𝗦𝗶𝗺𝗼𝗵 𝗞𝗘

𝗦𝗶𝗺𝗼𝗵 𝗞𝗘 Blogger*😉
Analyst*😎
Comedian*😘
Entertainer*🤓
Public influencer*🤠
Dm 0791920579
Save for save🥳
(5)

Confiding a secret to an unworthy person is like carrying grain in a bag with a hole.”
11/05/2024

Confiding a secret to an unworthy person is like carrying grain in a bag with a hole.”

09/04/2024

Rude boy in love part 3

Mr mwangi;GET OUT OF MY CLASS

Me; hauna class yako kitu yako ni id tu na mndomo k**a mama

Mr mwangi; kijana do u know me

Me;hadi siwezi taka juwa ,,,You like an old depressed lady

Mr mwangi aka kuja place nilikuwa 😪 aka ni wekelea kofi

Mr mwangi;now u can talk wats ur name

Me; Grishma

Mr mwangi;wat

Me; G R I S H M A

Akanipiga ingine kofi

Me;u will pay for this

Mr mwangi;are u trying to threaten me

Nikampiga ngumi moja 🤭 before haja rudisha focus 😌 ingine ilikuwa juu yake 🤧

Mbio mbio akaenda 🚶🚶kitu 20 min hivi wakakuja walimu 10 hivi waka nibeba juu juu hadi staffroom

Principal;nime sikia wewe ndio master kungfu huku

Wakanishika mkono zote na mguu nikawekelewa juu ya meza😪😪 viboko zi nyeshe k**a mvua

Me;😂 walimu waoga if mnajiaminia si mniwachilie tupigane

Principal; young man

Me;yes forbidden man

Principal;who are you unaongelesha walimu hivo

Me;i am who I am

Viboko bado zina land kwa matako but hio ni kazi bure wanafanya

Me;si mniwachilie tu kidogo muone vile nitawafanyia

Deputy; haiya unajiona

Me;apana wat i can see ni nyinyi tu ,,,

Walimu;wacha tuone vile atafanya

Wakaniwachilia

Me;if iko mwalimu anajiaminia akuje tupigane

Principal; watch your mouth

Me; pia wewe tunaeza pigana just come

Principal;do u think u can threaten me young boy

Wakidhani na joke,,,nikatoa tie ya shule nikaweka kando 🤧 before niweke chini kabisa

Nikona my mum👀

Mum;i will fight u

Me;😳😳😳

Mum; walimu tokeni njee kidogo nataka nionge na huyu kijana

Walimu wakatoka😪wat i can tell u is that,,,,Mimi nilikuwa naona tu ukuta na hewa

Juu ile vita nilipatana nayo 🤧🤧🤧 Only pua me nose😪 nilipiguwa 30 min na dem ya mzae

To be,,,,

🤭🤭Mliamua likes 😂 nitakuwa napata sita sindio 😂 alafu mnawait ni drop part next haraka 😂 naona nikiwachana na hizi story sasa

07/04/2024

Rude boy in love part 2

Mtu 2;hiii kesi itabdi wazazi wakuje wasolve kwa chief

🚶🚶Tukapelekuwa moja kwa moja hadi kwa chief wazazi pia walikuja

Chief; vijana mbn mlikuwa mnapigana

Me;uliza huyu kijana sura mbya

Baba ya boy 1;usitusi kijana yangu sura mbya

Mum;wewe mzee nyamaza si pia wewe ukona sura mbya

Mama ya boy 1;wewe mwanamke usinitusie familiar swa

My dad; nyamaza mwanamke na vile ukona vidole konde k**a spaghetti

Baba ya boy 1;wewe mzee wachana na mkee wangu 😤

My dad;mzee ni wewe na vilee unakaa k**a ape sijui tuna kesi na watu or wanyama

Me;😳😳hauja ona shingo ya bibi yake vile imekonda akieza meza boll gun anakaa mtu akona ball

