Habari 254tv

Habari 254tv Kisiwa Cha Burudani. YOUTUBE- 254 News And Entertainment
(2)

Khalid Aucho  ✋✋✋✋✋⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️Mwandishi > Fazul Khalid
11/09/2024

Khalid Aucho ✋✋✋✋✋⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️

Mwandishi > Fazul Khalid

Bango Nchini Kenya Huku Wafanyikazi Wa Uwanja Wa Ndege Wakiendelea Na Mgomo !!Mwandishi> Fazul Khalid
11/09/2024

Bango Nchini Kenya Huku Wafanyikazi Wa Uwanja Wa Ndege Wakiendelea Na Mgomo !!

Mwandishi> Fazul Khalid

ABUYAAAAAAA..... ''Azizi Huyo Aziz Huyo Kaisusa Kwa Abuya Kaitaka Tena....'' ~ Harmonize
11/09/2024

ABUYAAAAAAA.....

''Azizi Huyo Aziz Huyo Kaisusa Kwa Abuya Kaitaka Tena....''

~ Harmonize

Mtangazaji Mahiri Nchini Kenya Anaitwa  Kageni ....
11/09/2024

Mtangazaji Mahiri Nchini Kenya Anaitwa Kageni ....

Taifa Stars ⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
11/09/2024

Taifa Stars ⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Mfalme Alikiba Anasema ,"My first ever Extended Playlist, STARTER The EP, I embrace Bongo Flava. Friday 20th, September....
11/09/2024

Mfalme Alikiba Anasema ,

"My first ever Extended Playlist, STARTER The EP, I embrace Bongo Flava. Friday 20th, September. ''




Mwandishi > Fazul Khalid

(c) 2024 | KINGS MUSIC RECORDS

Mwenetu Susumila Yusuf Ameangusha Mizigo Bandarini 👍💊Mwandishi > Fazul Khalid
11/09/2024

Mwenetu Susumila Yusuf Ameangusha Mizigo Bandarini 👍💊

Mwandishi > Fazul Khalid

Je, Unawatambua Miamba Hawa?🔥🔥🔥🔥🔥Mwandishi> Fazul Khalid
11/09/2024

Je, Unawatambua Miamba Hawa?🔥🔥🔥🔥🔥

Mwandishi> Fazul Khalid

Msanii Raia Wa Tanzania Nay Wamitego Akemea Visa Vya Utekaji Na Mauaji Nchini Tanzania Stori Iko Hapa 👇👇👇
11/09/2024

Msanii Raia Wa Tanzania Nay Wamitego Akemea Visa Vya Utekaji Na Mauaji Nchini Tanzania

Stori Iko Hapa 👇👇👇

10/09/2024

Msanii Kutoka Tanzania Ney Wamitego Amekemea Vikali Utekaji Na Mauaji Nchini Humo. Msanii Huyu Amewarai Vijana Waamke Wahakikishe Kuna Usawa Katika Jamii..

Stori Hii Iko YouTube Link Hapa Chini 👇👇👇

Mwandishi> Fazul Khalid

Msanii Kutoka Kenya Muite Bahati Na Mkewe Diana !!Je, Kukuwa Tight Hivi Ndio Ishara Tosha Kuwa Wawili Hawa Wameshibana ?
10/09/2024

Msanii Kutoka Kenya Muite Bahati Na Mkewe Diana !!

Je, Kukuwa Tight Hivi Ndio Ishara Tosha Kuwa Wawili Hawa Wameshibana ?

Ni Nyimbo Gani Ya Alikiba Huwa Inakukosha ?
10/09/2024

Ni Nyimbo Gani Ya Alikiba Huwa Inakukosha ?

"Nawapongeza Vijana Wangu Kwa Ushindi Wa kihistoria Dhidi Ya Namibia, Hata Hivyo, Inashangaza Kwamba Sijalipwa Kwa Miezi...
10/09/2024

"Nawapongeza Vijana Wangu Kwa Ushindi Wa kihistoria Dhidi Ya Namibia, Hata Hivyo, Inashangaza Kwamba Sijalipwa Kwa Miezi 9 Sasa Na Ninachopata Ni Kukosolewa Tu ."

Mwandishi> Fazul Khalid

Kenya ⚒🔥🔥🔥🔥
10/09/2024

Kenya ⚒🔥🔥🔥🔥

ABUYAAAAAAA  Na Bao La Ushindi Kwa Nchi Kenya Dhidi Ya Namibia Kenya 2-0 Namibia !
10/09/2024

ABUYAAAAAAA Na Bao La Ushindi Kwa Nchi Kenya Dhidi Ya Namibia

Kenya 2-0 Namibia !

Feisal Toto 💪💪💪💪💪💪🫵🫵🫵🫵🫵
10/09/2024

Feisal Toto 💪💪💪💪💪💪🫵🫵🫵🫵🫵

Bingwa Huyu Anawajibikia Zaidi Nchi Ya DRC CONGO. Tumpe Maua Yake Aisee !!!
10/09/2024

Bingwa Huyu Anawajibikia Zaidi Nchi Ya DRC CONGO. Tumpe Maua Yake Aisee !!!

