Mapya sud kivu 2

  • Home
  • Mapya sud kivu 2

Mapya sud kivu 2 Habari mpya za wasani

Musani mukubwa apo uvira Mr ALIMASI amemukashifu BELAMI MUKA sikiya alicho andika kweye page yako 👇👇👇👇👇👇👇👇👇Niliwambiyaka...
23/07/2024

Musani mukubwa apo uvira Mr ALIMASI amemukashifu BELAMI MUKA sikiya alicho andika kweye page yako 👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Niliwambiyaka kwamba Belami Muka ana uwezo wakufanza collabo na INNOSS'B mukanipinga watu wengi andi leo collabo iyo ipo wapi. Uyo awezi faza collabo na innoss'B namupa mwaka 5 akifanikisha kupinga picha tu Innoss'b nitaasha music

Tusibaki kwakuposti vitu ambavyo atuja fikamilisha tuache chobo

Show moja ya Diamond analipwa milioni 225
23/07/2024

Show moja ya Diamond analipwa milioni 225

Uyu kijana anafanana na musani gani apa uvira
30/06/2024

Uyu kijana anafanana na musani gani apa uvira

LEO NATAKA KUJUA WANGAPI WANAFUATILIA MOVIESHIKI KIPANDE NI CHA MOVIES GANI
16/06/2024

LEO NATAKA KUJUA WANGAPI WANAFUATILIA MOVIES
HIKI KIPANDE NI CHA MOVIES GANI

Umesha tizama iyi vidéo Kali ya MUSANI mukubwa wa uvira Mr alimasi tayari ipo ndani ya youtube AMBAYO ametumiya pesa nyi...
15/05/2024

Umesha tizama iyi vidéo Kali ya MUSANI mukubwa wa uvira Mr alimasi tayari ipo ndani ya youtube AMBAYO ametumiya pesa nyingi sana

Msanii Maarufu Kivu mjini Uvira Mr Gave kwasasa anaumwa analazwa hospitalini mashabiki maombi yenu inaitajika ! Kwa Mr G...
14/05/2024

Msanii Maarufu Kivu mjini Uvira Mr Gave kwasasa anaumwa analazwa hospitalini mashabiki maombi yenu inaitajika ! Kwa Mr Gavee

Muonekano mupya wa ki Sta BAGRESS MUSIC Wimbo Gani Ya WASANI WA KUNDI YA   AMBAYO INA VUMA SANA UKO KWENU ?
01/04/2024

Muonekano mupya wa ki Sta BAGRESS MUSIC

Wimbo Gani Ya WASANI WA KUNDI YA AMBAYO INA VUMA SANA UKO KWENU ?

Hapa kuna wasanii wawili kutoka Tanzania😂 👉Tazama kwa makini unamfahamu Nani na Nani hapo?👈🎸🎸👇👇 # ʭɸʭ Kinara ɸʭ
11/02/2024

Hapa kuna wasanii wawili kutoka Tanzania😂 👉Tazama kwa makini unamfahamu Nani na Nani hapo?👈🎸🎸

👇👇
# ʭɸʭ Kinara ɸʭ

Wimbo   yake msani wa k**e mjini uvira   aliyo mshirikishaka Sadi baba Simba ndiyo Wimbo wake Ambao una vues nyingi kwen...
09/02/2024

Wimbo yake msani wa k**e mjini uvira aliyo mshirikishaka Sadi baba Simba ndiyo Wimbo wake Ambao una vues nyingi kwenye mutandao wake wa youtube 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼

✍️ Wimbo imekua njo vidéo ya msani ambayo iko kwenye mutandao wake n'a ina vues nyingi 145K mu miaka Tanu Tangu uwekwe rasmi kwenye mutandao wake.

HIYI NJO WANASEMAKA STYLE NI ROHO NGUVU 🖖MSANI   NJO BYANGU
09/02/2024

HIYI NJO WANASEMAKA STYLE NI ROHO NGUVU 🖖

MSANI NJO BYANGU

VIDEO YA WIMBO   YAKE MSANI    NJO WIMBO PEKEE YA MSANI WA UVIRA AMBAYO INA VUES NYINGI KWENYE MITANDAO WA YOUTUBE 🙏🏼🙏🏼✍...
07/02/2024