Boy 1;usinitusie mama

Me; tuseme ukweli hii familia yenu mwisho mlishiba ni lini juu vile mmekonda sio kwaida

My mum; Grishma watch ur mouth hata k**a wamekonda haufai kuwakumbusha

Mama ya boy 1; nyinyi wazazi mnafaa mfunze huyu mtoto wenyu adabu 👀

My dad;pia huyu wenyu mnafaa akule ndio awache kukonda aki angalia vile macho zimetoka njee nik**a zinataka kuover turn

Chief;😳😳😳Wewe mzee na familia yako tokeni mbn mnaingilia hawa watu hivo

My dad;sasa k**a wamekonda

Me;na bado hawaja oga

Two weeks later

Nilikuwa admitted form one🤭kwa class nilikuwa iko huyu dem alikuwa mali safi Nili spot kwa jina Dorcas

Day two after admition

Tulikuwa class tumeketi ghafla mwalimu fulani hapo mzee akakuja

Mwalimu; good morning class,,am mr mwangi ur class teacher nataka tujuane kwa majina

Watu wakaanza kusema jina zao hadi ilipofika kwangu

Me;my name is Grishma

Mr mwangi; only one name

Me;eeeh one

Mr mwangi; young man sema jina zako zote

Me;just Grishma

Mr mwangi;sema jina yako ya pili

Me; maybe unipatie hio ya pili kwani ni wewe uliniza eeeh nikona jina moja tu usinisumbue sawa

Mr mwangi; young man

Me;yes old man

Class;😳😳😳

Me;😌😌😌

Mr mwangi;🙆🙆🙆🙆𝗦𝗶𝗺𝗼𝗵 𝗞𝗘
fans𝗦𝗶𝗺𝗼𝗵 𝗞𝗘𝗦𝗶𝗺𝗼𝗵 𝗞𝗘@top fans@top fans

07/04/2024

Rude boy in love part 1

After nimemaliza class eight my parents waliamua kuhama place tulikuwa tunastay tu another place

Hio inaituwa upgrading 😤Now tulienda mtaa mgeni na mimi😝hio place ilikuwa na madem warembo na vijana vichwa ngumu

Vile tulifika hio place 😂 oblivious sikuwa najuwa mtu 😤 only i,me and myself ndio nilikuwa najuwa

Nili spend two days niki zurura tu pekee yangu k**a wachawi wa kisii😂

Day three niliamua niende mtoni nipige mbizi at least mwili itoke vumbi hasaa matako 😌

Nikiwa naogelea 🚶🚶 vijana wawili wakakuja place nilikuwa na ogelea wakachukua nguo zangu

Boy 1; kijana toka kwa maji unachafua

Me;iko maji mama yako alikuja aka mwaga huku

Boy 1;tumesema utoke

Me; sitoki niko kwenyu

Boy 2:😂😂😂 kijana we can vibe am Moses

Boy 1;am Jayden

Me;ok am Grish

Moses;swa tunataka tuwe friends tu na wewe ndio mbogi yetu ipate nguvu

Me;swa

🚶🚶 After that nilitoka kwa maji Tukaenda kupiga rao mbili tatu kwa mtaa nikijuwa mashimo

Tukiwa kwa njia tukapatana na boys watatu

Boy 1;(aki ongelesha akina Moses)nyinyi mafala naona mnaongeza mbogi(aki niongelesha)wewe kakijana

Me; kakijana ni baba yako

Boy 1; unaongelesha nani hivo

Me; ulikuwa unataka nitumie sign language or sounds effect when an addressing u

Boy 1;utalia

Me;iiiiiiiiiiiiii happy

Akataka kunipiga ngumi(😂😂😂huyu kijana hanijui vizuri hasa ile style yangu mbya inaituwa kara kara)

Nikamiss hio mikampiga hedi hadi chini 😤 hao maboy wengine wakaanza kumchocha "mkuu amka"

