Banza Media

Banza Media "Burudani | Gossip | Lifestyle
📩 DM for Ads & Collabs
🎬 New content daily"

YouTuber Maarufu Nchini marekani mrbeats atangaza kutembelea Kenya mwaka huu Swipe ⬅️ for video
09/01/2026

YouTuber Maarufu Nchini marekani mrbeats atangaza kutembelea Kenya mwaka huu

Swipe ⬅️ for video

Socialite Maarufu Nchini Tanzania  ameachia muonekano Mpya Kwa mwaka 2026 Star Ambae kila siku anazidi Ku shine Kweli Ha...
09/01/2026

Socialite Maarufu Nchini Tanzania ameachia muonekano Mpya Kwa mwaka 2026

Star Ambae kila siku anazidi Ku shine
Kweli Hapa aliokota dodo

NI kipi Kinacho kuvutia zaidi Kwa Msanii marioo ?Happy birthday  enjoy your day 🎉
31/12/2025

NI kipi Kinacho kuvutia zaidi Kwa Msanii marioo ?

Happy birthday enjoy your day 🎉

Bondia wa Uingereza  amenusurika kifo katika ajali mbaya ya gari leo, Jimbo la Ogun 🇳🇬.Gari aina ya Lexus Jeep aliyokuwa...
29/12/2025

Bondia wa Uingereza amenusurika kifo katika ajali mbaya ya gari leo, Jimbo la Ogun 🇳🇬.

Gari aina ya Lexus Jeep aliyokuwa akisafiri nalo liligonga lori lililokuwa limesimama barabarani. Joshua ameripotiwa kupata majeraha madogo, huku watu wawili wakipoteza maisha.

Swipe ⬅️

Dancer na content creator mkubwa Nchini Kenya  kwenye muonekano Mpya Wa kipara baada ya kunyowa nyele Zake  Vipi ameende...
29/12/2025

Dancer na content creator mkubwa Nchini Kenya kwenye muonekano Mpya Wa kipara baada ya kunyowa nyele Zake

Vipi ameendelea kuwa mrembo ama Bora angebaki na nyele ?

Baada ya Wawili kurudiana  ame post picha Akiwa na  kwenye IG Story Yake Uku harmonize ame haidi kumvisha Pete KAJALA Kw...
27/12/2025

Baada ya Wawili kurudiana ame post picha Akiwa na kwenye IG Story Yake
Uku harmonize ame haidi kumvisha Pete KAJALA Kwa mara ya pili baada ya Ile ya Kwanza

Swipe ⬅️

Msanii Wa bongo fleva  amekuwa Msanii Wa 5 Nchini Tanzania kufikisha watazamaji Billioni 1 kwenye mtandao wa YouTube Hii...
26/12/2025

Msanii Wa bongo fleva amekuwa Msanii Wa 5 Nchini Tanzania kufikisha watazamaji Billioni 1 kwenye mtandao wa YouTube

Hii ni mafanyikio makubwa kwenye Muziki wake na tanzania na East Africa

Swipe ⬅️

Kipi Kinacho kufanya uendelee kumshabikia mbosso Mpk sasa baada ya Miaka mingi kwenye game la Muziki?

Harmonize aliachia Nyimbo 3 usiku Wa kuamkia Leo na moja la Wimbo pendwa Kwa Wengi ni   Akiwa na mbosso khan Mpaka sasa ...
26/12/2025

Harmonize aliachia Nyimbo 3 usiku Wa kuamkia Leo na moja la Wimbo pendwa Kwa Wengi ni Akiwa na mbosso khan

Mpaka sasa Wimbo huo Una zaidi ya wasikilizaji 320k Kwa masaa 14

Uku comment zamashabiki Wengi wakisema harmonize Kwa mara ya Kwanza kafunikwa tena kwenye Wimbo wake Je ni kweli?

Baada ya kuachana na kirudiana na kuachana tena ,wamerudiana tena Msanii  na  wameonekana kurudiana baada ya Kila mtu ku...
26/12/2025

Baada ya kuachana na kirudiana na kuachana tena ,wamerudiana tena Msanii na wameonekana kurudiana baada ya Kila mtu kum-follow mwenzie Instagram na Jana usiku wameonekana Zanzibar ambapo Harmonize Alikuwa na show na kubusiana mbele ya Mashabiki
Video 👇

Address

Kiambu Road
Kiambu Road
1234

Telephone

+254745736132

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Banza Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Banza Media:

Share