11/06/2024
Kuzidisha ubora wa hali ni jambo asili wa kibinadamu, uvumbuzi ni mojawapo wa njia ya kuboresha hali kwa vyovyote vile. Dr. Tonny Omwansa, afisa mkuu mtandakazi katika idara ya uvumbuzi nchini (KeNIA) aelezea hali ya uvumbuzi nchini katika muktadha wa bara la Afrika na yepi yanayojiri.