01/02/2024
Happy new Month wadau
01/2/2024.
KARIBU NDANI YA MMUST FM RADIO
103.9.
LEO NAONGEA NA RAIS WA CHUO CHA MASINDE MULIRO BWANA BENJAMIN MUTISYA ATUELEZEE NI KIPI SEREKALI YAKE IMEFANYA KWA MWAKA MMOJA NDANI YA GUMZO KAZINI KUANZIA SAA TANO ASUBUHI.
SWALI LAKO NI LIPI KWAKE?
PIGA SIMU AMA TUMA ARAFA KUPITIA 0703347080.
USIKOSE HII