25/11/2022
πΉπ₯ WELCOMING DECπΉπ₯
ππ
Ushago enyewe ni tricky sana. Hapo kwa kitchen unapata sukari kwa mkebe ya panadol . Chumvi kwa mkebe ya royco . Mafuta ya kupika kwa chupa ya energy . Unga kwa ndoo ya omo surely
Sasa hapa ndio kuna ngori, una enda maji ya kuoga , unapeleka nyuma ya nyumba , unakumbuka hujachukua sabuni unaenda kuleta Kurudi unapata ngombe imekunywa maji . Unakimbia mtoni kuleta maji ingine kurudi unapata mbuzi imekula sabuni , unaenda kuchukua sabuni ya vyombo , kufika unapata ndama inatafuna towel polepole, haina haraka...Surely , unachukua towel kuenda kuanika kurudi unapata bata imeingia kwa besheni ina cheza kwa maji , una boeka unaenda kuoga mtoni .
Kufika unaoga na sabuni ya vyombo.
Kujianika ukauke unaskia unanukia supu ya omena ju ya kuoga na sabuni ya vyombo π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
I'M BACK FROM THE LONG I WAS OFFLINE
Please like ,follow ,share and commentπ