
02/05/2022
TOP 5 NGOMA ZA TOWN
Bahada yakustopisha kupiga kura hiyo samedi na 14h00 kwenye page yetu ya facebook NYOTA YA MSANII, basi haya ndo matokeo ya zile ngoma 5 zilizo chaguliwa zaidi week iliyo pita ambayo tume clôturé leo hii lundi.
5. MAMA Kutoka kwa AS-BOY NYUKI kijana chipukizi alie shangaza wengi kuingia kwake top 5 ngoma za town.
4. HAUSHANGALE Kutoka kwa ProfMirror Mangala Mbunga ambaye week hii akupanda wala kushuka kwenye nafasi yake hiyo ya ine.
3. TOLOCHANA Kutoka kwa MR. GAVE ambayo imepoteza nafasi mbili kutokana na ujio wa molo molo.
2. SHEMEJI Kutoka kwa ACHILLIAN ambayo aikushuka wala kupanda kwenye nafasi yake hiyo ya pili.
1. MOLO MOLO Kutoka MR. GAVE ambaye ngoma zake mbili zimepigiwa sana kura ama vote kwenye page yetu ya facebook nakujikuta na deux chansons mu top 5 ngoma za town.
TUKUTANE WEEK IJAYO MARDI LE 03/05/2022 ILI TUANZE NA VOTES ZINGINE ZA TOP 5 NGOMA ZA TOWN 🔥🔥🔥
Akikisha uja muangusha msanii wako week hii ku vote 👌