa. Kwame atadai hakufurahi na ndo maana alifanya juu chini na k*mrudisha home. Detective Atauliza Kwame yeye ndo kijana wa pekee wa Oliver, na if Oliver akifa sahi Kwame ndiye ataridhi Mali. Lakini wakati Madiba alirudi Kwame aliambia Madiba kuhusu relationship ya Oliver na Nana. Intention yake ilikuwa gani..? Kwame atadai hakuwa na intention yoyote akiambia Madiba kuhusu babake na Nana. Alitaka tu Madiba ajue ukweli. Detective atasema no more questions. Kwame ataambia detective ajue tu yeye hawezi tamani kuumiza mtu yeyote kwa familia yake. Detective ataambia Kwame Asante.
Upande mwingine pia Ogola anahojiwa k**a wale wengine, Yola pia.
After detective kufanya uchunguzi wao pale kwa boma, Madiba na Kwame watakuwa kwa nyumba. Kwame anauliza Madiba amekuja tu recently alafu baba yao anapotea. Kwame ataomba Madiba amwambie tu hayuko behind kupotea kwa Oliver juu vile yule detective alikuwa anamuhoji ni k**a aliona Kwame alichapia Madiba hiyo story ya Nana na Oliver ndo Madiba a make a move. Madiba atauliza Kwame kwani hamuamini..? Kidogo Zalena na Loretta watafika pale. Loretta atauliza Kwame mbona anaangalia Madiba vile..? Zalena atauliza k**a wote walijua kuhusu relationship ya Oliver na Nana. Lakini hakuna mwenye atajibu. Wakati Zalena atasema okay ndo Kwame atadai Oliver alimchapia kiasi tu lakini mwenye ako na story mob ni Loretta. Loretta atakuwa mkali... Zalena atamuuliza mbona anakuwa mkali hivyo..? Loretta atawaambia wasimletee. Ama sahi vile Oliver amepotea ndo wanataka k*mgeuzia story..? Loretta ataambia Zalena alijua ty kuwa yeye(Zalena) ndiye anajua penye Oliver ako. Loretta atapoint Kwame akimwambia "ALAFU WEWE...WEWE" Loretta ataenda ampe Kwame slap....waaaah.. Kwame atadai kupigana na Loretta lakini Loretta atamwambia atamlaani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwani Loretta amempa Kwame kofi kwa nini...?
We soma alafu ukose ku like πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nitakulaani naniii πŸ˜‚ hebu like after reading
Na u like page for daily early Updates πŸ’ͺ
To be continued

07/10/2021

Ray lifestyle

Zora
07/10/2021

Zora

π’π„π‹πˆππ€ πŸ”π“π‡ πŽπ‚π“ 𝐅𝐔𝐋𝐋 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Kunafaa kuwa na mtu mwenye anaambia huyo model chenye yafaa anafanya so nakubaliana na Rosette,na kwa kuwa tumepoteza wateja hatuhitaji kupoteza hadhi yetu pia. Lakini Selina akaambuia Patricia please mimi nilikua na wazo langu Rosette wazo lake na tukikubali kutawaliwa na hasira,hatutaenda pahali. Lakini Selina akaona haezi pingana na Patricia wacha tu aachane na yeye aweke akili kwa kazi ju she knows what she is doing.
Huku kwa room ya Jackie ako kwa simu anasoma tu chats za Richard akicheka kisha anajisemea mbona huyu Richard anakua mgumu hivi,its now weeks jamaa haingii box bwana lakini punde si punde,Jackie akamuona Richy mbele yake,akamuuliza huwezi niacha,richy akamwambia nikuache aje na niko mbele yako. Jackie akamuuliza unataka kunipa nini basi? Richard akamwambia nataka kukupea penzi ujue venye naeza kudhamini iwapo utanipa moyo wako,kisha wakashikana wakahugiana wakaanza kuangaliana na s*x eyes,na ukiona watu wawili wenye wanapendana wanaangaliana na s*x eyes ujue next ni "jsnuhhUGHGjnjHSG" Kisha baadaye Jackie alienda bafu akatoka akakuja kwa kioo,tena Richard akakuja akamwambia kwani ndio natoka bafu ushanifuata,Richy akamwambia nimekuja kukupea company,lakini ajabu ni kuwa hii yote tumeona ama tumesoma haijafanyika kwa sababu Jackie in real life ndio huyu ameketi kwa bed na Richy akiwa sebuleni anamngoja,imekua tu mawazo ya Jackie 🀣🀣🀣
Baadaye Jackie alikuja na this time round akaambia Richy ukweli,manze nakupenda sana. Hii sasa ametawaliwa na mapenzi,ako in world of love. Wacha sasa wakati Richy anamguza Jackie ashtuke ajue haya,ghai nimeambia Richy nampenda. Akataka kuenda lakini Richy pia alikua amemkufia mbaya mbovu akamshiiiia na k*mvuta kifuani,Jackie akasema ooh yess sasa Patrikii afanye kazi sasa,wamlambezz πŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ€£πŸ€£πŸ€£

