LES ANGES DU CIEL : Lengo letu kwenda Burundi ni kwa ajili ya kutangaza zaidi injili kupitia vipaji vyetu vya uimbaji.
Acha tukujuze hili : watu wengi wanaishi jijini Uvira na awajuwi jiji la Uvira lina Commune ngapi.
Kupitia kipindi chetu cha #TUJUZE tumepita na Mic yetu mtaani kweli utacheka na majibu ya wengi. Kama wewe unajuwa, basi wajuze wengine ili wajuwe jiji la Uvira lina Commune ngapi ?
"Msaada wa mashabiki wa Uvira bado aijaonekana" LIMOKO MUSAFIRI kocha wa AS Maika
"Ubovu wa timu ya Maika uko katikati na nyuma" MWISA kocha wa timu ya BRESIL AC ya Goma
Uvira : Déclation relative à la motion de défiance contre Alexis Gisaro, les membres de la dynamique Alexis Gisaro dénocent une compagne systématique visant à ternir l'image du MinEtat des ITPR.
"Tuko na timu mbili za Uvira ndani ya LINAFOOTLigue2. Itakuwa uzuni sana mashabiki wa Uvira wakishindwa kuja kusapoti timu zao" LIMOKO MUSAFIRI kocha wa AS Maika
"Tutajitaidi turudi Goma na pointi tatu" Hassan kocha wa DC VIRUNGA
"Timu ya AS MWANGAZA imejitayarishisha vizuri. Atuna uoga wowote ni kiwanja njo kitaamuwa nani mshindi kati yetu na DC VIRUNGA" KIRERO Amisi kocha wa AS MWANGAZA
"Timu ya JSB AJAX imejiandaa vizuri kwa ajili ya mechi ya kesho dhidi ya MAIKA ila tatizo tumepoteza wachezaji wengi sana" Baseme Shangalume kocha wa JSB AJAX ya Bukavu.
"Mechi yetu ya kesho juma pili dhidi ya JSB AJAX ni mechi ngumu kwetu ila aitasababisha sisi tusicheze vizuri" Santa Emmanuel Kocha wa AS MAIKA
Des structures communautaires, membres des réseaux capacités sur les innovations du code de la famille.
"Awakucheza style ambayo niliwaambiya wacheze ila wakacheza style ya Fc Vivi ndomana tumefungwa" BEBE GULA kocha wa Maze Fc