Kakuma FM

Kakuma FM 24-hour Gospel Experience Kakuma FM is a 24- hour Christian radio station broadcasting gospel content on 91.7 frequency.

It is based in Kakuma Town and covers Turkana West subcounty and its environs. The station broadcasts primarily in Kiswahili with some programs in English, Arabic and the local Turkana language.

24/01/2025

Karibu Nyumbani Ijumaa!
Twafunga wiki kimtindo!
Unatusikiliza ukiwa wapi?
Kaaribu saana!

23/01/2025

Karibu Nyumbani Alhamisi!
Lingala Gospel Express!
Unafeel vipi?
Keep it 91.7 Kakuma Fm!

22/01/2025

Karibu Nyumbani mpendwa!
Burudani na ujumbe mzuri hadi tamati!
Unatisikiliza ukiwa wapi?
Keep it 91.7 Kakuma Fm!

21/01/2025

Karibu Nyumbani Tuesday Edition!
Tuna ujumbe maalum na burudani kabambe!
Unatusikiliza ukiwa wapi?

20/01/2025

Karibu Nyumbani mpendwa!
Unatusikiliza ukiwa wapi?
Burudani na ujumbe maalum!
Kaaaribu Nyumbani!!

17/01/2025

Karibu Nyumbani mpendwa!
Tunaifunga wiki kimtindo!
Ni burudani na ujumbe maalum!
Kaaribu saaana!

14/01/2025

Karibu Nyumbani Tuesday Edition!
Awamu ni ya nne yaani Lingala Gospel Express!
Mambo ni 🔥🔥.
Kaaaribu sana mpendwa!

13/01/2025

Karibu Nyumbani Monday Edition!
Lingala Gospel Express ndiyo awamu ya nne!
Unatusikiliza ukiwa wapi?

10/01/2025

Karibu Nyumbani Ijumaa!
Burudani na ujumbe maalum!
Unapongeza mwanafunzi yupi. Unapongeza shule ipi?

09/01/2025

Karibu Nyumbani!
Mwanafunzi wako amepata matokeo? Alisomea shule gani?
Hebu mtaje tumpongeze.
Ujumbe na burudani bila mushkili!

08/01/2025

Barabara Kabisaa!
Tupo hewani kukuletea zawadi sufufu za mwaka mpya. Karibu Nyumbani!!
Unatusikiliza ukiwa wapi ? Pamoja na nani?

07/01/2025

Karibu Nyumbani!
Mwaka bado mbichi. Tunakupa zawadi nzuri za mwaka mpya! Burudani na ujumbe maalum. Karibu saaana!

06/01/2025

Happy New year!
Karibu Nyumbani 2025!
Mwaka mpya hatua mpya!
Ujumbe maalum na burudani!

03/12/2024

Karibu Nyumbani Tuesday!
Burudani kabambe na ujumbe maalum!
Unatusikiliza ukiwa wapi?
Keep it 91.7 Kakuma Fm!

02/12/2024

Happy new month!
Karibu Nyumbani Monday!
Burudani na Ujumbe mzuri!
Unatusikiliza ukiwa wapi?

29/11/2024

Karibu Nyumbani Furahidey!
Awamuya nne hewani sasa!
Ni Lingala Gospel express!
Unatusikiliza ukiwa wapi?

27/11/2024

Karibu Nyumbani Wednesday Edition.
Burudani na ujumbe maalum!
Keep it 91.7 Kakuma Fm.
Unatusikiliza ukiwa wapi?

26/11/2024

Karibu Nyumbani Tuesday.
Im here.
Are you tuned in? Where are you listening from?
Keep it 91.7 Kakuma Fm!

Address

Kakuma Town
Kakuma

Telephone

+254799876633

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kakuma FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category