Ngetich ke

Ngetich ke Love, memes, game analysis

16/01/2025

Acha niseme leo initoke πŸ˜‚
S***m imechomwa na bado
hamuogopi dhambi πŸ₯ΊπŸ‘€bas
Gomorrah imebakia na si mnajua
The place 🀣🀣🀣🀣🀣ni Kenya πŸ˜†πŸ˜‚

16/01/2025

Najua haiwahusu but mtu mzee
Mzima hudate aje binti yake
πŸ˜©πŸ˜ΉπŸ€£πŸ’”πŸ‘€
Aty ni mambo ya mjini πŸ™„
Hii tabia ya wababa inafaa iishe πŸ₯΄πŸ‘€

15/01/2025

Sikatai unadate wababa,.
But mbona ukiconduct hechaivii
Unataka kijana mtall, dark and handsome πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”
Ukipata ukimwi wewe kufa tu pekee yako πŸ’”πŸ’€πŸ˜ΉπŸ™„

Si tufike majamaa
15/01/2025

Si tufike majamaa

This version of Facebook uses less data and works in all network conditions.

14/01/2025

Sikuambii udate vijana au wababa
But ukipata ukimwi wewe posti tu ndo tujue πŸ₯΄πŸ€£πŸ€£

14/01/2025

Sikatai unadate wababa πŸ€£πŸ˜‚
but Shida ni mamako akija kujua
Unadate ex wake πŸ₯΄πŸ’”πŸ’”πŸ€£πŸ˜‚

13/01/2025

Always look to Jesus in whatever you want
Ask him and he will answer you
Call him and he will hear you
Knock at his door and he will open for you
Goodnight everyone β™₯️β™₯️

11/01/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Purity Kathambi, Alwen Pedroso

Mlisema hawa watu wa andika hapo  wachinjwe lini πŸ€”πŸ‘€πŸ˜©πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ’”
09/01/2025

Mlisema hawa watu wa andika hapo
wachinjwe lini πŸ€”πŸ‘€πŸ˜©πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ’”

06/01/2025

Mtu tu umetulia na stress zako umeamua kuinama lunch πŸ’” πŸ˜”πŸ€£πŸ˜‚ alafu mbwa inapita na kaugali mzima mzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

05/01/2025

So long as Manchester united is far
back behind CHELSEA we are happy with the results πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ Chelsea to the world πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’ͺπŸ’ͺ
Today's game prediction is 7:0 in favor of Liverpool

03/01/2025

Spanish kidogo mtu ashatafta passport
πŸ™„πŸ’”πŸ€£ tulia kimani,hakuna mzungu mkikuyu
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘€

02/01/2025

Alafu Kuna huyu dem nilikutana naye juzi tu 😌😌

Msichana kamebeba kamurima si hapa πŸ˜‚πŸ˜‹
Venye hii mwaka inaenda mbio naona nikichanganywa na mapenzi πŸ€¦πŸ™†

02/01/2025

Na huu mwaka inaenda mbio aje πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ imagine juzi tu ilikua last year nikama haitaki tutafte jobs
😳πŸ₯ΊπŸ₯Ί

01/01/2025

Mnaconfuse mapenzi na usherati
πŸ˜‚πŸ‘πŸ†
Mtu unalipia after mechi hiyo ni umilayas
πŸ’€πŸ’€πŸ‘€
Happy New year

01/01/2025

Kutembea na mtu mfupi ni tricky πŸ€£πŸ˜‚ unamfikisha kwenu unaulizwa ni mtoi wa nani 😹😹
Anyway happy New year

01/01/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Winnie Apoya, Neymar Hobizium, Arnoldo Moran, Victor Kufakwatenzi, Diomedes Antonio Pacheco ZuΓ±iga, Destiny Enocqs

31/12/2024

Kitambo nadhani Nurse ni bibi ya doctor πŸ˜‚πŸ˜‚
Si mruke mwaka na amani bas

Address

Southern Bypass
Moi's Bridge

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ngetich ke posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share