SULTANA-citizen tv updates

  • Home
  • SULTANA-citizen tv updates

SULTANA-citizen tv updates Plz follow my page���
(1)

21/01/2023
14/01/2023
06/10/2022

Story Story😂😂😂😂😂
A man was dating 3 ladies and wanted
to decide who to marry. He then gave them a
test.
He gave each #100,000 and observed what each
did with the
money.
The first one did a total make-over which
included a fancy hair style, make up and
several new outfits. She then dressed up for
the man and said, "I have done this to make
myself more
attractive to you bcoz I love u so much."
The man was impressed.

The second woman went gift shopping for the
man. She bought
him a new smartphone, a watch and very flashy
clothes. As she
presented these gifts to him she said,
"I've spent all the money on you because I love
u so much."
The man ws again impressed.

The third one invested the money in the stock
market. She
earned #400,000 and gave him back his #100,000.
She then
deposited the remainder in a joint account. She
told him that she
wanted to secure their future bcoz she loved
him so much.
Obviously, the man was very impressed.

The man thought for a long time about what
each woman had done with the money.

In the end, he married Precious his neighbor who has the biggest buttocks and brèàst 🏃🏃.

Oh! You thought he would marry the last woman abi??😂😂.

The way he shock you, na so he shock me too 🤣🤣🤣 e shock you!!! 🤣🙆🙆

Good evening morning
Nmewamiss walai vbaya

04/10/2022

SULTANA WRITTEN UPDATES.
Wednesday on Sultana.

K**a kawaida kumbuka ku like before uanze kusoma 🙏 umesha like? Soma sasa 😊💪

Ua atauliza Sada ni mambo gani hayo amekua akimficha? Sada ataambia Ua ukweli kuhusu Dida na huo ujauzito. Sada atadai haoni k**a hiyo mimba ilikua ya JJ. Sada anadai Dida ni k**a mamake tu. Sada atadai ile siku ya birthday alishuhudia Fatma akiwatoa Dida na kaka magizani. Na Fatma hajawai kuongelea Hilo. Sada atadai ana wakika kuwa hiyo ilikua njama ya kumsingizia JJ mimba ambayo si yake. Ua atauliza what? Sada atasema lakini Ua amecheza k**a yeye alivyowafukuza. Ua after kusikia hii story hata nguvu ya kusimama atakosa. Ua atazimia.
Asya naye mahesabu mahesabu sijui ni ya nini. Anazurura kwa compound ni k**a anatafuta Kitu flani. Asya ataenda side ingine ya nyumba. JJ atatoka kwa nyumba na kumuita Asya. Asya atauliza JJ k**a alikua Anatoka. JJ atauliza Asya k**a kuna kitu amepoteza. Kidogo Sada atawaita kwa nguvu. JJ na Asya watakimbia kwa nyumba mbio. Sada anadai walikua wanaongea tu kisha Ua akaanguka. Wataanza kumpa first aid. JJ atakimbilia vifaa vyake kumpa mamake huduma za kwanza.
Fatma anaendelea kusema bado Major hapatikani. K**a Major angekua anapatikana hangeruhusu wafukuzwe. Dida atadai amechoka na Major kila saa. Dida ataambia mamake yeye ameacha bwanake huko anateseka, yeye ana concentrate na bwana ya wenyewe. Dida atauliza mamake alafu alikua anasukuma msichana wa Wenyewe kwa swimming pool ndio iweje? Fatima atadai anajua she's not the best mother in the world. Fatima anadai amefanya vitu unthinkable kwa sababu ya Dida, na pia Mungu ni shahidi. Lakini kitu kinamuuma ni ati kati ya watu wote wanamchukia ni Dida ako miongoni mwao. Fatma analia yale machozi yake ya crocodile tears 😂 Dida enyewe atakua mpole na kumpa mamake hug.
Wazee wetu ndio hawa wanashuka nduthi. Wanashindwa vijana watakua wameenda wapi. Mwanzele ata suggest watumie njia flani lakini Babu atadai anaona watakua hawajafika....

04/10/2022

SULTANA WRITTEN UPDATES.
Tuesday on Sultana.
Naona leo nimechelewa kiasi but please wela like before uanze kusoma 🙏

Maneno atadai anaona ni Bora waondoke hapa. Kokan atadai hatoki hapa hadi ajue nani amemfanya sultana ukatili huu. JJ atauliza Kokan if anaona yeye anaweza kumfanya sultana ukatili huu. Kokan atadai kk ndiye hulazimisha sultana aje huku. Alafu Kaka pale kando atashuhudia JJ na Sultana wameshikana mikono. Asya ataambia Kokan kila mtu anajua JJ hawezi kumdhuru sultana. Na hiki kitimbi kikifanyika JJ alikua ndani. Kokan atauliza ni nani basi? Asya atasema ni Fatma. Fatma ataanza ku pretend vile si yeye amesababisha. Dida ataingilia kati lakini Kaka atamzima kwa kumwambia haya hayamuhusu kabisa. Kwanza nani hajui Dida na familia yake wote ni wanafiki? Maneno atadai haya malumbano hayatawasaidia. Kokan atamchukua Sultana. JJ atauliza sasa wanampeleka wapi? Kokan atauliza Kokan tangu lini MTOTO wa mama akajua kulinda mwanamke? Kokan ataambia JJ hasidhubutu kumkaribia Sultana tena maishani mwake. Kokan ataondoka. Kaka ataingia kwa maji kuchukua kile kijiti cha Sultana cha kumwelekeza njia. Kisha ataambia Fatma ajue wajamalizana. Lazima yeye na familia yake walipie. JJ atabaki akisema since amjue sultana, hajawai kupata ajali akiwa peke yake. JJ anashuku kuna mtu anahusika. Sada atauliza JJ bado anashuku mpaka sasa? Hakuna mtu mwingine alimtia Sultana ndani ya maji isipokua huyu Fatma. Dida atakaribia mamake na kumwambia k**a ni yeye aseme tu. Fatma anajiliza akidai mbona amrushe kwa maji? Afaidike na nini? Fatima atadai anakumbuka last time Sultana akija hapa aliangusha keki na alikua na mkongojo wake, kwa nini leo hii iwe hivyo? Fatima atadai hapa hapamfai sultana na JJ si wa adhi yake. Sada ataambia JJ atumie mamlaka babake alimwachia. Kidogo kutoka juu Ua atadai amewapa Fatma na Dida dakika tatu. Akishuka asiwapate. Kisha atawatupia mabegi yake.
Sultana walifika kijijini. Watu wanauliza nani kamfanya hivi sultana????

04/10/2022

Good morning When your enemies are planning how to harm you, God is also planning how to stop them. Heaven shall fight for you in Jesus name.

03/10/2022

Updates tupatane kesho saa tano wakuu..pole kwa kuchelewa kuwaandikiaa anyway mlale poa nawapenda Sana❤️❤️

03/10/2022

K**a kwenu bado mnapika na mwiko work hard my friend hiyo maisha sio mzur🤨😂😂

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SULTANA-citizen tv updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SULTANA-citizen tv updates:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share