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Angelica ashafanya kazi kiasi lakini habambiki, Kisha akakuja kwa room akamkol manager wake akamwambia please niambie k**a naeza jitoa kwa hii contract ya Mackenzie kuna venye sibambiki. Kisha akiwa kwa room,Selina alikuja na Selina ni wale watu wanapenda sana kuchunguza watu. Sasa baada ya k*mchunguza Angelica,alijua huyu lazima si model pekee lazima ako na kazi zingine,ju Selina anajiuliza mbona Angelica akiwa kwa watu anaongea mob lakini akiwa kwa room ananyamaza sana. Selina alimuuliza mbona umetoka katikati ya shoot? Angelica akamwambia if you go low I will drag down na sasa k**a unataka amani na mimi,niko na suluhisho hapa. Suluhisho gani? Angelica alikuja na Assistant wake kisha akaambia Selina kuanzia leo,ukitaka kitu ongea na assistant wangu aniambie na nikitaka kitu nitakua naambia assistant wangu,hii ikawa na maana direct communication kati ya Angelica na Selina has been cut,makosa.
Kumbe huyu assistant alifanya makosa akakuja jikoni na sasa huku jikoni Maria ndio kusema,baaasi. Maria alikuja akapata Asssistant wa Angelica anapika,Maria akamwambia wee mwendawazimu wewe,mbona unaingia ofisi yangu bila ruhusa? Toka hapa ama nikupike ukue mtura sai 🀣🀣Bahati tu Selina alikuja,Maria akamwambia ebu ambia huyu wazimu mimi huku ndio chief chef,lakini Selina akaambia Maria manze itabidi tukule chakula Angelica anataka. Maria hakufurahia kwanza akiimagine ati sasa kuanzie leo sufuria ya uji hakuna kulamba,haamini 🀣🀣🀣
Reagan akiwa kwa room k*mbe alipata zile picha za Angelica na imagine ako na mke wake. Zoey akasema huyu akiona skirt akili inaenda mbio,tangu Angelica akuje huku amegeuka sana. Lakini Zoey aliapa akasema siezi allow mume wangu achukuliwe nikiangalia hivi,lazima kiumane,baasi. Zoey vs Angelica katambe sasa na msisahau Rosette vs Angelica kashaanza kutamba. Watawezana?

PART 3
Selina sasa amejipea kazi tena k*make sure Angelica anapata chakula kwa wakati. Kisha baadaye Nelson alikuja akampata Selina akiwa ameketi na Zakayo hapo na Selina anaonekana sana ako very very busy ju ako na vitu mob. Nelson akaona sasa inabidi ajikaze asaidie mkewe na hii ndio ndoa. Ukiona mke wako a napika ugali enda msaidie kupika mboga bora usionje,ukiona anaenda kwa chali yake enda msaidie na fare,wait bibi yako aende kwa chali yake,jesus! 🀣🀣🀣
Baadaye hatimaye,Jackie na Richy walifika kwao,Jackie akadropiwa akaenda kwake na huyoo Richy akaingia kwa gari lake pia akaenda,mapenzi yamefika juu kwa juu na ili uamini,hata Jackie hakua amefika mbali,akapigiwa simu na Richy,Richy akamwambia manze nishaanza kuk*miss already si ukam hivi aki hug ya mwisho 🀣🀣🀣aki mapenzi wewe. Alafu kuna mapenzi na kuna sasa hii yako,wee sijui ni lini ushawai dropiwa 🀣🀣but all in all Selina kuona mapenzi ya Jackia akaona huyu Richy yafaa achunguzwe sana.
Haa! Sasa leo hii Rosete kiliumana. Nelson alikuja akamwambia sikiza Rosette,kuanzia leo ukitaka k*muona Jude utakua unapiga simu kwanza na k**a unataka tukutane then it will be purely business nothing else. Sitaki Selina wangu awe na hofu na mimi. Kisha Nelson akaenda.
Rosette alibaki hapo akiwa disapointed,kisha akajisemea huyu Angelica alifanya vizuri kuja huku kwa sababu ni k**a alikuja k*msaidia kwa hii vita. Kisha anasema wewe unaeza kuwa k**a msumenno unifurahishe kisha uniumize ju unaeza enda hivi uchukue Nelson wangu. Ju Rosette anataka sana Selina na Nelso waachane apate nafasi lakini akiimagine Angelica pia ako hapo,super model anaona hii competion inakua soo stiff,lakini afanye nini ikijipa sawa ikikataa yaliyobaki tutanyonyesha.
Good Night and God bless you all.

