Mtv News

Mtv  News Home of news and entertainment

Your request our command

06/06/2024

K**a siku njema huonekana asubuhi,
Je, week njema pia huonekana ama huanza lini

Wapi like kwa hawa malegends   Wanazidi kuwaandalia  vyombo please msichoke kungoja # sponsored by MTV news
29/05/2024

Wapi like kwa hawa malegends
Wanazidi kuwaandalia vyombo please msichoke kungoja
# sponsored by MTV news

Wakipandisha bei ya mafuta nasi tuta.......Ebu malizia
29/05/2024

Wakipandisha bei ya mafuta nasi tuta.......
Ebu malizia

Unadhani  ushauri huu ama hii picha inawalenga kina nani haswa
29/05/2024

Unadhani ushauri huu ama hii picha inawalenga kina nani haswa

29/05/2024

Karibu sana wafuasi wa wapya wa MTV news jihisi huru hapa ndio nyumbani kwa burudani na habari na mambo mengi yansyozingatia heshima,, tuna kuomba nawe uweze kualika marafiki zako walike na ku follow hii Page,,, thanks and welcome all

Mkenya wa kwanza kutoka county ya KISII  eneo bunge la  marani  ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya upili y...
27/05/2024

Mkenya wa kwanza kutoka county ya KISII eneo bunge la marani ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya upili ya Nyagesenda amstahajabisha watu wengi wakiwemo polisi kwa kuokota begi lenye milioni mia tatu na kuwakabithi polisi wa MARANI Leo hii
us for more..

27/05/2024

Ni kitu gani kikikufanyikia ama ukiona wala kuskia unajua tu siku yako imeanza vibaya?
tata

Hey guys,, nawapa mwakenja tu kuhusu huyu shujaa na President wa comedy   Ni mzaliwa wa KISII NYAMIRA county  Unaeza mwi...
23/05/2024

Hey guys,, nawapa mwakenja tu kuhusu huyu shujaa na President wa comedy
Ni mzaliwa wa KISII NYAMIRA county
Unaeza mwita aka mkisii ni mkisii
Ebu k**a unamtambua mtaje sasa

For more information about this man  guys mtafute kote mitandaoni k**a king joash   Kumbuka huyo ni video director wa al...
23/05/2024

For more information about this man guys mtafute kote mitandaoni k**a king joash
Kumbuka huyo ni video director wa all SDA hit songs ina Africa ila kwa hayo tisa kumi mfollow kote had YouTube utambue full story kumuhusu

The tallest man in the world
23/05/2024

The tallest man in the world

SAY SOMETHING TO THIS LEGEND
23/05/2024

SAY SOMETHING TO THIS LEGEND

Baada ya Crown media ambayo ni ya Alikiba kupost wimbo mpya wa diamond Alikiba aliweza kufamia team nzima ya wasafi kwa ...
17/05/2024

Baada ya Crown media ambayo ni ya Alikiba kupost wimbo mpya wa diamond Alikiba aliweza kufamia team nzima ya wasafi kwa kuto post kazi za wasanii wengine,,
Hiyo lalama ya Alikiba imechukulia wasafi kupost wimbo mpya wa harmonize na marioo "disconnect"
Je unaona aje kwa upande wako k**a sio Alikiba harmonize angepenyeza kazi yake wasafi mediy?
mkombozi wa konde

Huyu jamaa anaitwa aje?
17/05/2024

Huyu jamaa anaitwa aje?

Unakubali part ya nani katika choir ya ExodusWimbo wa ng'ombe na punda
17/05/2024

Unakubali part ya nani katika choir ya Exodus
Wimbo wa ng'ombe na punda

Ukitaka kujua mwimbaji halisi anayejali sauti yake lazima ishara ya mviringo iwepo anapoimba   lazima isonge
17/05/2024

Ukitaka kujua mwimbaji halisi anayejali sauti yake lazima ishara ya mviringo iwepo anapoimba
lazima isonge

K**a unawakubali rusha  like yako tukisonga
17/05/2024

K**a unawakubali rusha like yako tukisonga

K**a unatambua huu wimbo basi unapenda  verse gani?
17/05/2024

K**a unatambua huu wimbo basi unapenda verse gani?

K**a we ni mpenzi we ni mapenzi wa nyimbo za SDA ebu taja  title ya hii song
17/05/2024

K**a we ni mpenzi we ni mapenzi wa nyimbo za SDA ebu taja title ya hii song

Kati ya Your oice melody na Exodus ni gani unaikubali zaidi
17/05/2024

Kati ya Your oice melody na Exodus ni gani unaikubali zaidi

Plz keep on inviting your friends to like this page plz
16/05/2024

Plz keep on inviting your friends to like this page plz

Kwa mahojiano aliyofanya w***y poul katika redio citizen na mzazi w***y m tuva katika show hiitwayo mzeto east afriko,  ...
16/05/2024

Kwa mahojiano aliyofanya w***y poul katika redio citizen na mzazi w***y m tuva katika show hiitwayo mzeto east afriko,
Bozze alisema kuwa walikosana na mondi kwa maneno aliyokuwa akipelekewa na watu kuwa w***y ni mjeuei,,
Hiyo ndio ilifanya boss wa wcb simba hakuwahi post nyimbo w***y alizofanya na wasani wa wasafi kipindi hicho k**a pilipil waliofanya na harmonize na mmmh aliofanya na chui

Eti mlisema ck  inamaanisha  aje
16/05/2024

Eti mlisema ck inamaanisha aje

15/05/2024

Unalala kwa mwenyewe na kamia kwa mfuko kumbe mtoto wao amekuwa akitamani kuibia wazazi mia pia
Guess what !!?

15/05/2024

tricky
Kisii iko katika ngeli gani

Huyu hapa kichecheNi kazi yake gani unapenda
15/05/2024

Huyu hapa kicheche
Ni kazi yake gani unapenda

Hii nayo ni tricky sana     Ebu toa maoni yako  we unaeza fanya  hivyo?  na maswali yake
15/05/2024

Hii nayo ni tricky sana
Ebu toa maoni yako we unaeza fanya hivyo?
na maswali yake

K**a jina lako halianzi na yerufi yoyote ya jina  la  country yenye iko hapa ndani usijilaumu
15/05/2024

K**a jina lako halianzi na yerufi yoyote ya jina la country yenye iko hapa ndani usijilaumu

harmonize na Tunda man wafurugana jukwaani katika show moja darlsalam
14/05/2024

harmonize na Tunda man wafurugana jukwaani katika show moja darlsalam

14/05/2024

Mvua inakunyeshea ukiwa wapi

Address

Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtv News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category



You may also like