21/12/2024
Nilienda kinyozi jana nimecheka karibu nifukuzwe๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kidogo kidogo kukaingia mrembo fulani na alikua na figure plus sura kuweza๐๐๐ aisee hio ilikua figure na sura zilikua zimeenda kidato๐๐๐ sasa mzee fulani kipara alikua ananyolewa zile nywele zinakuaga kando ya kipara nikaskia amesema๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mzee kipara: Wow!! Madam unakaa mrembo sana๐๐
Mrembo: Asante๐๐
Mzee kipara: Unatoka wapi hii kenya yetu??๐ค๐ค
Mrembo: Naishi hukutu karibu na center ๐๐๐
Mzee kipara: Naweza kupeleka out siku moja๐ค๐ค
Mrembo akanua mkono juu kuonyesha mzee kipara pete ndio ajue yeye ameolewa lakini kabla amalize kuinua mkono mzee kipara akamwambia๐คซ๐คซ๐คซ๐คซ
Mzee kipara: Ata mimi niko na bibi lakini nataka tukutane tukule mali polepole๐๐
Mrembo: Nitaambia bwanangu naenda wapi hio siku?๐ค๐ค๐ค
Mzee kipara: Utamwambia umeenda injiri ndio neno lifikie walio mbali na kanisa lenu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mrembo: Ebu mwambie hivo wewe mwenyewe๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mzee kipara: Tutapatana wapi na hio nugu yako niiambie hivo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mrembo: Hayuko mbali ndio huyo anakunyoa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mzee kipara: Unajua nakuaga mwenda wazimu usibebe maneno yangu serious ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐๐๐คฃ๐คฃ
๐ถ๐ถ๐ถ