Uptown Radio Sports

Uptown Radio Sports Sports page for Kenyan number one podcast station Uptown Radio. Follow us on our main platform

Matokeo Ya Hii Leo Ligi Kuu Kenya FKF.Sofapaka 1-1 Nairobi City Stars.Bandari 0-0 Muranga Seal.KCB 4-1 Kakamega Homeboyz...
19/10/2024

Matokeo Ya Hii Leo Ligi Kuu Kenya FKF.

Sofapaka 1-1 Nairobi City Stars.

Bandari 0-0 Muranga Seal.

KCB 4-1 Kakamega Homeboyz.

Mara Sugar 1-0 Shabana.

Gor Mahia 3-0 Posta Rangers.

Ratiba Ya Hii Leo 19/10/2024 Mechi Za Ligi Kuu Kenya FKF.Nairobi City Stars vs Sofapaka FC๐ŸŸ๏ธ Kenyatta , Machakos โฐ1:00 P...
19/10/2024

Ratiba Ya Hii Leo 19/10/2024 Mechi Za Ligi Kuu Kenya FKF.

Nairobi City Stars vs Sofapaka FC
๐ŸŸ๏ธ Kenyatta , Machakos
โฐ1:00 PM

Bandari FC vs Murang'a Seal FC
๐ŸŸ๏ธMombasa Sports Club
โฐ2:00 PM

Mara Sugar FC vs Shabana FC
๐ŸŸ๏ธAwendo Green Stadium
โฐ3:00 PM

KCB FC vs Kakamega Homeboyz FC
๐ŸŸ๏ธSt. Sebastian Park, Murang'a.
โฐ:3:00 PM

Posta Rangers vs Gor Mahia
๐ŸŸ๏ธ:Kenyatta,Machakos
โฐ:4:PM

Austin Oduor, Gwiji Wa Gor Mahia Na Beki Wa Zamani Wa Harambee Stars amefariki dunia. Anasifika kwa kuwa nahodha wa Gor ...
16/10/2024

Austin Oduor, Gwiji Wa Gor Mahia Na Beki Wa Zamani Wa Harambee Stars amefariki dunia. Anasifika kwa kuwa nahodha wa Gor Mahia katika msimu wa kishujaa wa 1987 na kuiongoza timu hiyo kushinda Kombe la Nelson Mandela.

Marehemu ni babake Arnold Origi, mlinda mlango wa zamani wa Harambee Stars. Yeye pia ni kakake Mike Okoth, ambaye aliichezea Harambee Stars miaka ya 1990 na mapema 2000, ikishiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2004 huko Tunis, Tunisia.

Na Mungu Ailaze Roho Yake Mahali Pema Palipo Na Wema ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ™
Pole Kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki Na Wapenzi Wote Wa Soka๐Ÿ™๐Ÿ™

๐Ÿšจ: FA imethibitisha Thomas Tuchel Ndiye Kocha Mkuu Wa timu Ya Taifa Ya Uingereza kwa Mkataba Wa Miezi 18.Na Anatarajiwa ...
16/10/2024

๐Ÿšจ: FA imethibitisha Thomas Tuchel Ndiye Kocha Mkuu Wa timu Ya Taifa Ya Uingereza kwa Mkataba Wa Miezi 18.Na Anatarajiwa Kuanza kazi January Na Mkataba Wake UtaMalizika Baada Ya Fainali Za Kombe la Dunia 2026.

Matokeo : Ligi Kuu Italia Serie A            TORINO  2๏ธโƒฃโž–๏ธ3๏ธโƒฃ LAZIO โšฝ๏ธ 67" Adams                    โšฝ๏ธ 08" Guendouziโšฝ๏ธ 9...
29/09/2024

Matokeo : Ligi Kuu Italia Serie A

TORINO 2๏ธโƒฃโž–๏ธ3๏ธโƒฃ LAZIO
โšฝ๏ธ 67" Adams โšฝ๏ธ 08" Guendouzi
โšฝ๏ธ 90+3" Coco โšฝ๏ธ 60" Dia
โšฝ๏ธ 90" Noslin

Matokeo: Ligi Kuu Kenya FKF.KCB Football Club 1-0 Ulinzi Stars FCFrancis Kahiroโšฝ
29/09/2024

Matokeo: Ligi Kuu Kenya FKF.

