Ni kesho tarehe 30, lakini hapa ndani ya Simulizi Za Jossy tumesema mapema ndio best. A very happy birthday to you uncle Daniel "Churchill" Ndambuki aka Mwalimu King'ang'i, God bless you!
Wadau, remember to like, share and follow. Blessings!
Vijana wawili waliamua kuhatarisha maisha yao kwa kusafiiri kutoka Johannesburg hadi Heathrow, London kwa kujificha kwenye gurudumu (tairi) la ndege!
Mmoja alifaulu lakini mwingine alianguka na kukutana na kifo chake, fahamu zaidi kuhusu vijana Themba na Carlito ndani ya Simulizi Za Jossy leo.
Nawatakia wiki nzuri kama nywele zangu 😄 🤭.
Tarajia simulizi baadae.
If I ever had any doubts in life, this day proved to me that there is a God in heaven.
I still stand by the prophecy by the man of God Robert Burale. "May my gift take me to places I never thought possible. May Kings hear this gift."
This prayer moved me to my knees. Aliyeanzisha kazi nzuri atakamilisha.
#tuzidipamoja
#DestinedForGreatness
Katika simulizi leo hii tunamuangazia kwa undani mhubiri, Pastor Ng'ang'a Maina Freedom Freedom
Maisha yake ni ishara kua Mungu anaweza badilisha maisha ya mtu kutoka chini na kumueka juu.
Photo and video credits: Sasa tv tazama mbele
Ndani ya Simulizi Za Jossy hii leo tunaangazia sababu kwa nini baadhi ya wanawake wanamea ndevu.
Ni muhimu kutilia maanani kua hakuna kilichokasoro na wanawake hawa kwa hivyo si vyema kuwatenga au kuwaangalia kwa utofauti.
Mungu anakujali na anakuwazia mama.
Good morning. Win today ❤️
Lugha na tamaduni ni kitu kimoja. Kwa kiingereza tunasema language and culture are deeply intertwined. One can't exist without the other.
Hivyo basi, kando na kufundisha lugha tunahakikisha kufunza na tamaduni vilevile haswa chakula na Muziki. Shukran za dhati kwa Bwana Collins Smart Ketere akiwakilisha jamii ya Wamasaai.
#wanafunziwaBiMutisya
#simulizizajossy
#MunguMbele
2.8.2023 Simulizi Za Jossy inatimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa.
Happy 1st Birthday to my baby @simulizizajossy❤️
#simulizizajossy
#MunguMbele
Kwanza, happy new month. Nimewamiss yaniiii ❤️
Alafu, while I was away, what did I miss? Nipeni updates watu wangu 😃
I just watched the Kitengela woman stabbing her baby multiple times while singing, or was she chanting? When things like this happen, you can't help but wonder if people really understand the magnitude of what we as humanity are facing. Folks, we are in a war. A nasty war! The spirit world and the physical world are constantly at war. Take position, put on the full armor of the Lord.
Kama bado hujaona hiyo video, nenda ukaione, ni ngumu kutazama hadi mwisho lakini nakushauri utazame, it will give you a sense of what I just talked about. Some kind of reawakening.
#kitengelawoman