10/11/2024
MIMI NIKO AMBAYE NIKO.
Mara mingi mwanadamu hujiona kana kwamba ako peke yake kimaisha. wakati wa changamoto zinapo mpata walaki leo natia mtu moyo yakwamba MIMI NIKO Ako pamoja nawe Exd 3:14. .