Akiende kuamuka nikampiga swip hadi chini tena😌Nikampanda juu 😂😂ngumu za uso akapatana nazo

Wapita njia ndio walikuja kunitoa juu ya huyo boy

Mtu. 1;mbn mnapigana

Me;🤭apana ni mimi nilikuwa nachapa huyu juu ametusi baba yangu

Boy 1; uongo

Me; ukweli hata sema mbn nimekupiga

To be,,

😂😂 Nimeamua tuanze tena ndii kila mtu akuwe on the right side 😂piga like wacha chuki

05/04/2024

😭HUKUMU YANGU😭😭(SEHEMU 02)

POSTED BY MR RIGHT

ILIPOISHIA
Nilipolala alinijia mke wangu kwa njia ya ndoto na kuniambia
"🗣️frank tafadhali usiniulie wanangu tafadhali Hukumu ni kwa mungu tafadhali sana""
nilishtuka"😳mamaaaaa🗣️"

ENDELEA
Nililala tena nikiwa na mawazo sana #🛌waah ni kweli kesho nitapata hizo hela Sijui🤔 #.nilijisemea kisha nikavuta shuka nikalala tayari mawazo ya mke wangu yalishanitoka kabisa🛌.

Asubuhi kulikucha mapema sana niliamka na kulitoa begi nikalifungua nilikuta hela kibao"💴Ohhh yeeeah😳 #.nilijisemea nilitoka haraka nikaenda kuoga na kuwaamsha wanangu niliwandaa vizuri nikawakabidhi kwa jirani nikatoka nikaenda bank🏦.

Niliingia bank na begi langu kubwa🧳 nilielekezwa kwenye vyumba vya siri nikaziweka zile hela na kutoka nikaondoka nikiwa na furaha sasa bye bye Thank God😊 #.
nilijisemea na kwenda mpaka nyumbani nilipofika nikampigia simu Joel.

"📞haloo Joel am Bilioneaaaa now😁"niliongea kwa furaha sana tuliongea sana kisha nikakata simu

Zilipita siku tatu na hii ndio ikawa siku ya kwenda Bank kutoa zile pesa niliamka asubuhi sana nikaoga na kuvalia kibos bos🕴️ na kuanza safari ya kwenda Bank nilipofika nilitoa kadi zangu na kutoa milioni 25 kwanza nilitoka haraka nikarudi nyumbani majira ya saa tatu asubuhi nilichukua milioni moja nikaipeleka kule kisarawe kwa mganga k**a alivyoniambia😊.
saa 2 usiku ndio nilirejea nyumbani nilioga na kuwafuata wanangu kwa jirani nikarudi nao nyumbani nikalala nilikua nawaza ni biashara gani nifanye kupitia hela zile nilizopata🤔.

🌌Usiku wa saa tatu yule dada mwarabu Jini Wa mali akanijia akaniamsha niliamka na kumkuta amekaa chini amekalia miguu.

"😈frank najua unafikiria ni biashara gani utafanya sasa nakwambia fanya biashara ya kuuza nguo katafute nduka Tabata sawa eeh🙄"aliniambia.

"sawa nimekuelewa🙄"nilimjibu bila hofu kwani tayari nilishamzoea

Asubuhi kulikucha na kuamka na kujiandaa vyema niliwaamsha wanangu na kuwaandaa vyema nikawapeleka kwa jirani yangu.

"mama J

05/04/2024

😭HUKUMU YANGU😭😭😭(SEHEMU 001)

Posted by By Mr Right

"Sikia frank unajua sisi wenzio tulifanikiwa lakini utajiri una siri kubwa,ama utakua tayari nikupeleke ukapewe utajiri pia wewe 🙄"
yalikua ni maneno ya Joel aliekua tajiri sana mda huo maisha yangu yalikua magumu sana baada ya kufukuzwa kazi katika kampuni ya GSM.