KCB Football Club 1-0 Ulinzi Stars FC
Francis Kahiroโšฝ

28/09/2024
๐Ÿšจ RATIBA YA LEO JUMAMOSI YA SEPTEMBER 28-2024๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 14:00 - KenGold FC โš”๏ธ Tabora United ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 14:30 - Newcastle United โš”๏ธ ...
28/09/2024

๐Ÿšจ RATIBA YA LEO JUMAMOSI YA SEPTEMBER 28-2024

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 14:00 - KenGold FC โš”๏ธ Tabora United

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 14:30 - Newcastle United โš”๏ธ Manchester City

๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ 16:00 - Kaizer Chief โš”๏ธ Mamelodi Sundows

๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช 16:00 - Gor Mahia โš”๏ธ Mathare United

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น 16:00 - Udinese โš”๏ธ Inter Milan

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 16:15 - Coastal Union โš”๏ธ Pamba FC

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช 16:30 - RB Leipzig โš”๏ธ Augsburg

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช 16:30 - Wolfsburg โš”๏ธ VFB Stuttgart

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช 16:30 - M'gladbach โš”๏ธ Union Berlin

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 17:00 - Arsenal โš”๏ธ Leicester City

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 17:00 - Brentford โš”๏ธ West Ham United

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 17:00 - Chelsea โš”๏ธ Brighton

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 17:00 - Everton โš”๏ธ Crystal Palace

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 17:00 - Nottingham Forest โš”๏ธ Fulham

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ 17:30 - Willem II โš”๏ธ PSV Eindhoven

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท 18:00 - Lens โš”๏ธ Nice

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 19:00 - Namungo FC โš”๏ธ Tanzania Prisons

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น 19:00 - Genoa โš”๏ธ Juventus

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท 19:00 - Galatasaray โš”๏ธ Kasimpasa

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 19:30 - Real Sociaded โš”๏ธ Valencia

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช 19:30 - Bayern Munich โš”๏ธ Bayer Leverkusen

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 19:30 - Wolverhampton โš”๏ธ Liverpool FC

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ 19:30 - NEC Nijmegen โš”๏ธ Feyenoord

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ 19:45 - St. Johnstone โš”๏ธ Celtic

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท 2:00 - Le Havre โš”๏ธ Lille

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ 21:00 - Al Akholood โš”๏ธ Al Hilal

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น 21:45 - Bologna โš”๏ธ Atalanta

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท 22:00 - AS Monaco โš”๏ธ Montpellier

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 22:00 - Osasuna โš”๏ธ FC Barcelona

๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น 22:30 - SL Benfica โš”๏ธ Gil Vicente

๐ŸšจMapema Leo Timu Ya Taifa Ya Kenya Chini Ya Umri Wa Miaka 17 Iliondoka Nchini Kuelekea Uhispania Ambako Wanatarajiwa Kuk...
19/09/2024

๐ŸšจMapema Leo Timu Ya Taifa Ya Kenya Chini Ya Umri Wa Miaka 17 Iliondoka Nchini Kuelekea Uhispania Ambako Wanatarajiwa Kukita Kambi Kwa Ajili Ya Maandalizi Ya Kombe la Dunia litakaloanza Mwezi Wa Kumi.

Haloooo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‹ Good Afternoon.. .It's About to go down...Gor Mahia Vs Al Alhy.Time: 3:00Pm.๐ŸŸ๏ธ: Nyayo.K**a Hauko Nyayo Uko Wa...
15/09/2024

Haloooo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‹

Good Afternoon.. .It's About to go down...

Gor Mahia Vs Al Alhy.
Time: 3:00Pm.
๐ŸŸ๏ธ: Nyayo.

K**a Hauko Nyayo Uko Wapi ??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Siku ya MechiโšฝโšฝโšฝKombe la Shirikisho la CAF. Raundi Ya 2.Kenya Police VS  Zamalek SCโŒš3:00 Alasiri๐ŸŸ๏ธ:  NyayoKILA LA KHERI ...
14/09/2024

Siku ya Mechiโšฝโšฝโšฝ

Kombe la Shirikisho la CAF. Raundi Ya 2.

Kenya Police VS Zamalek SC
โŒš3:00 Alasiri
๐ŸŸ๏ธ: Nyayo

KILA LA KHERI POLICE FC โค๏ธ๐Ÿ’ช

๐ŸšจRATIBA YA LEO JUMAMOSI YA SEPTEMBER 14-2024๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 14:30 - Southampton โš”๏ธ Man United ๐Ÿ†‘๏ธ 15:00 - CBE SA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น โš”๏ธ Young Afri...
14/09/2024

๐ŸšจRATIBA YA LEO JUMAMOSI YA SEPTEMBER 14-2024

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 14:30 - Southampton โš”๏ธ Man United

๐Ÿ†‘๏ธ 15:00 - CBE SA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น โš”๏ธ Young Africans SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 15:00 - Mallorca โš”๏ธ Villarreal

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 16:00 - Tabora United โš”๏ธ JKT Tanzania

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น 16:00 - Como SC โš”๏ธ Bologna

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช 16:30 - M'gladbach โš”๏ธ VFB Stuttgart

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช 16:30 - Hoffenheim โš”๏ธ Bayer Leverkusen

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช 16:30 - RB Leipzig โš”๏ธ Union Berlin

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 17:00 - Brighton โš”๏ธ Ipswich Town

