08/08/2024
𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐍𝐄𝐄𝐌𝐀 𝟗𝐓𝐇 𝐀𝐔𝐆
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Juzi Isabelle aliumia mguu,Sharon akaanza kumganda akiweka dawa,leo hii,Sharon mkono iliwekelewa,ni Isabelle anamganda huku anamuuliza Sharon,mbona ukafanya hadi baba Val akaona picha zako na Mark,huoni unarisk sana? Sharon akamwambia sikzia Isabelle,Mark aliniacha mimi ju ya Rachael na wakahepa pamoja. Nilikonda sana na hapo ndio Dan akanikatia na mimi ju niliona Mark ameenda,nikakubali tu Dan na hivyo ndio nilifanya makosa hadi sai siezi pata Mark. Isabelle alimwambia itabidi uzoee tu,ju sai ako na bibi,Cate, na ako ball. Sharon aliambia mimi nimeshindwa kusahau Mark,siwezi sahau huyu mwanaume. Kwani how deep was Sharon's love kwa Mark🤣🤣🤣
Jojo wakati anatokea chuo,alipitia kwa shop ya kina Jayden akaomba k**a anaeza ongea na yeye kiasi. Jayden hakukataa,ju mtu hakatai wito,hukataa anachoitiwa. Jojo ashaanza kuwa mzuri. Jojo aliambia Jayden,najua nimekua mrude sana kwako na niliona ni poa nikiomba msamaha. Jayden alimwambia haina shida, apology accepted.😂😂😂
Isabelle aliambia Sharon,itabidi tu ungoje bwana yako arudi mkae chini muongee. Sharon alimwambia mimi sitaki kuona huyu mwanaume,na mimi hapa,Mark ananiumiza sana hadi jana wakati aliniona badala ya kunihurumia still aliniumiza tu akiniangalia na chuki kwa macho. Isabelle akamwambia hapo sasa,ju wewe ndio ulifanya Mark na Neema wawe na hizo shida, hapo jilaumu wewe mwenyewe,mimi usaidizi naeza kupea ni kukuombea tu uache mdomo🤣🤣🤣
Jojo ashaanza kupendezwa na Jayden hadi anamuuliza nasikia unakuanga number 1 shule. Jayden akamwambia yeah,ni ju napenda focus na kuweka bidii sana kwa kila jambo nafanya. Jojo akamwambia ni sawa,kuna venye...yani kuna venye...but ni sawa,have a lovely evening. Jayden kurudi kwa shop,babake akamuuliza nasikia anaomba msamaha ni wa nini huo? Jayden akamwambia yeah,I think ameanza kutokua mrude. Babake Jay alimwambia my son, you have to be careful.
Wale vijana wenye walishikwa,hatimaye washachailiwa na Isabelle aliletea Sharon abari njema,akamwambia wale wenye walishikwa washaachiliwa na kesho tunaenda kushukuru Neema. Sharon akamwambia mimi huko siezi enda na k**a mshachukulia Neema k**a malaika,mtafutie medal mumvalishe😂😂 Isabelle aliambia Sharon naona nik**a ungali na wivu kwa Neema sindio....
Jojo kufika nyumbani,mamake amevimba,mbaya mbovu,akamuuliza mum,shida ni nini? Neema akamwambia its like sijui much anymore about you,unaeza aje ambia such matter kwa kila mtu apart from me? Jojo akadhani ni Mark alisema lakini Neema akamwambia its your aunt Naomi aliniambia. Jojo alimwambia mamake,she just didn't want her mum kuwa upset but Neema akamwambia Iam already upset with you,Iam your mother for God's sake,how can I even trust you sasa? Jojo alimwambia Iam sorry,it wont happen again.
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Majioni Dan ndio anaingia nyumbani,akapata Sharon amejam, mbaya sana. Akakuja akakaa karibu na Sharon akamuuliza,bado unafikiria Mark sindio? K**a unamfikiria,toka kwangu uende ukae na yeye,lakini Sharon alimwambia huyo ni past yangu simfikirii tena. Dan akamuuliza na hizo picha je? Sharon akamwambia Mark ni msee tuligrow na yeye,na hata hizo picha sikua najua zilikua hapa. Hapo Sharon alidanganya😂😂
Yani hawa ati wanasolve but ile kelele zinapigwa hapa hadi Dan akamwambia na uache kuzunguka ukitaja taja jina ya Mark mtaa mzima. Sharon akamwambia kwanza unasema hivo na huyu Val ni rafiki mkubwa sana wa huyo Neema mwenye ako kwa Mark,na akiingia kwa tabia mbaya utajilaumu. Dan akamwambia hata huyo usijali, nitaongea na yeye na hatawai enda huko na asipo nisikia ataona moto. Kuna tupesa Dan alitoa k**a elfu tisa hivi kisha out of 9k akatoa 500 akapea Sharon😂😂😂akamwambia hizi utapea Val anunue manguo. Sharon akamuuliza surely,500 hata haziezi nunua dawa ya panya. Dan akaongeza elfu tatu akampea na akauliza Sharon,si sasa nipate kachai😂😂😂
Hebu tufike kwa Mark kiasi,Neema alimpata akisoma kakitabu fulani hapo na kuna maongezi ilikua waongee kwa simu but kuna venye Neema aliongelesha Mark rudely ju she was just bitter. Mark alimwambia usijali,naelewa ulikua stressed. Neema worry yake ni k**a yule msichana mwenye Jojo alikosea ataamua kupress charges but Mark akamwambia what if tuplan kumeet na wazazi wa mtoto tuongee nao,Iam sure wataelewa.
Mark na Neema walikua na more to talk hadi wakafika place Neema akauliza Mark,mbona Sharon anamchukia hivi? Mark akamwambia she is jealous of you. Neema alishindwa sana,sasa Sharon anakua jealous kwake why? Neema hana habari sababu ni Mark. Hadi Neema kuenda,Mark alianza tu kucheka,anaimagine ati sasa yeye na Sharon😂😂😂
Ahaa! Leo hii Jojo akingoja mat, Jayden alikuja akasimama hapo pia anangoja gari. Jojo akakuja kwenye Jayden ako akamuuliza mbona unapenda kutumia public means na uko na gari? Jayden akamuuliza ile gari ulisema mzee ama kuna ingine😂😂slow by slow,Jojo ashaanza kuwa close to Jayden.
Mark na Neema walikuja kuongea na madhe wa yule mdem Jojo alikosea lakini k**ama kako juu mbaya,hakataki kuelewa. Mark alimuelezea kwa kina sana na kumbe wakati Mark anaongea,huyu madam alianza kumnoki😂😂akamuuliza by the way unafanya kazi gani? Mark akamwambia namanage greenhouse. Madam akamwambia hadi napenda flowers sana. Mark akamwambia if you don't mind naeza kualika ukuje uone venye kunakaa. Madam boss aliitika haraka sana na Mark akatoa suggestion akasema madam akuje na daughter wake na Neema akuje na Jojo they make peace.
Jojo akipelekwa shule na Kevo,chali wa Val,alimuuliza Jojo,venye hii shule yenu ni ya masonko, iliendaje sai unajipata huku? Jojo akamwambia come on,mind your own business,sawa. Kumbe Kevo alijam akasimamisha gari akaambia Jojo sikiza, una bahati nafanya hii yote ju ya Val naeza kutoa nje ya gari mbio sana. Jojo akajua hapa,asipokua makini kitamramba siku moja. Jojo,kuwa makini sana.