"ni kweli ntapata utajiri Joel hakika nimechoka kukaa maisha haya🥹""nilimuuliza

"nina uhakika utatajirika sana, twende nikupeleke Bwana frank🙄"alinishawishi mpaka nikakubali.

nilirudi nyumbani kupunzika tukapanga kesho twende huko kwenye utajiri nyumbani niliishi na mke wangu na watoto wangu wawili tuliishi maisha ya tabu sana ila tulivumiliana tu🤔.

Siku iliwadia nilimuaga mke wangu na wanangu
"nimepata deal naenda kulifanya, hii hela kidogo itawasaidia🙄"

niliwaachia hela kidogo nikatoka na kumfuata Joel nilikutana nae akawasha gari yake aina ya BMW na safari ikaanza🚙💨🚙💨 tulienda kijijini ndani ndani huko tulipofika tulimkuta bibi mzee sana alitukaribisha tukakaa chini.
"👵🏿Karibuni wajukuu zangu".tulitulia nilikua natetemeka sana kwani kulitisha mno milio ya ndege wa ajabu ajabu ilisikika😳.

"🧔🏻‍♂️salama bibi nimemleta kijana huyu anataka mali".

alisema Joel bibi alitikisa kichwa na kuanza kuongea Lugha zisizoeleweka kwa mda wa dakika 30 kisha bibi akasema.

"👵🏿umepata chukua hizi pete(zilikua pete3)hii vaa kidole cha mwisho hii ni pete ya chuma ulete wa majini na hii vaa kidole cha kati mkono wa kulia hii ni ulinzi wa mali zako na hii ya mwisho vaa kidole cha mwisho mkono wa kulia hii ni pete ya bahati".
nilizivaa kisha Joel akatoa pesa elfu kumi akaweka kwenye Kiungo kidogo cha pale kilingeni"hela ya kilinge ndio hii hapabibi🙄"

Tulitulia tukiwa tunatazamana yule bibi akanyanyuka na kuchukua maji akaniambia.

"👵🏿Yapulize haya maji mara 3".

nilipuliza kisha akaenda nje akarudi na kuku akamchinja na kunipa damu ninywe nilitetemeka😫.."👵🏿kunywa wewe".

nilikunywa Yule bibi akacheka.kwa nguvu sana kisha akasema.

"👵🏿

02/04/2024

Happy new month😎😍

Suffering must be a requirement for wisdom😋, or otherwise we'd not🥸 be able to teach someone 😉else how to endure.😎😎
28/03/2024

Suffering must be a requirement for wisdom😋, or otherwise we'd not🥸 be able to teach someone 😉else how to endure.😎😎

26/03/2024

Single people anywhere😅😂😂😂😂𝗦𝗶𝗺𝗼𝗵𝗦𝗶𝗺𝗼𝗵 𝗞𝗘𝗦𝗶𝗺𝗼𝗵 𝗞𝗘

Thanks for the 2000followers
26/03/2024

Thanks for the 2000followers

25/03/2024

"🤣PART4😂"RADIO📻JAMBO PATANISHO🫂

Wafula👤:.apana sio siasa Kuna mazishi inafanyika hapa village yetu. Mimi na rafiki yetu tumelia machozi mbili, alafu tukatafuta penye kitchen Iko so saai tuko ndani ya kitchen

Akinyi🧕:wewe nakujua tangu highschool na ulafi Yako, ulikua ata ukimaliza kuandika neno food ulikua unalamba vdole 😀

Ghost🧔🏿‍♂️:.😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂Uuuiii😂😂🤣🤣 jamaniii 🤣😂😂🤣🤣🤣🤣mtaniua🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wafula👤:.🙄🙄🙄

Akinyi🧕:Gidi huyu Msee wangu Ako serius na mambo ya food sana 😊😊☺️

Wafula 👤:Wacha kuandika gazeti na jina langu🤨

Akinyi🧕:kwanza kunakitu hukunibamba nayo wafula🫢

Wafula👤:(bored)umeanza, kitu Gani? Hiyo sikumbuki🤔🤔🤔🤔🤔

Akinyi🧕:siku hizi tunala chini k**a panya Kwa sababu wewe ulivuja mbao za kitanda ukatengeneza mwiko😭 😭