Zora
07/10/2021

Zora

ZORA WRITTEN UPDATES
Tuesday on Zora.

Good morning everyone, usikose ku like πŸ™
Zalena ataenda kwa Mzee Simba. Anataka kujua kila kitu Gerald aliwahi share na Mzee Simba kuhusu past yao. Mzee Simba atamkaribisha Zalena na baadae atamuelezea kila kitu.
Zalena atashukuru sana. Mzee Simba ataambia Zalena kuwa Gerald alimpenda kupindukia. Na if angekuwa uhai angemshukuru Zalena tena kwa k*mlinda against babake Zalena. Gerald alikuwa dereva wa babake Zalena. Na Zalena alipopata mimba yake Gerald, ilibidi Zalena adanganye kuwa mimba ni ya Oliver. So babake Zalena hakuwahi jua mimba ni ya Gerald. Zalena atadai alihapa ni heri yeye afe wa kwanza kuliko mpenzi wake Gerald. Mzee Simba ataambia Zalena kuhusu story ya Madiba na Zora, alikuwa ameikubali lakini akawaambia waende wa sort mambo yao kwanza. Zalena ataambia Simba hakukosea kabisa. Alifanya jambo zuri sana.
P**i ataenda kwa Fela. Anataka kuona Simba. Fela atamuuliza k**a yeye ni yule boy hukua na mdomo mob ama. P**i atauliza Fela if anafungua ama. P**i ataamua kuruka gate then Fela atamfungulia. Simba atafika na atafurahi k*mwona P**i. Fela atadai kuwaacha ye aende chips zao. P**i anaona huyu mtu ni mpoa k*mbe.
Fela atajitoa then P**i na Simba waingie ndani. P**i ataona kwa kina Simba kuko fiti aje. Simba atauliza P**i amletee nini. P**i atadai anything. P**i anakaa kwa kiti anaona ako state house πŸ˜‚πŸ˜‚ Simba ataleta juice P**i akunywe haraka k**a maji πŸ˜‚ Simba atabaki akishangaa k**a p**i ako sawa. P**i atauliza Simba if mamake huwa anakam k*mcheki. Simba atadai hapana, lakini wao huongea. P**i ataambia Simba ye haoni shida akikaa na babake, so Simba arelax a enjoy life. P**i ataomba Simba aweke movie. Wataanza kujibamba.
Madiba ako tizi tu. Ni k**a anafanyia pesa za Oliver tizi πŸ˜‚πŸ˜‚ kidogo Zalena atafika akidai k*mjoin. Leo hii Zalena amekuja kuambia Madiba kuhusu kitu anajua. Loretta atadai ali meet Zora alipoenda k*mwona Neema. Loretta ataambia Madiba kitu yeye aliona ni ati Zora anampenda sana for real. Yola atakuwa akisikiza. Loretta ataendelea k*mu hype Zora lakini Madiba atamwambia aache hizo stories. Hataki kusikia jina la Zora na pia chapter ya mapenzi Madiba amefunga. Exactly k**a vile mimi nilifunga vile dem mwingine alinifanya huku πŸ˜‚πŸ˜‚ alinitesa hadi nikadhani sina wazazi. Madiba ataambia Loretta atoke tu. Madiba ametosheka na watoto wake na anataka kuwa solo.

