Radio Ashe-Kenya

Radio Ashe-Kenya Radio Ashe is the GOLD WINNER – CA KUZA AWARDS 2023 in the Creatives category .

Radio Ashe is a Christian Radio station broadcasting from Maralal town, Samburu County to the communities living in the Central Rift ,North Rift and Northern Kenya.

Bwana Yesu Asifiwe Mpendwa? Ni Tumaini Langu Umeamuka Ukiwa Mzima, Jiunge Nami Leleina Daniel  Katika Kipindi  . Tufanye...
16/02/2025

Bwana Yesu Asifiwe Mpendwa? Ni Tumaini Langu Umeamuka Ukiwa Mzima, Jiunge Nami Leleina Daniel Katika Kipindi . Tufanye Ibada Pamoja.Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG: Live:www.radioashe.org or use APP: Radio garden.

Je,Jumamaosi Yako Imekueendea Vipi? Karibu Ndani   Ukiwa Wapi? Jumuika Nami Leleina Daniel  Sema Nami Kupitia:Call:0712 ...
15/02/2025

Je,Jumamaosi Yako Imekueendea Vipi? Karibu Ndani Ukiwa Wapi? Jumuika Nami Leleina Daniel Sema Nami Kupitia:Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG: Listen Live:www.radioashe.org or use APP: Radio garden

RAILA AFELI KUCHAGULIWA AUCMahmoud Ali Youssouf amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Kamisheni ya AU baada ya Kumshinda ...
15/02/2025

RAILA AFELI KUCHAGULIWA AUC
Mahmoud Ali Youssouf amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Kamisheni ya AU baada ya Kumshinda Mwaniaji wa Kenya Raila Odinga katika Uchaguzi huko Addis Ababa, Ethiopia.

Wafilipi 48 Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yo...
15/02/2025

Wafilipi 4
8 Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo.

Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! U hali gani? Ni wakati wa kumsifu Mungu kwa namna ya kipekee kwenye na Emanuel Matano Radio Ashe-Kenya. Unategea ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

🎼Nzambe papa na yoka kombo na yo na sango, Lelo yo papa e, nalingi na mona na miso....🎻🎺🎧 Twende sasa! Karibu tumsifu Mu...
15/02/2025

🎼Nzambe papa na yoka kombo na yo na sango, Lelo yo papa e, nalingi na mona na miso....🎻🎺🎧
Twende sasa! Karibu tumsifu Mungu kwenye mpango bomba wa wikendi nami Jonathan Tinga Papaa Jt.K**ata position, Unacheck in ukiwa wapi?
Call:0712000014. Sms/Whatsapp:0712040010 X/IG:

Good morning, mtoto wa ashe karibu tufurahiye kipindi chetu siku ya leo.
15/02/2025

Good morning, mtoto wa ashe karibu tufurahiye kipindi chetu siku ya leo.

Zaburi 124:1-2K**a Bwana asingalikuwa upande wetu;Israeli na aseme sasa: 2k**a Bwana asingalikuwa upande wetu, wakati wa...
15/02/2025

Zaburi 124:1-2
K**a Bwana asingalikuwa upande wetu;
Israeli na aseme sasa: 2k**a Bwana asingalikuwa upande wetu, wakati watu walipotushambulia,
Good Morning karibu ndani ya Tarumbeta ya Ashe, tuanze siku hii pamoja na kumshukuru Mungu kwa wema na neema zake.
call 0712000014 sms 0712040010

14/02/2025

Na Leleina Daniel
⚠️Disclaimer⚠️No copyright infringement intented .All rights and credits reserved to respective owner(s)Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG:

Je,Umeshindaaje Rafiki Yangu? Karibu Tubarikiwe Ndani   Ukiwa Nami Leleina Daniel Unategea Ukiwa Maeneo Gani? Sema Nami ...
14/02/2025

Je,Umeshindaaje Rafiki Yangu? Karibu Tubarikiwe Ndani Ukiwa Nami Leleina Daniel Unategea Ukiwa Maeneo Gani? Sema Nami Kupitia:Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG: Listen Live:www.radioashe.org or use APP: Radio garden

Mic check 1-2!!! Huku shwari! Kwenu vipi? Karibu kwa masaa matatu ya Baraka, burudani na kuelimisha.   Nahodha Ni Lelein...
14/02/2025