Ghost :.etininii🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣😂😂😂🤣🤣😂Uuuiii🤣🤣🤣😂😂😂🤣mtaniua Kwa kicheko 😂😂🤣🤣🤣🤣jameni😂😂🤣🤣

GIDI 🧔:.shually😅😅😅😂😂😂😅😅😅😂😂

Akinyi🧕:.aki ni ukweli gidi, alafu Kuna wakati mwingine tulikua mchele jioni alafu tuka lala🛌saa nane ya usiku nikastukia harufu ya ugali inatoka jikioni🍚. Kustukia alikua wafula . Nikamuuliza mbona ameamua kupikeko ugali usiku? akasema eti aliota akikimbizwo🏃🏃na mtu wa kisiagi, so ikabidi asonge ugali ndio ancestors watulie😆😆😆

Ghost👉😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆😁😁😁😄😄😃😀😀😂🤣

Wafula👤:.kitu Mimi hupenda sana ni shingo ya kuku🐔lakini naona nyinyi mtanifanya nikate hii simu🤨

GIDI🧔‍♂️:..alafu umeamua aje, akinyi arudi nyumbani ama📞📞.

Wafula👤:.arudi nyumbani lakini mumwambie ajifunzeko good manners ya jikoni🤨

Ghost:.🤣😂😅good manners ya jikoni k**a Gani wafula ?

Wafula👤:.in simple words awache kupika ugali akitumia sufuria size ya earphone😐😐

Ghost👉😁😁😆😅😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😅😅😅😅😅😂😂

GIDI 🧔:.hope so umesikia akinyi,uache kutumia sufuri ndogo ukipika ugali😄😄

Akinyi🧕:.ndio nimesikia😄😄

GIDI 🧔:.wafula na akinyi sisi ka Wana

25/03/2024

"😂PART 3🤣" RADIO📻JAMBO PATANISHO🫂🫂🤣
🤣... inaendelea ... 🤣✍️✍️📞📞📞
Wafula👤:.unakubuka pale highschool vyenye uliniandiakia barua Kwa karatasi ya unga, hapo ndipo nilijua hapo ni wife material 🤗🤗

Ghost 👉🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂

Akinyi🧕:but wafula unaniaibisha na Sikufurahia🥲

Ghost👉😆😆😆😆😆😆😆

Wafula👤:sikatai but ww vumilia coz ww ni Mke wangu

GIDI 🧔:Kwa sababu ya masaa nataka tumalize patanisho,😆so wafula umeamua aje akinyi arudi ama ulioa na hujatuambia?

Ghost 🧔🏿‍♂️:🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣

Akinyi🧕:👂👂🙄🙄🙄🙄

Wafula👤:.mukwasi currently am in a meeting hiyo mambo I'll consider after this serius meeting 🤭🤭

Akinyi🧕:🤦🤦🤦🤦🙎

GIDI 🧔:meeting Gani? Ama ni hizi siasa za Tokyo marathon

Wafula👤:.apana sio siasa Kuna mazishi inafanyika hapa village yetu. Mimi na rafiki yetu tumelia machozi mbili, alafu tukatafuta penye kitchen Iko so saai tuko ndani ya kitchen

Akinyi🧕:wewe wakujua tangu highschool na ulafi Yako, ulikua ata ukimaliza kuandika neno food ulikua unalamba vdole 😀

Ghost🧔🏿‍♂️:.😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂Uuuiii😂😂🤣🤣 jamaniii 🤣😂😂🤣🤣🤣🤣mtaniua🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Itaendelea