Zora atakuwa asha mchapia Hamida kuhusu story za Fela kuua baba Madiba. Zora atadai ndo maana anaogopa Simba akikaa na Fela. Zora atadai anajua yete ndiye alim provoke ile day alienda k*mwambia kuhusu Mambo ya yeye kupata mpenzi mpya. Sasa Zora anajua Fela kwenda kuua huko aim yake ilikuwa baba Zora wala si babake Madiba. Hamida atauliza Zora na K**a lengo la Fela lilikuwa baba Madiba..? Maybe aliona Madiba anachukua msichana yeye anapenda so akaona aue babake Madiba. Ama basi pengine lengo lake lilikuwa baba Madiba, au babake Zora au Zora au Madiba.
Upande mwingine Simba anaboeka na style ya P**i ya ku watch movie. P**i anapiga kelele, kuruka ruka, hatulii. Fela atafika na atapata P**i amebambika sana. Atamuuliza if movie imebamba mbaya. P**i atadai ndio. P**i anafurahi hadi Simba atamhepa. Simba anaumia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ P**i ataona Fela ako na chain kali, atamuomba azipime. P**i atapewa na atafurahi. Fela ataambia P**i k**a zambamba basi anaweza mpea iwe yake. P**i atadai Master akiziona hizo itakuwa kesi, na mamake anaweza pigisha bei. Fela ataambia P**i na Simba watulie awaletee food juu anajua wako ubao. Food kukuja tena ni matata πŸ˜‚πŸ˜‚
Zalena naye atafika home. Kuna documents alikuwa ametumiwa. Atafungua kuzisoma na atapata Nana ati ni shareholder. Zalena atajam. Kidogo Ogola ataingia. Zalena atamwambia atoke aende juu hana story na yeye. Ogola ataanza kujiongea akidai yeye ako ready kuacha kazi, amechoka sasa. Ogola ataambia Zalena ni kuhusu huyu Oliver. Zalena atauliza nini mbaya na Oliver...? Ogola atadai yeye ndiye Head of security pale na vitu vingine akiona lazima aseme tu. Ogola ataambia Zalena Oliver is meeting another woman, na huyo mwanamke ni Nana. Zalena atashtuka sana. Ogola atadai hata Oliver k*mfukuza Madiba ilikuwa juu ya Nana tu. So Ogola ameona ni poa Zalena ajue. Zalena ataambia Ogola atoke. Ogola atadai yeye ameenda kupanga vitu vyake in case kaumane yeye awe tayari kwenda kwao.
Mtaani Yola atafika akimtafuta Zora. Zora atatoka nje na Yola ataanza k*mcheka akimwita takataka ya mtu k**a yeye ndiye amekuwa akisumbua Madiba..? Yola ataambia Zora ajue Madiba ni wake na ajue Madiba ndiye mwanaume alimfanya ajue Love ni nini. Yola ataacha k**a aneambia Zora akae mbali na Madiba or else atajuta.
Sema kimeumana tena πŸ˜‚πŸ™†
To be continued
After umesoma usisahau ku like please πŸ™
Najua imekuja late but shida sio mimi πŸ˜‚ ni hawa wakuu wa Facebook sijui walikasirishwa na mabibi zao au vipi πŸ˜…
Anyway, like after reading.
SHARE AFTER READING πŸ’ͺ

Zora
07/10/2021

Zora

ZORA WRITTEN UPDATES
Wednesday 6th October on Zora
Before usome si u like kwanza πŸ™πŸ™πŸ™