Mic check 1-2!!! Huku shwari! Kwenu vipi? Karibu kwa masaa matatu ya Baraka, burudani na kuelimisha. Nahodha Ni Leleina Daniel Sign in twende pamoja. Uko wapi tukupitie? Call:07 12 00 00 14. Sms:07 12 04 00 10. X/IG:

mathayo 26:5656 Lakini mambo haya yote yametokea ili kutimiza Maandiko yaliyoandikwa na manabii.” Ndipo wafuasi wake wot...
14/02/2025

mathayo 26:56
56 Lakini mambo haya yote yametokea ili kutimiza Maandiko yaliyoandikwa na manabii.” Ndipo wafuasi wake wote wakamwacha na kukimbia.
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Za Asubuhi mwana ashe, happy Furahiday, natumai siku yako imeanza vyema karibu ndani ya shehena la baraka. unak**ata position yako ukiwa wapi?
Call 0712000014 sms 0712040010

Kumekucha! Amka tulijenge taifa! Karibu kwenye kipindi   ukiwa nami  Jonathan Tinga Papaa Jt. Unasikiliza ukiwa wapi? Ra...
14/02/2025

Kumekucha! Amka tulijenge taifa! Karibu kwenye kipindi ukiwa nami Jonathan Tinga Papaa Jt. Unasikiliza ukiwa wapi? Rausha na mwingine tubarikiwe sote.
Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG:
Listen Live:www.radioashe.org or use APP: Radio garden

   133:1-3 Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja. Ni k**a mafuta mazuri yatiririkayo kichwani...
13/02/2025


133:1-3 Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja. Ni k**a mafuta mazuri yatiririkayo kichwani, mpaka kwenye ndevu zake Aroni, mpaka upindoni mwa vazi lake shingoni. Ni k**a umande wa mlima Hermoni, uangukao juu ya vilima vya Siyoni! Huko Mwenyezi-Mungu ameahidi kuwabariki watu wake, kuwapa uhai usio na mwisho.

Je,Umeshindaaje Rafiki Yangu? Karibu Tubarikiwe Ndani Ukiwa Nami Leleina Daniel Unategea Ukiwa Maeneo Gani? Sema Nami Kupitia:Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG: Listen Live:www.radioashe.org or use APP: Radio garden

MIC-CHECK 1-2, Ndio sasa mpendwa! Karibu Tuabiri gari    ukiwa nami Jonathan Tinga Papaa Jt. Uko wapi tukupitie? Tusafir...
13/02/2025

MIC-CHECK 1-2, Ndio sasa mpendwa! Karibu Tuabiri gari ukiwa nami Jonathan Tinga Papaa Jt. Uko wapi tukupitie? Tusafiri na nani?
Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG: Listen Live:http://radioashe.org or use APP: Radio garden

13/02/2025

Mwanahabari wako Emanuel Matano anakutakia heri njema siku hii ya radio ulimwenguni.


Zaburi 122:1 BHNNilifurahi waliponiambia: “Twende nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu.”,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Good Morning, nima...
13/02/2025

Zaburi 122:1 BHN

Nilifurahi waliponiambia: “Twende nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu.”
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Good Morning, nimataumaini uko salama nyumbani mwa Bwana, Karibu ndani ya Shehena la baraka nami Faith Nzai tubarikiwe pamoja. baraka yako unaik**ata ukiwa wapi?
Call 0712000014 sms 0712040010

Leo ni siku ya kuadhimisha siku ya redio duniani. Tunakushukuru wewe shabiki shakiki kwa kuichagua Radio Ashe na kuifany...
13/02/2025

Leo ni siku ya kuadhimisha siku ya redio duniani. Tunakushukuru wewe shabiki shakiki kwa kuichagua Radio Ashe na kuifanya redio bora zaidi.Mungu akubariki!



Danieli 2:19 Ndipo Danieli alipofunuliwa siri hiyo katika njozi ya usiku. Basi Danieli akamhimidi Mungu wa mbinguni.Kume...
13/02/2025

Danieli 2:19
Ndipo Danieli alipofunuliwa siri hiyo katika njozi ya usiku. Basi Danieli akamhimidi Mungu wa mbinguni.

Kumekucha Msikilizaji! Happy world radio day! Tunakuenzi na kukushukuru kwa kuwa shabiki shakiki! Karibu basi tumwabudu Bwana Yesu kwenye na Emanuel Matano , Unategea ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Address

Milimani
Maralal

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio Ashe-Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radio Ashe-Kenya:

Videos

Share