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 17:00 - Crystal Palace โš”๏ธ Leicester City

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 17:00 - Fulham โš”๏ธ West Ham United

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 17:00 - Liverpool FC โš”๏ธ Nottingham Forest

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 17:00 - Man City โš”๏ธ Brentford

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ 17:00 - Celtic โš”๏ธ Hearts

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ 17:30 - PSV Eindhoven โš”๏ธ NEC Nijmegen

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท 18:00 - Marseille โš”๏ธ Nice

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 19:00 - Azam FC โš”๏ธ Pamba FC

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น 19:00 - Empoli โš”๏ธ Juventus

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช 19:30 - Holstein Kiel โš”๏ธ Bayern Munich

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 19:30 - Sevilla โš”๏ธ Getafe

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 19:30 - Aston Villa โš”๏ธ Everton

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ 19:45 - FC Groningen โš”๏ธ Feyenoord

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท 20:00 - Auxerre โš”๏ธ As Monaco

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท 20:00 - Galatasaray โš”๏ธ Rizespor

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ 21:00 - Al Riyadh โš”๏ธ Al Hilal

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น 21:45 - AC Milan โš”๏ธ Venezia

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท 22:00 - PSG โš”๏ธ Brest

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 22:00 - AFC Bournemouth โš”๏ธ Chelsea FC

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 22:00 - Real Sociaded โš”๏ธ Real Madrid

๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น 22:30 - SL Benfica โš”๏ธ Santa Clara

Ratiba Ya Ligi Kuu Kenya  Hii Leo.Nairobi City Stars vs. Bidco United๐ŸŸ๏ธDandora.1:00PMSofapaka FC vs. FC Talanta.๐ŸŸ๏ธMachak...
14/09/2024

Ratiba Ya Ligi Kuu Kenya Hii Leo.

Nairobi City Stars vs. Bidco United
๐ŸŸ๏ธDandora.
1:00PM

Sofapaka FC vs. FC Talanta.
๐ŸŸ๏ธMachakos
3:00PM

Kariobangi Sharks vs. Tusker FC.
๐ŸŸ๏ธDandora
4:00PM.

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท ๐ŸšจWinga Wa Klabu Ya Barcelona Na Timu Ya Taifa Ya Brazil Raphinha Ndiye Mshindi Wa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa  Mwezi Ago...
13/09/2024

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท ๐ŸšจWinga Wa Klabu Ya Barcelona Na Timu Ya Taifa Ya Brazil Raphinha Ndiye Mshindi Wa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Agosti Wa Ligi kuu Uhispania ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ

๐ŸŸ Michezo - 04
โšฝ๏ธ Mabao - 03
๐Ÿ…ฐ๏ธ Asisst - 02
โšฝ๏ธ๐Ÿ…ฐ๏ธ Mabao/Asisst - 05

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด ๐Ÿšจ Mshambuliaji Wa Timu Ya Taifa Ya Norway Na Klabu Ya Manchester City Erling Haaland Ndiye Mshindi Wa Tuzo Ya Mchezaj...
13/09/2024

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด ๐Ÿšจ Mshambuliaji Wa Timu Ya Taifa Ya Norway Na Klabu Ya Manchester City Erling Haaland Ndiye Mshindi Wa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Agosti Wa Ligi kuu Premier League ๐ŸŒŸ

๐ŸŸ Michezo - 03
โšฝ๏ธ Mabao - 07

13/09/2024

๐Ÿšจ RATIBA YA LEO IJUMAA YA SEPTEMBER 13

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 16:00 - Coatal Union โš”๏ธ Mashujaa FC

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ 21:00 - Al Nassr FC โš”๏ธ Al Ahli

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช 21:30 - Dortmund โš”๏ธ FC Heidenhein

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท 21:45 - Saint Etienne โš”๏ธ Lille

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 22:00 - Real Betis โš”๏ธ Leganes

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 22:00 - Hull City โš”๏ธ Sheffield United

๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น 22:15 - Arouca โš”๏ธ Sporting Lisbon .

Klabu Ya Arsenal Imemuongezea Kocha Wao Mikel Arteta Mkataba Wa Miaka Mitatu.
12/09/2024

Klabu Ya Arsenal Imemuongezea Kocha Wao Mikel Arteta Mkataba Wa Miaka Mitatu.

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ๐Ÿšจ ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž : Arsenal imefikia makubaliano kamili na kocha Wao Mikel Arteta kuongeza mkataba wa miaka mitatu wa kubak...
12/09/2024

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ๐Ÿšจ ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž : Arsenal imefikia makubaliano kamili na kocha Wao Mikel Arteta kuongeza mkataba wa miaka mitatu wa kubakia Arsenal hadi Juni 2027,

Source David Ornstein

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uptown Radio Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Uptown Radio Sports:

Videos

Share