After Yola kuondoka, Neema atamchapia Zora kila kiti kuhusu Yola. Vile yeye ni kisirani na pia yeye ni mke wa Kwame, nduguye Madiba. Zora atauliza sasa drama inakujia wapi if Yola is married to Kwame..? Neema ataambia Zora that's why wanamuhitaji yeye aliyebobea kwa umbeya. Neema ataambia Zora kuna tofauti Kati ya mapenzi na ndoa. Yola sasa yuko kwenye ndoa but Moyo wake wote hupo kwa Madiba, k**a vile Zora yupo kwa ndoa ila moyo wake uko kwa nani...huyu huyu Madiba tu. Neema ataambia Zora k**a alidhani amembwaga Nana, sasa ajue Yola ni wrong number na ndo shughuli imeanza sasa. Neema ataambia Zora k**a bado anampenda Madiba basi kila laheri kwake lakini awe tayari k*mwaga jasho manake pale ni pangumu.
Kwa Chibales, Zalena atak*mbuka akiulizia Oliver maswali na Oliver ajibu. Hiyo time Oliver alikuwa na hasira sana. Zalena hakuwahi jua nini mbaya na huyu mzee hadi leo ndo Ogola amempea ukweli. Na tena anaona Nana ashakuwa one of the shareholders kwa kampuni. Zalena atak*mbuka hadi Oliver akiwa mlevi, Madiba na Kwame walienda k*msaidia lakini Oliver alikataa msaada wa Madiba. Sababu ndo Zalena anaijua leo. Zalena atak*mbuka akiomba Oliver akubali ku attend wedding ya Madiba, Oliver alikuwa amekataa but finally alikubali. Zalena hakuwahi jua mbona Oliver hakutaka ku attend wedding, lakini ndo anapata kujua ni juu tu ya Nana.
After masaa, Zalena ataenda pale sitting room. Ndo Oliver anafika. Zalena ataanza kuambia Oliver vile alikuwa mzuri kwa Nana, naye Zalena alimshukuru sana. All of a sudden Oliver akabadilika. Akakataa pia ku attend wedding ya Madiba, akamfukuza, kisa tu mwanamke. Hadi akamweka one of the shareholders. Oliver ataambia Zalena ukweli yeye alimpenda Nana sana, na hata ndiye anakuja kuwa malikia huku. So if Zalena is not ready, the gate is open...she can walk. Alaaaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Oliver ameamua k**a mbaya mbaya.
Kwa Fela, Simba bado ako na P**i. Wamekula hadi Simba akalemewa. Lakini P**i amedai hapa ziii, lazima food iishe ndo ajue ameshiba. Hadi Simba anashindwa huyu p**i ako na tumbo mbili kwani πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini P**i atalemewa πŸ˜‚πŸ˜‚ Simba atamcheka.

Zora atakuwa ashaambia Hamida kuhusu story ya Yola. Hadi vile Yola amekuwa na ndugu wawili na Madiba hajawai Mwambia. Hamida atacheka akidai kweli hapa kazi ipo. Hamida atauliza Zora sasa alitarajia nini...? Hamida alikuwa ashamwambia Zora kitambo sasa hapa kizaa zaa kishapatikana. Lakini Zora aliyavulia nguo sasa ayaoge. Hamida ataambia Zora juzi ni Loretta leo ni Zora, na bado, watakuja wengi sana. Sasa Zora asakate ngoma.
Oliver atakuwa na Nana kwa gari. Wako kwa njia, sijui wanaenda home kwa Chibales au vipi.
P**i atadai amepiga sherehe ya mwaka kweli, shida ni hizi kuku za ubabi ni kubwa. P**i ataambia Fela kweli yeye ni msee wa power. Fela alikuwa amenunulia p**i kazawadi. Atampea na amuongeze Thao. P**i atadai hata hakai πŸ˜‚πŸ˜‚ ataamka k**a ameenda. Simba atamfwata then wabonge kiasi. Fela atakua anachungulia kwa dirisha. Alidhani Simba anahepa πŸ˜‚πŸ˜‚ Simba na P**i wataachana huku P**i anarudi ghetto.
Oliver na Nana walikuwa wameenda kuji enjoy na Oliver anaboeka ati siku imeisha haraka. Alitaka iwe Long. Oliver ataambia Nana hii ni kionjo tu na hajui amshukuru Nana kivipi juu ya kimuonyesha upendo. Oliver ataambia Nana ikiwa hatamvunja moyo then yeye ni wake. Nana atadai she's looking forward for more dates and creating more memories. Oliver atamwambia soon atakuja kuwa Mrs Chibale. Wataachana kila mtu aende kivyake.
Simba akiwa kitchen atavunja glass bahati mbaya. Atashtuka. Fela atafika hapo, after Simba k*muelezea Fela ataelewa. Simba alitaka kuundia Fela breakfast k**a vile Zora alikuwa anafanya. Fela ataambia Simba juu ya hiyo story sasa wasaidiane.
Fela atajoin Simba kitchen huku anamfunza vile huwa kunapikwa.
Kwa Chibales wakiwa kwa meza, Zalena atafika akiita Oliver. Ni asubuhi na last night Oliver hajarudi home. Zalena anajua wakati wa campaigns ndo Oliver huchelewa kuja home, sio siku k**a hizi. Zalena ako worried juu usiku mzima amekuwa akimkol na hajapata kusikia kutoka kwake, kitu alipata ni strange text kutoka kwa Oliver. Inasema ati "THANKS FOR EVERYTHING NIMEPITIA KWA SABABU YAKO, YOU ARE NOTHING BUT A SNAKE, NA NINA REGRET KUKU MEET"....."NA HATA NIKIFA LEO JUA NIMEKUFA WITH A LOT OF BITTERNESS"
Zalena atadai anamjua Oliver vizuri. Loretta atauliza Zalena amefanyia nini ndugu yake...? Zalena atadai Oliver ni mume wake, hawezi mfanyia kitu. Kwame atakol Oliver lakini ako mteja. Kwame ataambia Loretta aachane na mamake tu. Loretta anataka kujua ukweli. Yola atadai wapigie polisi lakini Kwame atadai wachukue 48hrs kwanza. Loretta atadai 48 hrs hapana, yeye anataka ndugu yake na akikosekana Zalena atamjua vizuri.
Kwani Oliver ako wapi tena...?
To be continued
After umesoma alafu ukose ku like hautakuwa unafanya poa. Show love please πŸ™
Like my page k**a bado huja like πŸ™πŸ™πŸ’ͺπŸ’ͺ
SHARE AFTER READING