25/03/2024

"🤣PART TWO🤣" RADIO📻JAMBO PATANISHO🫂🫂🤣🤣🤣🤣😂

Wafula:👉GIDI sikia nilikua tuned Kwa radio jambo😨Huyo Mke amendanganyana ni Mimi nilimfukuza baada ya kumpata akireduce maji ya ugali 🍚🙄

Ghost👉🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣

GIDI 🧔👉ghost nitazima hiyo mic Yako Acha kucheka... . Kwa hivyo wafula unamjua huyu mwanadada Kwa jina la akinyi?🤔

Wafula👉eeh namjua

Ghost👉😊😊

GIDI🧔👉Ako hapa Kwa line na anasema alikukosea na angependa kukuomba msamaha🤗

Wafula👉sawa mukwasi😅

GIDI 🧔👉hello akinyi Uko Kwa line? 😊

Akinyi🧕👉yeah Niko😁

GIDI🧔👉ongea wafula yuko Kwa line!

Akinyi🧕👉hello🤔

Wafula👉heloo mama watoto

Akinyi🧕👉Mimi niliona nilikukosea ndio Maana nataka kukuomba msamaha🙏

Wafula 👉kwanza kwanini unatumia jina langu kutengeneza gazeti? 🙁

Akinyi🧕👉Kwa nini ? 🥲

Wafula👉unandanganya kina gidi eti ulinipata na Mke mwingine Kwa Nini? 🙄

Akinyi🧕👉pole beb🥲

Wafula 👉kwanza nikuulize unakumbuka vile uliwin roho yangu yote? 🤔

Akinyi🧕👉sikumbuki ebu nikumbushe😁

Wafula👉unajua pale highschool vyenye uliniadikia barua Kwa karatasi ya unga , na hapo ndipo nilijulia wewe ni wife material 🤣

Ghost👉🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂🤣😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣

itaendelea

25/03/2024

"🤣PART 1🤣" RADIO📻JAMBO PATANISHO🫂🫂😂😂😂😂✍️✍️✍️✍️

GIDI🧔:👉akinyi umesema mliulizana nini na wafula🤣

Akinyi:🧕👉nilimpata na mpango wa kando Kwa nyumba Yangu ile hasira nilikua nayo nikachukua nguo zangu nikaenda🚶🚶🥲🥲

Ghost👉😊😊😊😊😊

GIDI🧔👉ooh Sasa after kumpata na mwana dada mwingine ukajitoa? 🤗🤗

Akinyi🧕👉yeah nilijitoa nikakaa one week hv nika time saa ile Ako job nikarudi Kwa nyumba nikachukua Kila kitu, nilimuachia sufuria na vikombe peke yake🙁🙁

Ghost👉Yani ukachukua Kila kitu 🤣🤣🤣🤣

GIDI🧔👉akinyi unamaanisha nini ukisema ulichukua Kila kitu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🙁🙁🙁

Akinyi🧕👉nilibemba vtu ambazo nilinunua na pesa Yangu🥲

GIDI🧔👉OOH na Sasa mbona unataka kurudiana na wafula? 🤔🤔

Ghost👉🖥️🖥️😊😊😊

Akinyi🧕👉juu nampenda💕 sana napia nataka asaidie was toto wake😁😁

GIDI🧔👉ooh shikilia hapo tumpigie wafula☎️📞☎️📞📞📞📞📞📞📞

(wafula anapigiwa simu, akachukua)

GIDI🧔👉hello wafula, hapa ni radio jambo ,, Mke wako akinyi ametuarifu alikuacha🙄baada ya kupata na mpango was kando Sasa anatakaaa..... 🤗(Kabla GIDI amalize kuongea wafula akamkatiza akasema)

WAFULA:👉GIDI sikia .. nilikua tuned Kwa radio jambo 😨huyo Mke amendanganyana ni Mimi nilimfukuza baada ya kumpata akireduce Maji ya ugali🍚

Ghost:🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣😂😂🤣🤣😂😂🤣😂😂🤣😂🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣

Prt 2 & 3 & 4... utazipata Hapa 👇

📖 HADITHI TAMU ZA KUSISIMUA🤔😳NA VICHEKESHO TELE🤣STRESS🤣BYE🤣BYE🤣🤣🤣

Mourinho came to Chelsea in 2004 and won the league 2005 and 2006.Wenger in 2005 - building the teamFerguson won the lea...
22/03/2024

Mourinho came to Chelsea in 2004 and won the league 2005 and 2006.

