Meshack Rutoh

Meshack Rutoh Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Meshack Rutoh, Digital creator, Eldoret.

28/11/2023

Kulala ni kawaida lakini kuamka ni Kwa neema ya mungu chukua sekunde moja kusema Asante๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ’š๐Ÿ’œ

15/06/2023

' '.. -''CHEMSHA BONGO''--..''--.''๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Binti mmoja Alikatiwa na wanaume 4.
1.Msanii๐ŸŽ™๏ธ๐ŸŽถ๐ŸŽป
2.Mvuvi ๐Ÿšฃโ€โ™‚๏ธ
3.Askari ๐Ÿ‘ฎโ€โ™‚๏ธ
4.Doctor ๐Ÿ‘ฉโ€โš•๏ธ
Siku moja binti huyo alienda kufua mtoni , ghafla akatokea Mamba ๐ŸŠ๐ŸŠ akamchukua na kuzama nae kwenye maji
MSANII: Akamuimbia' mamba wimbo, Mamba akatokezea juu ya maji

ASKARI: Pale pale akampiga Mamba Risasi akafa, na binti alibaki akitapatapa ndani ya maji.

MVUVI: akaogelea kuenda kumuokoa,

DOCTOR: akamtibu hadi akapona.
Je......? ni nani anaestahili Kumuoa binti huyo kati ya wachumba hao????

09/06/2023

Good morning

20/05/2023

Address

Eldoret

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Meshack Rutoh posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Meshack Rutoh:

Share