10/09/2024

Wafanyikazi Wa Uwanja Wa Ndege Wa JKIA Nchini Kenya Wamegoma. Wanasema Kampuni Ya ADANI Kutoka India Itafanya Watapoteza Kazi Itakapoanza Kazi Rasmi Ya Kuboresha Miundo Mbinu Kwenye Uwanja Huo

Mwandishi > Fazul Khalid

10/09/2024

Lazima Uwe Na Nywele K**a Unataka Kunyoa

~ FID Q

10/09/2024

Msanii Kutoka Kenya Anayejulikana K**a Juliani Ni K**a Penzi Lake Limeingia Doa. Mpenzi Wake Lilian Ameamua Kumuunfollow Kwa Instagram Na Juliana Pia Akafuata Mkondo Wa Kumuunfollow.

Mwandishi > Fazul Khalid

10/09/2024

Mwalimu Abduba Dida Aligombea Urais Nchini Kenya Mara Mbili. Sasa Anatumikia Kifungo Cha Miaka 7 Jela Nchini Marekani.

Amepatikana Na Hatia Ya Kutisia Maisha Ya Mtu Ambaye Mahakama Bado Imebana Jina Lake.

Mwandishi> Fazul Khalid

Juliani And Lilian Unfollowed Each Other On Instagram. It Is Break Up Or Clout Chasing? Get The Whole Story Here 👇👇👇
10/09/2024

Juliani And Lilian Unfollowed Each Other On Instagram. It Is Break Up Or Clout Chasing?

Get The Whole Story Here 👇👇👇

Picha K**a Hii Unaitafsiri Kivipi ?
10/09/2024

Picha K**a Hii Unaitafsiri Kivipi ?

Hivi Mchoraji Masoud Kipanya Alimaanisha Nini Hapa ?
10/09/2024

Hivi Mchoraji Masoud Kipanya Alimaanisha Nini Hapa ?

TULIFANYA INTERVIEW NA PROF JAY NA ALISEMA HIVI ''Wanaosema Nimekufa Ghafla Washindwe Na Walegee..., Niko Sawa Mimi Sium...
10/09/2024

TULIFANYA INTERVIEW NA PROF JAY NA ALISEMA HIVI

''Wanaosema Nimekufa Ghafla Washindwe Na Walegee..., Niko Sawa Mimi Siumwi " ~ Professor Jay for Mikumi Professor Jay

Mwandishi> Fazul Khalid Stori Iko Hapa 👇👇👇

Msanii Lady Jaydee Amepaza Sauti Kutokana Na Kile Anachokiita Mauji Ya Ovyoovyo . Ameandika Hivi Kwenye Mtandao Wa X ''H...
10/09/2024

Msanii Lady Jaydee Amepaza Sauti Kutokana Na Kile Anachokiita Mauji Ya Ovyoovyo . Ameandika Hivi Kwenye Mtandao Wa X

''Hii dhambi ya kuua watu hovyo inachochea chuki sana baina ya watu na watu. Hadi siku atakapouwawa ndugu au mtu wako wa karibu ndio utaujua uchungu wake. RIP kwa wote waliouwawa bila hatia. Hakuna anaestahili kufa kifo cha kinyama. 💔''

Mwandishi> Fazul Khalid

Msanii Roma Mkatoliki Mwenye Makao Yake Nchini Marekani Ameweka Picha Ya Marehemu Hamza Mohamed Na Kuandika Hivi ''You w...
10/09/2024

Msanii Roma Mkatoliki Mwenye Makao Yake Nchini Marekani Ameweka Picha Ya Marehemu Hamza Mohamed Na Kuandika Hivi

''You will forever stay alive in our memories.
You will live forever in our hearts Big Man.💔
Endelea kupumzika Ka’mkubwa ✝️''

Ikumbukwe Ya Kuwa Hamza Mohammed Agosti 25 Mwaka Wa 2021 Aliwaua Maafisa Wa Polisi Watatu Na Mlinzi Katika Shambulizi La Bunduki. Mohamed Alipigwa Risasi Na Kuuawa.

Unadhani Nini Haswa Ndio Chanzo Cha Roma Kuandika Ujumbe K**a Huu ?

Mwandishi> Fazul Khalid

09/09/2024

Mwenzetu MICHAEL WERE MUKHUSIAH - BONGA BOLI Alizuru Chumba Cha Matangazo Ya RFI Kiswahili Jijini Nairobi Na Kudadavua Mengi Kuhusu Matangazo Na Vifaa Vya Kutayarisha Habari.
Mwandishi >> MICHAEL WERE MUKHUSIAH - BONGA BOLI
Stori Iko Hapa Bonga Tube 👇👇👇

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari 254tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Habari 254tv:

Videos

Share


You may also like