Zora
07/10/2021

Zora

π™πŽπ‘π€ πŸ•π“π‡ πŽπ‚π“ 𝐅𝐔𝐋𝐋 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Haa! Simba na yeye k*mbuka tuliwaacha wakiwa jikoni,sasa anaambia babake "wee mzae harakisha bwana" Fella akamuuliza ni nani unaita mzae? Nitakufinya wewe πŸ˜‚πŸ˜‚kisha akampea mayai na akamwambia usianze kula uningoje,Simba akasema aii mi niko ubao bwana naanza kukula. Simba kuna venye wameanza kuzoeana na babake.
Tufike polisi station,Loreta alikuja kureport missing person,akaulizwa mwenye unataka kureport ako miaka ngapi? Loreta akasema ako 58yrs akaambiwa eish hapa tuko na missing person wa 10yrs huyo ni mtu mkubwa ngoja atarudi. lakini Loreta akamwambia huyo ni Oliver Chibale. Polisi kusikia ni Oliver Chibale akaandika report haraka haraka πŸ˜‚πŸ˜‚
Tufike kwa Fella tena,Zora amekuja kuona mtoto wake,lakini kufika akapata Simba amavaa nguo zingine za kiyoyo. Zora akauliza Fella haya ndio malezi unafanyia mtoto anavaa k**a gaidi,lakini Simba akaambia mamake please mum wacha kuongelesha babangu chafu ni mimi mwenyewe nimevaa. Zora alishtuka sana kusikia Simba anamuongelesha virude hivyo. wah!
Huku kwa polisi baada ya kufuatilia Oliver akaambia alikua kwa estate hii kisha akatoka akaenda Westlands akakaa for like 4hrs then later akaenda back to the same same estate. Hii sasa wanafuata venye simu yake ilikua inafanya, Kumbuka sai wewe ukipotea kitu cha kwanza wanaangalia your movement kwa kutumia simu shida sasa ni wakati wawe wanatumia simu then wapate simu yako ni dem yako alikua nayo akapea chali yake then huyo chali akapea bibi yake 🀣🀣🀣
Ilibidi Loreta na polisi wakuje kwa estate yenye wanakisia kuwa Oliver ako huko. Kumbe watchman aliwaona akina Oliver akaambia Loreta na polisi house number ya Nana kwenye Oliver ako.
Turudi kwa Oliver,Zalena ndio stress ako nazo,hadi hali hanywi. Sasa wakati Madiba na Kwame wanampombeleza mama yao,huku Yola anasema life is soo funny,you dont realize what you have until its gone. Kwame akamuuliza what do you mean? Yola akasema aa wachana na mimi nasoma text messages .
Haa! Wacha Loreta afike kwa nyumba wameambiwa aone mwenye anafungua mlango ni none other than Nana.Loreta hakuamini. Nana akauliza huyu jamaa mwingine ni nani akaambiwa ni detective. Nana akashtuka. Kisha akaambia Oliver hapatikani na simu yake inaonyesha alikua huku,Nana akasema alikua huku ndio lakini alinidrop kisha akaenda,lakini akaambiwa na mbona gari yake iko nje na hakuna mtu na kuna key ndani? Kizaazaa kimeanza sasa. Baaasi where is Oliver?
Moja kwa moja hadi kwa babake Zora. Kumbe Zora leo hii amekuja kuongea na bibiye babake,mamake wa kambo ukipenda. Mama akamuuliza Zora shida ni nini? Zora akamwambia nafeel kuwa naloose mtoto wangu,ju leo nimeenda k*muona anabehave like hata hana haja na mimi so please nataka unipe ushauri kiasi aki please. Mamake akamwambia manze kulingana na reasons ziliwekwa kwa court order ni hard sana kuappeal so maybe kwa sasa itabidi ujisimamishe kimaisha kwanza na mimi na mzee babako tuko hapa kukusaidia. In short,Fella alipewa child custody kwa sababu waliangalia hali yenye Zora anakaa si ile poa sana ju anakaa ghetto. Lakini kitu hawajui ni kuwa that court order is fake. Hicho ndio kitu Zora hajui. Makosa sana. Lakini akaambiwa next time ukija,tembea na ile court order tuone ilitoka court gani.