Erick Saba Kenya

Erick Saba Kenya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Erick Saba Kenya, Digital creator, Ghetto Rev, Meru.

Online Tv Personality
C.E.O at SABA ONLINE TV
YOUTUBE link👇
https://www.youtube.com/
TikTok Link 👇
tiktok.com/
Instagram Link👇
Instagram
Telegram Saba Tv
WhatsApp No.👇
+253 721 272 408
SabaOnlineTv

12/03/2025
12/03/2025

Mtu wa Maana kabisa

SWALA YA TARAWEHE Tarawehe ni Swala ya usiku katika mwezi wa Ramadhani.Na imeitwa Tarawehe kwa kuwa wao walikuwa wakipum...
11/03/2025

SWALA YA TARAWEHE

Tarawehe ni Swala ya usiku katika mwezi wa Ramadhani.
Na imeitwa Tarawehe kwa kuwa wao walikuwa wakipumzika baada ya kila rakaa nne kwa sababu ya urefu wa Swala.

HUKUMU ZA SWALA YA TARAWEHE:
Tarawehe ni sunna iliyotiliwa mkazo, iliwekwa na Mtume wa Allah ﷺ katika mwezi wa Ramadhani tukufu, kwa kuwa Nabii ﷺ aliiswali na swahaba zake msikitini masiku kadha, kisha akaacha kuiswali kwa kuogopa isifaradhiwe juu yao. Na maswahaba waliifanya baada yake ﷺ [Imepokewa na Muslim.] .

IDADI YA RAKAA za SWALA YA TARAWEHE:
Lililo bora zaidi ni rakaa kumi na moja, kwa kuwa hiko ndicho kitendo alichokuwa Mtume ﷺ akikifanya zaidi, Kwa kauli ya ‘Aishah t alipoulizwa: “Ilikuwa namna gani Swala ya Mtume?” Akasema: (Hakuwa Mtume wa Allah ﷺ akizidisha katika Ramadhani au miezi mingine kupita rakaa kumi na moja)
[Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

MAELEZO
1. Swala ya usiku ni Sunna iliyotiliwa mkazo katika mwaka Mzima, Imekirihishwa kwa anayeswali usiku kuacha ada yake. Abdullah bin ‹Amr bin Al-›Aasw t alipokwea akisema kuwa Mtume wa Allah ﷺ alisema: (Ewe Abdullah! Usiwe k**a fulani aliyekuwa akiinuka usiku kuswali kisha akaacha kuinuka usiku)
[Imepokewa na Bukhari na Muslim.] .

2. Imependekezwa kwa mtu akizundukana kwa kuswali usiku amuamshe mke wake, kadhalika mwanamke amuamshe mumewe, kwa kauli yake Mtume ﷺ : ( Mtu akimwamsha mke wake usiku wakaswali rakaa mbili pamoja, wataandikwa kuwa ni miongoni mwa wanaume na wanawake wenye kumtaja Allah)
[Imepokewa na Abuu Daaud] .

3. Mwenye kushindwa na usingizi katika Swala ya usiku, basi aiache Swala na alale mpaka usingizi umuondokee. ‘Aishaht alipokewa akisema kwamba Nabii ﷺ alisema: (Akisinzia mmoja wenu katika Swala, basi na alale mpaka usingizi wake umuondokee) [Imepokewa na Bukhari na Muslim.] .

4. Imependekezwa kuleta istighfari na kuomba dua katika theluthi ya mwisho ya usiku, kwa hadithi iliyopokewa na Abu Huraira t kwamba Mtume wa Allah ﷺ amesema: (Anateremka Allah kwenye uwingu wa karibu katika kipindi cha theluthi ya usiku ya mwisho na Anasema: “Ni nani aniombae nimkubalie? Ni nani anayeniomba msamaha nimsamehe?)
[Imepokewa na Bukhari na Muslim.] .

