Mkose Manyizi Ufe Kwa Stress
👇
Hiki Ni Kituo Cha Watu Wenye Stress, Vinapostiwa Vitu Vingi Mixer Vinavyoeleweka na Visivyoeleweka Chakufa Chagua Kifurushi Kinachokufaa Kama Kifurushi Hakikufai Kausha Usilete Lawama Sijui Ooh nini-nini..?. Utafikili Unanichangia Bando..
_
Mkose Manyizi Ufe Kwa Stress,
_
Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Amkeni Kumekucha 😅😅😅😅😅😅😅🤦👇
Mbunge Wa kuria West Mheshimiwa Mathias Robi, Aokoa Wazee Wa kuria West Baada Ya PS Nelson Marwa, kuwaita mkutano kwa office ya Dio Masaba, Na kukoza kufika;
MP Mathias Robi ndio mkombozi Kuria West;
NINI MAONI YAKO USISAHAU KUSHARE:
Jibebe Na mbunge Wa kenya kwanza kutoka kuria West Migori County,
MP Mathias, ilikua furaha kubwa Sana kwa Wananchi Wa kuria West kuhudumiwa Na mbunge Wao chakula Cha mwili:
NINI MAONI YAKO USISAHAU KUSHARE:
Jibebe Na Kenya's Kama Watoto ndio Wanajua Rais wa tano Ni Dr William Ruto;
Bado Wewe unazimia ndani ya Team Raila Kuzimia....
NINI MAONI YAKO USISAHAU KUSHARE:
DISCLAIMER: DON'T OWN MUSIC COPYRIGHT OF SONGS AT BACKGROUND
What Main Stream Media will never show you about our 5th president.
WE WILL DEFEAT WITH 4M VOTES 🔥 🔥
"Kama nyinyi ni wanaume,jaribu mguze hata gate ya Ruto muone" Ndindi Nyoro dares DCI Kinoti after raiding Dp Ruto's office
Jibebe ndani ya Kapkatet Grounds, Kericho County:
JIBEBE NA MAONI YAKO USISAHAU KUSHARE;👇
Mzigo mzito Wakenya wanahitaji kupumzishwa Tarehe 9/8/2022 Ni Raila apelekwe Bondo Asubuhi, Asema Mr Chairman Immanuel Mwita:
Jibebe Na Jeshi la Mtu mmoja kijana kutoka kuria West, Alio jitolea kumfanyia Ruto Campeni Mashinani kwa nguvu kweli hii ndio Team HUSTLER 4 HUSTLERS NATIONAL;
NINI MAONI YAKO USISAHAU KUSHARE:
Jibebe Na The 5th Prezo Akiwa Kekomba kanairo akinunua mtumba 20,000k..:
Hii Ndio Bottom UP:
NINI MAONI YAKO USISAHAU KUSHARE:
RUTO IN THIKA;
UDA CHAMA CHA HUSTLERS:
NINI MAONI YAKO USISAHAU KUSHARE:
Jibebe Na The 5th president at Muoroto FM
NINI MAONI YAKO USISAHAU KUSHARE:
Jibebe Na Jeshi la William Ruto lampatia zawadi Ya Gari.
NINI MAONI YAKO USISAHAU KUSHARE:
Mwenye masikio amesikia.👌
National Jana Ilikua Madaraka Day turns Madharau day.
Hon kimani ngunjiri
Wakenya Wanasema Hii Martharao Wanaenda Kuyakomesha 9/8/2022 Wajionee Ruto Akiwa Rais Wa Kenya.
NINI MAONI YAKO USISAHAU KUSHARE:
Kweli Wakenya wamemchoka Uhunyee......🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jifunze Kitu Kidogo Kutoka Kwa Huyu Mtumish Wa MUNGU🙏
Kutoka 22:22-23
[22]Usimtese mjane ye yote aliyefiwa na mumewe, wala mtoto yatima.
[23]Ukiwatesa watu hao katika neno lo lote, nao wakanililia mimi, hakika yangu nitasikia kilio chao,
Kila andiko lenye Pumzi ya Mungu lafaa kwa Mafundisho ili kutuonya....
Raila Baada Ya kukimbiwa Na Gavana Wa Machakos Na Kilifi Azimia Kwa Jukwaa.🤣🤣🤣🤣