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Interogation kwa Nana ikaanza sasa. Akasema tulienda kwa club jana majioni then akanidrop na akaenda hizi story za hakufika nimesikia na wewe. Polisi akauliza Nana,wewe na Oliver are you lovers? Nana akasema si ati ni kitu tunapendana ni venye kuna vile as in,akaambia jibu ni moja,yes or no? Nana akasema yeah we are a thing as in kuna venye tunapendana. Loreta pia alikuja akaulizwa akasema Oliver ako na wife na watoto wawili. Polisi akamuuliza then why should he involve with Nana k**a ako na bibi? Loreta akasema Nana alikuja k**a mwalimu na hapo ndio walipendana na Oliver although Nana alikua aoleke na Madiba.
Nana aliulizwa tena akasema yeah Madiba was to marry me but things didnt go well and harusi haikufanyika ndio sasa nikaja kwa Oliver ,akaulizwa ooh so you mean Oliver ni mubaba wako 🀣🀣🀣all in all to cut story short,Nana alisema kila kitu,huku Loreta pia anachangia akisema kila kitu chenye anajua ju Oliver is a former politician na kupotea kwake kunatia watu wasiwasi sana. Swali ni je,who is behind Oliver's disapearance,ni Zalena? ama ni Nandwa ama ni Paulo,ju ile design Paulo aliweka Madiba ngeta si ya kawaida 🀣🀣🀣yote tisa,Oliver Chibale is still missing na gari lake liko papo hapo bila dereva but kuna funguo ndani.
Loreta alirudi home after a very tiring day ya k*mtafuta ndugu yake,hajui aanzie wapi amalizie wapi na k*mbe alikuja na yule polisi akiwa na Nana.
Sasa Loreta kufika alianza tu kulia akisema ndugu yangu woyaye. Kisha wacha Madiba aangalia amuone Nana,alishtuka sana. Hata Kwame na Zalena walishtuka kwanza Zalena akiimagine ati huyu Nana atakua mke mwenza,anatokwa na wazimu.
Upande wa pili,babake Zora alikuja kuongea na rafiki wake wakili hapa akaambia hii kesi ya Gerald bado tunafuatilia na very soon tutapata the culprit and we see how justice will be served. Kisha rafiki yake akamwambia mimi naonelea huyu msichana wako aolewe na Madiba,huyu mtoto wa Gerald ju k*mbuka heshima yako na Mzee Gerald. Ingekua poa k**a ungeallow mtoto wako na Madiba waoleke.
Wooi! Loreta huku analia anaulizwa kuna nini? Loreta akasema gari imepatikana,keys imepatikana lakini kitu hakijapatikana ni Oliver mwenyewe,haonekani. Madiba akauliza gari imepatikana wapi. Kisha detective akauliza wewe ndio Madam Zalena? Zalena akasema yeah,kisha akauliza na nani ndio Madiba? Madiba akainua mkono akasema ni mimi,kisha detective akasema basi tutaanza na wewe Madiba kisha tumalize na Zalena. Kuanza nini hiyo? kesho wakati k**a huu huu tukutane papa hapa.
Good Night
See you time ya Selina on www.facebook.com/officialnandwa

Address

Nairobi
RUAKAROAD

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ray kakangu videos posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ray kakangu videos:

Videos

Share


Other Gaming Video Creators in Nairobi

Show All