VIDEO YA WIMBO YAKE MSANI NJO WIMBO PEKEE YA MSANI WA UVIRA AMBAYO INA VUES NYINGI KWENYE MITANDAO WA YOUTUBE 🙏🏼🙏🏼

✍️ Imeeneza tayari 8.400.000 vues ( 8.4M ) kwa mwaka moja

Wengine wasani akuna ata umoja ambaye Wimbo wake una fikisha 700k 🙏🏼

🔴 Kwa Wale Ambao wanaelewa Mambo ya mitandao kwaraka araka wana pashwa kuilewa pesa ambazo mwana dada uyo ameingiza kupitiya hiyo Wimbo

WIMBO GANI YA WASANI WA GROUP KUBWA MJINI UVIRA   AMBAYO INA VUMA UKO KWENU ?
06/02/2024

WIMBO GANI YA WASANI WA GROUP KUBWA MJINI UVIRA AMBAYO INA VUMA UKO KWENU ?

Collabo kati msani kutoka Congo 🇨🇩 Uvira   n'a msani kutoka tanzania 🇹🇿 Ney wamitego ILIPO wekwa wazi , mashabiki wengi ...
06/02/2024

Collabo kati msani kutoka Congo 🇨🇩 Uvira n'a msani kutoka tanzania 🇹🇿 Ney wamitego ILIPO wekwa wazi , mashabiki wengi kutoka Congo n'a Tanzania walisubiri kwaamu kubwa 🙌

Ila mupaka sasa Kimia kina zidi 😒

IVI UNA ZANI HIYI COLLABO IKO ?
AMA ALITAKA KUDANGANYA WATU ?

_______________________

Ila kikosi cha mapya uvira Tv kina mutafuta ili aweke wazi kuusu collabo hiyo 👆

TOWA MAONI YAKO

Musani kutoka mujin uvira   yeye ndo wa kwanza kupewa simu kubwa kuwa sani walipewa mazawadi
05/02/2024

Musani kutoka mujin uvira yeye ndo wa kwanza kupewa simu kubwa kuwa sani walipewa mazawadi

Msani maarufu ESt Africa    amekua Msani mwenye kufanya Safari nyingi sana ndani ya ma inchi tofauti tofauti ilishaenda ...
04/02/2024

Msani maarufu ESt Africa amekua Msani mwenye kufanya Safari nyingi sana ndani ya ma inchi tofauti tofauti ilishaenda Kenya Tanzania Congo na soon ataenda 👇
1 Africa kusini, Canada, Nigeria na Congo pia 🇨🇩

Nigeria atakwenda kufanya collabo k**a sio atakua ni

WASANI WA NEW GENERATION ( CHIPUKIZI) AMBAO WANAONEKANA KUWA NA KIPAJI KIKUBWA CHA KUIMBA VIZURI SANA 🖖🔴NANI MUKALI WAO ...
03/02/2024

WASANI WA NEW GENERATION ( CHIPUKIZI) AMBAO WANAONEKANA KUWA NA KIPAJI KIKUBWA CHA KUIMBA VIZURI SANA 🖖

🔴NANI MUKALI WAO ?

👉 1

?? 2

👉 3

👉 4

👉 5

👉 6

👉 7

👉 8

👉 9

👉 10

👉 11

👉 12

Tayari msani wa New generation   Yuko mjini Goma , ambako amepita kwenye radio Kivu Stars ndani ya kipindi kinacho ongoz...
02/02/2024

Tayari msani wa New generation Yuko mjini Goma , ambako amepita kwenye radio Kivu Stars ndani ya kipindi kinacho ongozwa n'a Calvin mulungu animateur 🤞🖖

✍️ Mupaka sasa anaendelea kufanya vizuri n'a Wimbo wake ambayo ina vidéo kali 🖖🖖🖖🖖

Msani    Baada yakumiliki Iphone macho 3 asema kwamba hatakua napokeya tena appel za itel TECNO....... Mpaka mwenye Iko ...
01/02/2024

Msani Baada yakumiliki Iphone macho 3 asema kwamba hatakua napokeya tena appel za itel TECNO....... Mpaka mwenye Iko naye n'a Iphone 14 Promax je ni Ushamba ? Ujumbe wake huu 👇
Nilisha Baambiya K**a Sipendi ku pokeya Appel za Ma Tecno, ITEL Ect… K**a Ahuna Macho Ma3 Usinipigiye

Address

Kabulimbo

Telephone

+243975676599

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mapya sud kivu 2 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mapya sud kivu 2:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share