05/03/2024
πππππππ: πππππ πππ πππππ
ππππ π
Becky alimuongelesha Imelia hadi akaingia box akaamua kubaki kwa Lexy,and that was one,very big,mistake. Becky aliambia Lexy madhe amekubali kubaki you will work on your issues,Lexy akashukuru na akasema hatasumbua madhe tena hadi room yake iundwe. Moh ashaenda kutengeneza room ya Imelia already na Becky akaambia madhe,aki nitakumiss huko kwangu,Imelia akamwambia pia nitakumiss but nitakua nakuja kutembea bora tu usimwagilie maji kwa malazi yangu...that was a direct hit kwa Lexyπππ
Becky ndio huyo akaondoka,na Imelia akaambia Lexy pia anaenda kwa room apumzike kiasi, lakini Lexy akasema nini "this one down,one more to go " na one more ni nani? Pupa,aah! Makosa. Lexy,alikua na mission yake kutaka mamake akuje huku,that deal was too good and now Imelia kiko karibu kukuramba mamaa...how I wish!
Becky kufika huku nje akiwa na Moh,Moh akamwambia sasa sikiza Becky, ni wakati wetu huyu mama atupe mali,si tushamsaidia kuwa na mtoto wake? Becky akamwambia usijali,Imelia anajua chenye anafanya ,yeye ni muwise sana. Imelia alikua hapo juu anawachungulia chungulia,so Becky inabidi aongeleshe Moh kimachungu but ajifanye wanacheka,sasa Moh na yeye pia anaanza kumshika Becky akimfinya but anajifanya anampapaza,ju Imelia anawaangaliaπππ
Becky alirudi akafika home Junior ndio anamalizia chakula,akamwambia baabe,hauezi kuwa romantic uningoje sweetie? Junior akamwambia aii,hakuna uromance kwa chakula,nilikua njaa mbaya,Becky akanotice,Jeff hayuko,akauliza Junior,baba Jeff,mtoi ako wapi? Junior akamwambia ameenda nje kutembea na Pupa wanarudi. "Ati kutembea na Pupa",Becky alijam,akamuuliza mtoto wangu unapeana kwa stranger? Junior akamwambia Pupa si stranger wajameni lakini Becky alimuita my friend,sikiza, mtoto wangu huwezi peana kwa mtu hatujui so sikiza bro,toka nje utafute mtoto. Junior akamwambia come on its Pupa,lakini Becky ako serious,thank God punde si punde, Pupa na Jeff wakarudi,walikua wameenda kuuza vitu fulani na hata kaJeff pia kamepata kacommisision kiasi.
Becky sasa anajifanya ati amefurahi Pupa kutembea na Jeff na venye ametetesha Junior,Jeff aliuliza Pupa k**a kesho atakuja tena amchukue? Pupa akamwambia yeah usijali,uko msharp sana. becky akaambia Jeff aingie kwa nyumba lakini Junior amebambika,kuona mtoto wake ako msharp na anaeza chapa buzz shida tu ni Becky...
ππππ π
Imelia ashafika kwa room yake na ashaletewa lunch na Moh,akamwambia Moh,si ungeacha nikuje tu huko chini? Moh akamwambia relax queen of the house,mbona ukuje na niko hapa kukuhudumia? Imelia akamwambia its ok,but hungejisumbua,kisha Moh akamuuliza madhe,si bado niko kwa ile plan yao? Imelia akamwambia yeah,wewe kuwa tu mtoto mzuri,utapata mazuri na Imelia akainsist,akamwambia iam sorry kwa yale ulipitia ukigrow up,Becky aliniambia kila kitu na si kwa ubaya,just forgive your mum kwa kutokuelewa. Moh didnt see that coming...
Becky na yeye aliwakia Junior but akatulizwa ma akaulizwa kwa mansion kuliendaje? Becky akamwambia wueh, tulijaribu at least sai Lexy na Imelia wako k**a daughter na mother alafu kuna venye Lexy hadai story zako na hataki kukuona huko kwa mansion...already tushajua mbona Lexy hataki Junior huko ju anajua akona mission.
Junior akaambia Becky by the way,Pupa aliniambia kuna venye Trisha alibribe Moh wenu ili waget rid of Pupa na Imelia na ni Lexy aliambia Pupa. Becky alishangaa sana,iweje amekua na Moh na Moh hajamwambia kitu k**a hiyo.
Huku kwa mansion Imelia ako happy sana na ashaambiwa na Moh kuhusu deal ya Trisha kumaliza Imelia na Pupa na Imelia ashajua ni Lexy alienda kuwarn Pupa.
Hii kitu haikalii Becky poa,ati Lexy akawarn Pupa hadi akaambia Junior huoni kuna kitu kati ya Lexy na Pupa? Junior akamwambia siezi jua but kukiwa wakifendana iko tu sawa ju still Lexy alifanya poa kuambia Pupa. Kisha Becky akaambia Junior,guess leo venye Moh ameniambia,anataka share yake? Junior akamwambia but uzuri Imelia is a super wise,anajua chenye atafanya kisha Junior akamwambia manze tuache kudepend kwa watu tuanze kujisimamia. Becky akamwambia thats great idea,ju hata pia mimi ni mtu wa hospitality so nikienda kufanya tourism iko tu sawa. Junior akamwambia kwanza venye wewe ni young beatiful talented,you can make both ends meet but Becky akamwambia thanks to you,iam now a form 3 dropout,bila papers hakuna wera ya maana naeza pata,na mimi kufika kwenye niko ni kuwa na hope,and maybe,,just maybe ningetoa ball ya Jeff ningemaliza shule poa ju nilikua na sponsors wengi sana wangenisupport but venye walijua nko ball,waliondokea,na ball ilikua yako. Hii nayo,Becky aliongea kwa uchungu sana,in as much she kept the pregnancy,it has costed her alot of things she cod have achieved if she wasnts pregnant while in school,wah! This one,slaps and hurts the deepest.
May God stand with all single mothers,you deserve another chance to make yourselves happy and happy in whatever you do. I love you all.
Hadi kesho,majaliwa.