Joshua Orete Official

Joshua Orete Official Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Joshua Orete Official, Digital creator, Malindi.

08/06/2023

UKIWA HIGH SCHOOL NI NINI HUKUWAI KOSA KWA MFUKOO

17/05/2023

MANCHESTER CITY
TUKO NDANI KIKOMBE

30/09/2022

K**A UMEAMKA SEMA AMENI

30/09/2022
22/09/2022

Nilienda kinyozi jana nimecheka karibu nifukuzwe🤣🤣🤣🤣
Kidogo kidogo kukaingia mrembo fulani na alikua na figure plus sura kuweza😋😋😋 aisee hio ilikua figure na sura zilikua zimeenda kidato😜😜😜 sasa mzee fulani kipara alikua ananyolewa zile nywele zinakuaga kando ya kipara nikaskia amesema🤣🤣🤣🤣
Mzee kipara: Wow!! Madam unakaa mrembo sana😋😋
Mrembo: Asante🙂🙂
Mzee kipara: Unatoka wapi hii kenya yetu??🤔🤔
Mrembo: Naishi hukutu karibu na center 🙂🙂🙂
Mzee kipara: Naweza kupeleka out siku moja🤔🤔
Mrembo akanua mkono juu kuonyesha mzee kipara pete ndio ajue yeye ameolewa lakini kabla amalize kuinua mkono mzee kipara akamwambia🤫🤫🤫🤫
Mzee kipara: Ata mimi niko na bibi lakini nataka tukutane tukule mali polepole😋😋
Mrembo: Nitaambia bwanangu naenda wapi hio siku?🤔🤔🤔
Mzee kipara: Utamwambia umeenda injiri ndio neno lifikie walio mbali na kanisa lenu🤣🤣🤣🤣
Mrembo: Ebu mwambie hivo wewe mwenyewe🤣🤣🤣🤣
Mzee kipara: Tutapatana wapi na hio nugu yako niiambie hivo🤣🤣🤣
Mrembo: Hayuko mbali ndio huyo anakunyoa🤣🤣🤣🤣
Mzee kipara: Unajua nakuaga mwenda wazimu usibebe maneno yangu serious 😭😭😭😭😂😂
🚶🚶🚶

Follow 👉 👉Joshua Orete OfficialJoshua Orete OfficialJoshua Orete OfficialJoshua Orete Official

22/09/2022
22/09/2022

Del dine videoer med venner, familie og verden

Address

Malindi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joshua Orete Official posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share