Wenger in 2005 - building the team

Ferguson won the league 2007, 2008, 2009

Wenger in 2007, 2008, 2009... still building the team

Ancelloti came to Chelsea in 2009 and won the league in 2010.

Wenger in 2010... still building the team

Roberto Mancini came to Man city in 2010and won the league in 2012.

Wenger in 2012... still building the team

Pellegrini came to Man city in 2013 and won the league in 2014.

Wenger in 2014... still building the team

Mourinho came back to Chelsea in 2013 and won the league in 2015.

Wenger in 2015... still building the team

Claudio Ranieri came to Leicester city in 2015 and won the league in 2016

Wenger in 2016... still building the team

Antonio Conte came to Chelsea in 2016 and already taking the EPL by storm until 2017.

Wenger in 2017... still building the team

Pep and Klop joined their clubs recently and now they've won premier leagues and now It's Arteta still building the team 👀

Arsenal are you building the Ark of Noah.?.

✅✅

𝐆𝐨𝐨𝐝 𝐭𝐨 𝐬𝐞𝐞 𝐨𝐮𝐫 𝐚𝐭𝐭𝐚𝐜𝐤𝐞𝐫𝐬 𝐬𝐜𝐨𝐫𝐢𝐧𝐠 𝐦𝐨𝐫𝐞 𝐠𝐨𝐚𝐥𝐬: 👇Palmer 16 ɢᴏᴀʟs 12 ᴀssɪsᴛsᴊᴀᴄᴋsᴏɴ 12 ɢᴏᴀʟs 4 ᴀssɪsᴛsSterling 8 Goals 7 as...
21/03/2024

𝐆𝐨𝐨𝐝 𝐭𝐨 𝐬𝐞𝐞 𝐨𝐮𝐫 𝐚𝐭𝐭𝐚𝐜𝐤𝐞𝐫𝐬 𝐬𝐜𝐨𝐫𝐢𝐧𝐠 𝐦𝐨𝐫𝐞 𝐠𝐨𝐚𝐥𝐬: 👇
Palmer 16 ɢᴏᴀʟs 12 ᴀssɪsᴛs
ᴊᴀᴄᴋsᴏɴ 12 ɢᴏᴀʟs 4 ᴀssɪsᴛs
Sterling 8 Goals 7 assists
ᴍᴜᴅʀʏᴋ 6 ɢᴏᴀʟs 2 ᴀssɪsᴛs
Noni 5 goals 1 ᴀssɪsᴛ
ᴄᴏɴᴏʀ 4 ɢᴏᴀʟs 7 ᴀssɪsᴛs
ᴇɴᴢᴏ 7 ɢᴏᴀʟs 3 ᴀssɪsᴛs
ᴄᴀʀɴᴇʏ 2 ɢᴏᴀʟs, 1 ᴀssɪsᴛ (2 sᴛᴀʀᴛs)

𝑰 𝒔𝒕𝒂𝒏𝒅 𝒄𝒐𝒓𝒓𝒆𝒄𝒕𝒆𝒅☑️

Tule tutoto tulikuwa tunasema memory verse kwa redio maisha kamoja n Mimi 😍
20/03/2024

Tule tutoto tulikuwa tunasema memory verse kwa redio maisha kamoja n Mimi 😍

Address

Kisii

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 𝗦𝗶𝗺𝗼𝗵 𝗞𝗘 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to 𝗦𝗶𝗺𝗼𝗵 𝗞𝗘:

Videos

Share