KUSWALI TARAWEHE KWA NIA YA ISHAA
Mwenye kuchelewa kuswali Ishaa, alipohudhuria akawakuta watu wanaswali Tarawehe, basi ataswali pamoja nao kwa nia ya Ishaa, na imamu akipiga Salamu atainuka kutimiza Swala yake.

Fatuma

👇👇👇👇
11/03/2025

👇👇👇👇

COCOA TEA IS DEADJamaican reggae maestro Cocoa Tea has died at the age of 65. Born Colvin George Scott, the songwriter i...
11/03/2025

COCOA TEA IS DEAD

Jamaican reggae maestro Cocoa Tea has died at the age of 65. Born Colvin George Scott, the songwriter is said to have struggled with pneumonia and he died while receiving treatment at a hospital in Florida.
TV

Cocoa Tea, Mwimbaji Mashuhuri wa Reggae na Mtunzi wa Nyimbo nchini Jamaica, amefariki akiwa na miaka 65.“Natuma salamu z...
11/03/2025

Cocoa Tea, Mwimbaji Mashuhuri wa Reggae na Mtunzi wa Nyimbo nchini Jamaica, amefariki akiwa na miaka 65.

“Natuma salamu za rambirambi kwa familia, marafiki, na wafuasi wa Calvin George Scott, anayejulikana kwa upendo k**a Chai ya Cocoa,” Waziri Mkuu wa Jamaica Andrew Holness aliandika katika chapisho kwenye Instagram.

Mkewe, Malvia Scott, alithibitisha kupitia gazeti la Jamaica Gleaner, kwamba mwimbaji huyo alifariki kufuatia mshtuko wa moyo mapema Jumanne asubuhi huko Fort Lauderdale, Florida.

Akiwa amezaliwa katika mtaa wa Rocky Point wa Clarendon, Jamaica, Scott alipata umaarufu katika kisiwa hicho kwanza kabla ya umaarufu wake kuanza kukua kimataifa katika miaka ya 1990.
TV

Machine ya kuunda chapati milioni mbili kwa saa moja Karibu jameni!  👇  QQueen Fatuma
11/03/2025

Machine ya kuunda chapati milioni mbili kwa saa moja Karibu jameni!
👇
QQueen Fatuma

11/03/2025

. //"""""""""""""'''\\
🔍// ____⚡🤵 \🔎.
╱╱___2_16_ _____╲╲
[⭕⭕__[|||] [|||]__⭕⭕]
|____[THE G.O.A.T]____|
\,,,,,----||||||||||||||||||----,,,,,,/

10/03/2025

Mwenzi Mtukufu Wa Ramadhan inaendelea
🙏🙏🙏🙏

Make Sure ume Follow   k**a Uko   tukitoka Mwezi wa   kuna mambo mazuri yatafuata itakuwa   Saba Tv   SABA TV   Saba Tv ...
09/03/2025

Make Sure ume Follow k**a Uko tukitoka Mwezi wa kuna mambo mazuri yatafuata itakuwa
Saba Tv
SABA TV
Saba Tv
Facebook itakuwa Off Tukutane
Its Saba

Make Sure ume Follow   k**a Uko   tukitoka Mwezi wa   kuna mambo mazuri yatafuata itakuwa   Saba Tv   SABA TV   Saba Tv ...
09/03/2025

Make Sure ume Follow k**a Uko tukitoka Mwezi wa kuna mambo mazuri yatafuata itakuwa
Saba Tv
SABA TV
Saba Tv
Facebook itakuwa Off Tukutane
Its Erick Saba

Utafiti kutoka Chuo Kikuu cha Taifa cha Australia (ANU) umebaini kuwa wanaume huzama kwenye mapenzi ndani ya wastani wa ...
09/03/2025

Utafiti kutoka Chuo Kikuu cha Taifa cha Australia (ANU) umebaini kuwa wanaume huzama kwenye mapenzi ndani ya wastani wa wiki nne, karibu mara mbili haraka zaidi kuliko wanawake. Utafiti huu, uliowahusisha vijana 808 kutoka nchi 33, unaonyesha kuwa wanaume hujihusisha na mapenzi mara kwa mara zaidi, kwa wastani wa mara 2.6 ikilinganishwa na wanawake wenye wastani wa 2.3.

