03/08/2024
Diamond Platnumz amemzawadi mchekeshaji Tenge Tenge Dollar 10,000 sawa na 1.2M Ksh na 25.6M Tsh.
Sababu ya Diamond kumpa kiasi hicho ni kwa sababu Tenge amekuwa akipromote wimbo wa komasava kwenye video zake nyingi Tiktok.
Diamond amemualika Tenge ambapo ameondoka leo Uganda kuelekea Tanzania Diamond akilipa gharama zote.
Tiwa Savage pia amemualika kwenye Birthday ya mwanae itakayofanyika jijini London.