Jûlîús Ñdùñdå

Jûlîús Ñdùñdå Real is rare
(1)

24/01/2024
Lakini kuishi kwa plot huwa ni tricky sana 🤔...Nimeenda kwa choo nikapata mzee amefanya mambo yake hapo kando 💩😞😞Nikaamu...
17/01/2024

Lakini kuishi kwa plot huwa ni tricky sana 🤔...Nimeenda kwa choo nikapata mzee amefanya mambo yake hapo kando 💩😞😞
Nikaamua sitajisaidia tena,nikienda kufungua mlango nitoke nikakutana na crush wangu akingoja nitoke aingie 😥🙆
🙄🙄 Me niko ready hata k**a ni DNA ya hiyo mafi💩 tufanye😂😂😂
Follow Jûlîús ÑdùñdJûlîús Ñdùñdå

17/01/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Grace Joy, Faith Mutheu

12/01/2024

Akona baby face 😊😊 But matako 🥴🥴🎤 imezeeka k**a kitabu Cha M_PESA 📘✍️.

12/01/2024

Hii Kenya unaeza pata kuna gay ama le***an mtaro😂😂💔

JûlJûlîús Ñdùñdå

05/01/2024

If you leave this world,

Your girlfriend will get another boyfriend.

Your boss will hire someone for your job.

But your mother won't get another You.

Take care of her.

26/12/2023

TIPS OF HOW TO SURVIVE IN NAIROBI CITY

1. Don't go to downtown if you don't have to.

2. If you move into a new house, use two padlocks no matter how of good quality they are.

3. Ukitembea tao uskie mtu amesema "oya oya" don't turn just move to the side.

4. When boarding a mat, check the condition of your window..that's where your phone might exit from.

5. No one should pray for you on the streets regardless of your situation in life.

6. Chapati will always be 10bob, Smokie 25bob, mayai 20bob.

7. Afya Center..don't even stop to swallow your saliva, pita ukikimbia. Walk mercilessly! And if you have hips,use them to pave way for yourself!. Elbows pia ni weapons... Unapita ukienda bila kuangalia nyuma.If someone hits you as you walk along the streets,hit them back because no one apologizes for such mistakes in this ciry!!

8. If you feel lost just go to Archives, you will pick your bearing from there.

9. Incase someone drops anything Infront of you ,don't pick ,run like your life depends on it. Hata ukiitwa siste siste ,achana nayo.

10. Instead of going to kanjo washrooms, just get into Ushirika house, tell the guards you are going to office 24, it is actually a washroom labeled by mistake or If you are pressed, ingia Hilton, Stanley, Norwich union etc ..confidence is key here..Kuna free parking Serena..play like yourself though..

11. Wakati wa mvua usinyeshewe K**a mimea Hapo kwa corridors, get in Supermarkets watch news from 85" Samsung Screen.Fanya window shopping hata k**a hununui kitu
Confidence ndio muhimu. Be smart nani!!

12. Don't bargain on everything..the trick is, the quality will keep reducing as the price goes down.

13.Avoid eye contact na hawker especially ukiwa traffic jam. Otherwise you've already signed a purchase contract.

14.When tired under scorching sun in town, don't go to Archives or Hilton. Just go to KCB KENCOM, pick a bank ticket and sit there the whole day. You will have a great rest.

26/12/2023

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Christine Wavinya, Stella Mueni

07/12/2023

Bro unashagaa n kwa nn ukiomba dem anakunyima👌💪😋kumbe n maombi ya mamako wueh😀😀

10/11/2023

Na Monday n siku ya kupanda miti😂😂😂😂tunapanda mpaka Kwa majirani

09/11/2023

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Charles Mutuku, Peter Petre, Monicah Anindo

26/10/2023

Sai uchukue pst na malaya uwafunge kwa room moja lazima mmoja atabadilika 🤣🤣🤣🤣😋😋😋😋😋😋

25/10/2023

Siku izi hawasemi sii hapo 😹😹😹 ni wewe mwenyewe uchague unataka wapi 😂💔na nimeenda🙄🙄😆

22/10/2023

Sijawai ona mtu anatoka swimming pool akakojoe.....
That's why i will never swim in a swimming pool🤣🤣🤣🤣

03/10/2023

Ukiwa na fifty mbili utakuwa na two fifty 🤔 but ukipiga hesabu vizuriii ,,, one fifty plus one fifty ni Mia tatu,,,,🥺😂

18/09/2023

KUKU hutupima akili sana ikikibizwa na jogoo dakika mbli imechoka sasa wewe jaribu uikimbize mtashinda the wholeDay😂😂😂😂
MuliMulinge Mutindainda,Ras Ras Muuani Katina WimbuaRas Muuani Katina WimbuiRas Muuani Katina Wimbubu,@

FAIDA KUU TATU ZA SIGARA AMINI USIAMINI1. Mvuta sigara hazeeki2. Mvuta sigara haumwi na mbwa3. Mvuta sigara nyumbani kwa...
16/09/2023

FAIDA KUU TATU ZA SIGARA AMINI USIAMINI

1. Mvuta sigara hazeeki
2. Mvuta sigara haumwi na mbwa
3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi

UFAFANUZI
"""""""""""''"""
●. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu

●. Haumwi na mbwa kwa vile kifua na mapafu yanapooza na muda wote hulazimika kutembea na bakora mkononi

●. Nyumbani kwake haingii mwizi kwa kuwa inafika wakati ambapo halali. Atakohoa usiku kucha hivyo mwizi anajua yupo macho kumbe kikohozi tu.
😅😂😂@followers

08/09/2023

Ama tumatiti twa wanaume
Ni Nut za kufungilia chest😎🙈

ama niwache bhangi 😂😂

Address

Makueni Boma
Eastern

Telephone

+254708104806

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jûlîús Ñdùñdå posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jûlîús Ñdùñdå:

Share