BK Online

BK Online News
(1)

Dj Khaled amegonga miaka 48 na leo anasherekea siku yake ya kuzaliwaHappy birthday kwake^A.M
26/11/2023

Dj Khaled amegonga miaka 48 na leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa
Happy birthday kwake

^A.M

Janjaro ni baba mtarajiwa kwanzia Sasa^A.M
19/11/2023

Janjaro ni baba mtarajiwa kwanzia Sasa

^A.M

Meek Mill afata nyayo za Snoop Dogg^A.M
19/11/2023

Meek Mill afata nyayo za Snoop Dogg

^A.M

After much consideration and conversation with my family, I've decided to give up smoke --Snoop Dogg
19/11/2023

After much consideration and conversation with my family, I've decided to give up smoke --Snoop Dogg

If I die don't post me>>> Brown Mauzo^A.M
18/11/2023

If I die don't post me>>> Brown Mauzo

^A.M

Burna Boy msanii kutoka Nigeria azikataa milioni 5 pesa za kimarekani ili akatumbuize Dubai kwa sababu hatoruhusiwa kuvu...
01/11/2023

Burna Boy msanii kutoka Nigeria azikataa milioni 5 pesa za kimarekani ili akatumbuize Dubai kwa sababu hatoruhusiwa kuvuta bangi.🤔🤔

^A.M

Habari za TanziaMsanii Ali B aaga Dunia,, R.I.P ^A.M
01/11/2023

Habari za Tanzia
Msanii Ali B aaga Dunia,, R.I.P

^A.M

North West ambaye ni mtoto wa kwanza wa msanii kutoka Marekani Kanye West amesema anataka awe rapa akiwa mkubwa pia anat...
31/10/2023

North West ambaye ni mtoto wa kwanza wa msanii kutoka Marekani Kanye West amesema anataka awe rapa akiwa mkubwa pia anataka aje awe mfanyabiashara amiliki kampuni za fashoni za Yeezy na SKIMS.

^A.M

Selemani Sasa ametufikisha huku 😅😅😅📸 Courtesy
31/10/2023

Selemani Sasa ametufikisha huku 😅😅😅

📸 Courtesy

Msanii kutoka Nigeria Kiz Daniel akanusha tetesi kwamba amekamatwa na polisi nchini Ivory coast ^A.M
14/10/2023

Msanii kutoka Nigeria Kiz Daniel akanusha tetesi kwamba amekamatwa na polisi nchini Ivory coast
^A.M

All men are dogs 😁😁
11/10/2023

All men are dogs 😁😁

Respect to the mothers who ensure their children get something to eat 😭
08/10/2023

Respect to the mothers who ensure their children get something to eat 😭

You gerrit 😀😀😀
07/10/2023

You gerrit 😀😀😀

Msanii Z-Anto mkali Aliyewahi kutamba na Wimbo wa bint kiziwi msilolifahamu ni kuwa uyu mwamba na Jay Melody Ni Ndugu ka...
20/09/2023

Msanii Z-Anto mkali Aliyewahi kutamba na Wimbo wa bint kiziwi msilolifahamu ni kuwa uyu mwamba na Jay Melody Ni Ndugu kabisa Tuambie Wimbo wa z- Anto Unaoukubali

King Khali anataka kuua beat ya Ngwair..Kimya kimya ^A.M
31/08/2023

King Khali anataka kuua beat ya Ngwair..Kimya kimya
^A.M

Staa wa muziki kutoka Nigeria Wizkid amempoteza mamake mzazi ^A.M.Photo credit 📸
18/08/2023

Staa wa muziki kutoka Nigeria Wizkid amempoteza mamake mzazi
^A.M.
Photo credit 📸

Kanye West and Kanye East
18/08/2023

Kanye West and Kanye East

Shabiki kindaki ndaki wa msanii kutoka nchini Nigeria Davido, Emmiwuks Embarked ametumia siku 8 kusafiri kutoka Benue mp...
12/08/2023

Shabiki kindaki ndaki wa msanii kutoka nchini Nigeria Davido, Emmiwuks Embarked ametumia siku 8 kusafiri kutoka Benue mpaka Lagos kwa kutumia usafiri wa baskeli, kwa ajili ya kukutana na mwanamuziki huyo.

Davido baada ya kuona tukio hilo ame-tweet na kumtaka kijana huyo kurudi alipotoka kwa sababu hayupo nyumbani.

Tweet hiyo ikieleza kuwa “Turn around I’m note home”

Je una neno lipi kwa Davido na Shabiki wake? Tupe maoni yako
^A.M.


Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BK Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BK Online:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share