Hata hivyo, ingawa wanaume huingia katika mapenzi kwa haraka, wanawake huonyesha hisia zaidi na kujitolea zaidi wanapojihusisha kimapenzi. Matokeo haya yanapendekeza kuwa wanaume huzama kwenye mapenzi kwa kasi, nguvu, na kwa uhalisia zaidi.

Unakubaliana na utafiti huu?

Powered By
The Queen's Styles Salon

Rais wa FIFA,  , amethibitisha kuwa fainali ya Kombe la Dunia 2026 itakuwa na shoo ya muziki kwenye kipindi cha mapumzik...
09/03/2025

Rais wa FIFA, , amethibitisha kuwa fainali ya Kombe la Dunia 2026 itakuwa na shoo ya muziki kwenye kipindi cha mapumziko kwa mara ya kwanza katika historia ya mashindano hayo.

Fainali hiyo itafanyika Julai 19, 2026, katika Uwanja wa MetLife, New Jersey, na itashirikiana na Global Citizen katika kuandaa burudani hiyo. na wa wameteuliwa kuchagua wasanii watakaotumbuiza.

FIFA inalenga kuongeza mvuto wa fainali hiyo kwa mtindo unaofanana na Halftime Show, ili kuwaleta pamoja mashabiki wa soka na muziki.
Powered By:
The Queen's Styles Salon

Ramadhan kareemMtu wa maana kabisa
09/03/2025

Ramadhan kareem
Mtu wa maana kabisa

Cheza ata na moyo wangu nitakusamee ila   huyo sio kucheza naye kutaja jina tu ni Noma huyo ata afanye makosa gani Namsa...
09/03/2025

Cheza ata na moyo wangu nitakusamee ila huyo sio kucheza naye kutaja jina tu ni Noma huyo ata afanye makosa gani Namsamee vila ata kuomba msamaa True huyo die Mimi hii inatoka kwa roho 🥰216
QQueen Fatuma
My Worldbest 💯

Salon inaitwa Queen's Styles Salon Ukiwa Mombasa au ukitembea Mombasa make sure Umefuka The Queen's Styles Salon V.V.I.P...
09/03/2025

Salon inaitwa Queen's Styles Salon Ukiwa Mombasa au ukitembea Mombasa make sure Umefuka The Queen's Styles Salon
V.V.I.P and V.I.P only 24/7
The Queen's Styles

08/03/2025

Happy Women's Day mamake

Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha McMaster umebaini kuwa kusikiliza ushauri wa wanawake huchangia kufanya maamuzi bor...
08/03/2025

Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha McMaster umebaini kuwa kusikiliza ushauri wa wanawake huchangia kufanya maamuzi bora. Utafiti huo, uliokusanya maoni kutoka kwa wakurugenzi wa sekta mbalimbali, umeonyesha kuwa kushirikisha mitazamo ya wanawake kunaboresha mchakato wa kufanya maamuzi.

Tafiti pia zinaonyesha kuwa taasisi zinazoongozwa na wanawake zinafanya maamuzi yenye uwiano mzuri na yanayoleta matokeo chanya kwa muda mrefu. Hii ni kwa sababu wanawake huleta mitazamo tofauti, mbinu jumuishi, na umakini mkubwa katika kufanya maamuzi muhimu.
HAPPY INTERNATIONAL WOMEN'S DAY
Queen Fatuma

Powered By: The Queen's Styles

Address

Ghetto Rev
Meru
@THEROLLINGVIBE

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Erick Saba Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share