23/08/2023
Kuishi keja😴😴moja na watu wenu ni tricky sana.My first time kukuja Nairobi i remember nilikuwa msoto😢😢and i was living with my brother Brayo kwa single room ya mabati😴😴.Kila siku tulikuwa😤😤tunaenda ku hustle ndio tupate doo za food😢😢.Supper tunapika Sembe kubwa na sukuma wiki🤐🤐. Tunakula Sembe nusu tunabakisha half ndio turaukie asubuhi na Chai😱😱. Si mnaelewa😯!
Sasa shida iko hapa. I remember one day nikiingia kwa bed lakini usingizi😜😜ikakataa ku come kabisaaa juu nilikuwa naogopa bro wangu Brayo anaeza changamkia hiyo Ugali na asingizie Panya😉😉.
On the other hand🙁kumbe bro wangu👍alikuwa na the same same fears👀infact zake ni double juu anajua😎mimi ni Sembeholic✊✊mbaya sana naeza ichafua hiyo🤔🤔ugali hata na Chumvi ama Avocado akiwa amedoz😃.
One day nilitoka kwa bed🙁🙁kisniper kucheki hiyo mlima ya Ugali k**a iko ama imewekwa level na bro wangu😈😈.
Nikaenda hadi penye Sembe iko😊😊, saa hiyo giza iko kibao but🤗🤗huwezi guza hata Meza juu mind yako iko focused kwa Sembe🙄🙄. Unaruka mtungi ya Gas na ndoo ya vyombo chafu successfully😋😋.
Ile time nilienda kuinua Sufuria yenye🤓🤓 tumefunika nayo ugali nikagusa🤔🤔mkono ya bro wangu mwenye nilidhani amedoz😁😁.
K*mbe jamaa alishatangulia before me. Mshtuko ikanipiga hadi nikasikia ku collapse nikifikiria ni Ghost😬😬.But vile mimi ni mjanja nikamshow😎😎"yaani kumbe ile panya nilikuwa nasikia ni wewe".
Pia yeye kujibu habahatishangi akanijibu😜😜"hata mimi nimeshtuka kujua hiyo panya ni wewe✌".
Hapo ilibidi tugawane kila mtu share yake😋, tukakula ndio at least tulale na Amani😂😂😂.
Follow for follow
Hon. Josphat BarackHon. Josphat BarackHon. Josphat BarackHon. Josphat BarackHon. Josphat Barack