21/09/2023
πππππππ: πππππ ππ’ππ’π³ππ§ ππ―
ukumbuke kuweka LIKE
ππππ π
Junior alimchukua Jeff akamleta alale,kisha akakaa tu hapo akimshika shika kichwa. Moh alikuja akamwambia wau,mnakaa poa,na uko na plan gani na mtoto wako? Junior akashtuka,akamwambia eish, hufai kuloudspeaker hii kitu. Moh akamwambia manze,wewe ndio baba mtoto,kwanza anajienjoy sana akiwa na wewe na chenye naeza kuambia,usigive up,ongea na Becky pole pole hata k**a anataka pesa ngapi,wee mpatie tu. Junior alimwambia Moh sikiza, kwangu pesa si shida,chenye nawish ni mimi na Becky tuwe in good terms. Moh kusikia pesa si shida,akajua basi, this is what I wantπππ
Trisha akitoka kwa nyumba yenye Junior alilalisha Jeff,mbele yake, Trisha. Kisha tena kumbe Junior alikua amemfuata,sasa Trisha akashindwa,whats going on here, Moh na Junior mnatoka room aje?Junior akamwambia ni Jeff nilikua naleta alale. Moh akasema alafu mimi k**a aunty yake nilikua nakuja kuconfirmπππwueh! Ilibidi Trisha akuje kuconfirm Jeff amelala ju alikua anashindwa sana,bwanangu na maid room moja kivipi. Junior na yeye,anajiuliza k**a amwambie Trisha ukweli kuwa Jeff ni wake ama akanyagie.
Trisha alikuja akaambia Junior, your mum anataka grandchild,tangu aanze kuhung out na Jeff,kila saa anataka grandchild. Junior akamuuliza,tuseme sai like kwa example yani ile ya kuuliza tu,ukuje ufind out bwanako,sasa tuseme mimi Junior niko na mtoto huko nje unaeza fanya nini? Trisha akamwambia sikiza, nikipata kitu k**a hiyo,wacha kusema ati ni example,nikiwai jua, nahakikisha mtoto naua,na mamake pia nauaπππJunior akajua hapa sasa,alitaka kuambia Trisha kuwa Jeff ni wake but sasa ameona wueh,huyu ni wazimu. Trisha alimwambia na unisikize, siezi hata allow mtoto kutoka nje akuje hapa. Junior alimwambia ni sawa but siamini unaeza fanya kitu k**a hiyoπππBut Trisha alicheka akamwambia relax babe, Iam just kidding,but nikifind out,we will divorce. Junior akashangaa tena na Trisha akamuuliza,kwani kuna kitu yafaa nijue ama? Ju this is soo unusual kuuliza? Junior alimwambia usijali babey, Iam just asking.
Moh alikuja akapata Junior na Trisha akawaambia by dha way nishamaliza kazi nataka kuondoka. Junior akamwambia but Jeff bado analala ama utamuacha huku? Moh akamwambia apana, nitaambiaje mamake. Junior akaendea Jeff kwa room akaacha Trisha na Moh hapo.
Trisha alianza kuuliza Moh maswali,venye anarelate na Becky ju awakai k**a siz. Moh alimwambia Becky huwa hivyo,but usijali mambo ya familia hayo tuko sawa. Trisha akamwambia ooh,nilidhani kuna kitu mbaya. Kisha Trisha akaambia Moh, manze kuna venye naprefer wewe than Becky. Moh akafurahi na akaambiwa incase anataka kitu, aambie Trisha atamsort. Junior alirudi akaambia Moh, Junior bado amelala itabidi ungoje aaamke. Moh alimwambia usijali, acha tu alale nitajua venye nitaambia Becky. Moh akafanya one,very big mistake kuacha Junior huku atajua venye ataambia Beckyπππ
Maureen akitoka, Martha alimuita akamuuliza Jeff ako wapi? Moh akasema amelala nimeona nisimuamshe so atalala huku. Martha akamuuliza na mamake anajua? Moh akamwambia hajui lakini nitamwambia ju si hata huku ni kwa kina Jeff badoππMartha hakuelewa akamwambia tu ni sawa na usalimie Becky. Moh hajui kuficha kitu,kitu anajua kuficha ni pesa tuπ€£π€£π€£
Trisha akiwa an Junior hapo,ndio Martha anakuja na Trisha akapigiwa simu,akajiexcuse akaenda kureceive. Martha akaambia Junior,hata k**a napenda Jeff,I need my own grandchild mwenye ni my blood so please changamka na Trisha kijanaaπ€£π€£Junior anajiongelelea kimoyomoyo akisema ungejua Jeff is your blood,hungekua unatafuta mtotoπ€£π€£π€£
ππππ π
Moh alikuja direct hadi kwa Shantell,akapata Shan anajiaka ponds,anataka kuenda kujispoil na hakana jobπ€£π€£Moh akaambia Shan,nimeongea na Junior akasema yeye pesa si shida na atakua anapea Becky pesa anataka. Shan akamwambia ni good news ndio lakini itabidi umeongea na Becky ju amesema hatachukua any money kutoka kwa Junior. Moh akamwambia unaona shida ya sister wangu,anadhani akikataa pesa ni mimi atakua anahurt hajui ni mtoto wake.
Becky na yeye ana wasiwasi, Jeff hajafika na anajaribu kucall Maureen hashiki simu. Tito alikuja akamwambia by dha way babe, now that tuko wawili nataka tuongee kitu. Becky akamuuliza kuhusu nini? Tito akamwambia manze nimeishi kutaka attention yako but nik**a hunipati,huyu Moh wenu k**a ataendelea kuishi hapa,mimi sitakaa huku babe. Becky alikuja juu,akamuuliza uko sawa, yani tunaongelea story za Jeff na Moh na wewe unaongelea story za kuhama,uko sawa kweli? Tito akamwambia pia wewe sijui uko aje, yani mimi hukam through issues zako but ikifika kwa yangu inakua noma na unajua tu venye Moh ana mdomoπ€£π€£π€£kumbe Moh alisikia,akauwaluza jina langu linatajwa tajwa limekosa nini?
Kwa Martha,Jeff ndio anaamka akaanza kuuliza mamake ako wapi but Martha akamwambia usijali,madhe amesema utaspend night atakuja kesho. Jeff kalifurahi sana kusikia kanalala huku. Alafu kuna ile kuzoeana wameanza kuzoeana na Junior,venye inafaa na Trisha