21/04/2021
Page
osoman 254 please like this page
MADAM WA SOCKS😂😂
PART 1😋
(Watuuu Wanguuu Am Back Nani amenimiss😋 Anyway nimewaletea latest thing)
Aki si mtu akiwa dryspell anakuanga na temptations😏, achana na temptations kwanza mostly mtu hupata ata
hana kakitu kwa mfuko🙄 pia na dame unadai hawezi kam na pesa ya kufuliza na ni wa githuraii 🥺... So last
week ilinibidii nitulie na spells zangu kwa nyumba stress free nikiwatch movie😋, shida ilikua movie yenye
nilikua nawatch ni Banshee na ni ile ya kunyanduana kutoka mwanzo😂 . Nikiwa nmetulia tu ivoo kwa
mtungi nikaskia knock kwa mlango, nikaamka tu kwa mshangaoo nikijiuliza kwani landlord ameniamulia aje
leoo😏🙄... Kufika kwa mlango nikapatana na smile ya thaoo🙂 .. Me:Hey, mambo
Her:poa, Naitwa Mercy n nauza socks
Me:(shetani akanianza na zile chocha zake.... "Buda uko dryspell wiki tatu na malii imejileta mpaka kwa
mlangoo😁")Haha naitwa Davii n huku ndio kwangu karibu
Her:Niko kazini, maybe next time🥱..
Me:nataka nichaguliee ndani ya haoo coz apa kuna neighbor sipendi akiniona😏
Her:waah poa but ujue sikaii coz siwezi taka kuharibuu Masaa ya kazii🙄
Me:hakuna shida, karibu n feel free (me na kiherehere yangu nikaeka ngoma ile ya mejja ya Siskii (Kamote😂) )
Her:ujue tumeingia kupima socks sio kuskiza ngomaa😩.
Me:na si bado ni mapema plus pesa nakuchukulia kwa mpesa iko apo nje so usikue na haraka😌
Her:bora isikue ni pair moja
Me:mi na ilekiherehere nikamserve turungi😂😂 (kwa wenye hawaijuii inaitwa american tea)
(Shetani akanikujia tena na boots za black😎;bro ii mali ni safi sanaa plus iko na haga kubwa kuliko dame yako
mwagilia top maji aivue🤣)so nkaanza kujiuliza nitafanya nni ndio huyu dame anipe Anipee.. nkaona
kummwagia maji sio solution.... (Shetani akarudi tena na nguo nyekunduu na kuanza kunitempt nimrape
🤦♂️🙆♂️🙆♂️)kumbe naye dame alikua hajakulaa na plus alikua ametoka safari kubwa.... Akaanza kuniuliza k**a izo
pesa nanunua nazo socks k**a naeza nunua nazo lunch tukulee..... Nikajua ata y