Mayah 01 tv

Mayah 01 tv welcome to MAYAH 01 official Fb page πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ Kindly follow
YouTube πŸ‘‰MAYAH 01
TIKTOK πŸ‘‰ MAYAH 01
(3)

A lot of men today prefer paying wΓΌmen  off than being scammed into believing that they are into a relationship when in ...
23/12/2024

A lot of men today prefer paying wΓΌmen off than being scammed into believing that they are into a relationship when in reality, it is a transactional relationship.

Some guys only reach out to babes when they want to pipe. After piping, he either does transfer or gives her physical cash and they will share benediction until the next fellowship.

99% of relationship is transactional.. omunyole.. Bongo Diamond Platnumz Christ Community Church

πŸ™†πŸ€”Kuna huyu mtoto wa jirani yangu hupenda kuniita uncle ❀️.Sasa jana jioni mamake aliniitia supper🍚 mimi nami nikaenda k...
22/12/2024

πŸ™†πŸ€”Kuna huyu mtoto wa jirani yangu hupenda kuniita uncle ❀️.Sasa jana jioni mamake aliniitia supper🍚 mimi nami nikaenda kwake
Kufika nilibisha mlango mama akanikaribisha kwake nikaingiaπŸ‘Š.Akanipakulia chakula🍚 nikanawa mikono kisha nikaanza kula.Kabla sijamaliza kula hicho chakula kidogo babake mtoto aliingia kwa nyumbaπŸ’”.Mimi nilikuwa najua tu alikuwa ameenda kazini juu huwa anafanya kazi usiku(Nightshift).Akanisalimia vizuri kisha akaketi karibu na mlango wa kutoka.Mimi nik**aliza kula nikanawa mikono yangu nikaamua kutoka kwenda kwanguπŸ‘Š.
Kusimama tu hivi yule mtoto aliniuliza
"Uncle kwani leo hulali na mamangu ulivyolala na yeye juzi?"

To cut this story short please naomba mniambie Quick recovery πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ₯Ί
Lessons:kids are always truthful,,,they have nothing to hide(watoto hawana Siri),☝️☝️ Follow Mayah 01 tv ☝️☝️ omunyole Daniel "Churchill" Ndambuki aka Mwalimu King'ang'i followers of Jesus

25/06/2024

New speaker

05/06/2024

Creativity of highest order β™₯️β™₯️ omunyole

Ndo kutoka kupanda miti guys πŸ™ˆπŸ™ˆ tupewe ya kunyunyuzia mbolea Sasa πŸ™ˆ
10/05/2024

Ndo kutoka kupanda miti guys πŸ™ˆπŸ™ˆ tupewe ya kunyunyuzia mbolea Sasa πŸ™ˆ

21/04/2024

Mashemeji derby πŸ’™πŸ’™πŸ’™ omunyole

Ndovu ni kuu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ         Manchester City Arap Uria Arsenal
14/04/2024

Ndovu ni kuu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ Manchester City Arap Uria Arsenal

Ndo naamka ni k**a Ile pilaukin abdalla waliniekea "Mchele" Naskia uko nairobi mko wet juu ya mvua kunyesha πŸ€£πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ ...
13/04/2024

Ndo naamka ni k**a Ile pilaukin abdalla waliniekea "Mchele" Naskia uko nairobi mko wet juu ya mvua kunyesha πŸ€£πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ omunyole.

Hio eclipse mnangojea ni Mimi πŸ€£πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ ni kanzu tu then niingie kula pilau na kina abdalla πŸ™ˆ   finest,   .
08/04/2024

Hio eclipse mnangojea ni Mimi πŸ€£πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ ni kanzu tu then niingie kula pilau na kina abdalla πŸ™ˆ finest, .

Wow si pastors huskia vizuri πŸ˜˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ˆπŸ™ˆ nitakua pastor Sasa πŸ˜…πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ   omunyole,
04/04/2024

Wow si pastors huskia vizuri πŸ˜˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ˆπŸ™ˆ nitakua pastor Sasa πŸ˜…πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ omunyole,

04/04/2024

Wangapi wanataka twende hii kanisa πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ Quiapo Church Bongo Daniel "Churchill" Ndambuki aka Mwalimu King'ang'i Diamond Platnumz Christ Community Church kindly follow my page

πŸŽ‰ Facebook recognized me as a top rising creator this week!
02/04/2024

πŸŽ‰ Facebook recognized me as a top rising creator this week!

24/03/2024

A boy from bunyore πŸ€£πŸ€£πŸ™ˆπŸ™ˆ talent muhimu.. a future model , omunyole Ndindi Nyoro Quiapo Church Daniel "Churchill" Ndambuki aka Mwalimu King'ang'i Bongo Diamond Platnumz

Mniombee aki πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ mdosi atanimaliza     omunyole
24/03/2024

Mniombee aki πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ mdosi atanimaliza omunyole

22/02/2024

Pastor Yohanna, a h***y pastor in Kenya πŸ’”πŸ’” Tuko.co.ke Nairobi Gossip Club Stephen Mukangai Karangu Muraya A poster from hell 😭

Nimetoka USA kuongea na kina Snoop dog, Rick Ross, Justin Bieber, Beyonce, Rihanna, Jay z, na 50Cent wakuje hapa Kenya w...
12/02/2024

Nimetoka USA kuongea na kina Snoop dog, Rick Ross, Justin Bieber, Beyonce, Rihanna, Jay z, na 50Cent wakuje hapa Kenya wachukue Vijana Wakenya Million Mbili Wawafundishe muziki.
MTASHIDWA NA KUIMBA PIA???

Salaaaaleeeehh!!! , omunyole,

27/01/2024

Mimi ni mkulima challenge πŸ€£πŸ™Œ moto saana

23/01/2024

As we embark on our 2024 resolutions, LEST NOT FORGET... if you are running a business, please note that there's a difference between a business premises and a meeting point/premise. You cannot be inviting your friends to your business place to story tell for hours just because you hardly get time to hang out with them. You're killing your business. Let them buy and go away, if at all they're buying.
Some good ladies here, are running groceries but can easily convert them into salons when their friends show up with bad smelly weaves. Unabomoa nywele na unatukatia sukuma? You expect us to buy?
Kuna unauza kwa chemist na bado unaleta marafiki. Imagine "Mercy" hawezi nunua P2 hapo hao watu wakiwa. Hata "Jemo" hatanunua hapo CDs. And you, you'll blame it on your village witches.

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mayah 01 tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share