MTV News DRC Pour de vraies nouvelles pour vous

Milio ya risasi ya kila siku Mashariki mwa DRC yasababisha wanawake wengi kuwa na ugonjwa wa moyo
03/02/2024

Milio ya risasi ya kila siku Mashariki mwa DRC yasababisha wanawake wengi kuwa na ugonjwa wa moyo

Watoto katika Mji wa sake unao patika wilayani masisi kilometa zaidi ya ishirini magharibi mwa Mji wa Goma kivu kaskazin...
03/02/2024

Watoto katika Mji wa sake unao patika wilayani masisi kilometa zaidi ya ishirini magharibi mwa Mji wa Goma kivu kaskazini waelezea kuchoshwa na Vita vya mara kwa mara eneo lao.

03/02/2024

wakaasi wa sake waendelea na shughuli za zao japo mapigano karibu nao

03/02/2024
Drc mapigano makali yaendelea kati ya jeshi la serikali na waasi wa M23 ambao serikali ya Kinshasa yasema wanasaidiwa na...
03/02/2024

Drc mapigano makali yaendelea kati ya jeshi la serikali na waasi wa M23 ambao serikali ya Kinshasa yasema wanasaidiwa na Rwanda.
Wakaazi wa shasha wakilazimika kukimbia makaazi yao kuhufia usalama kutokana na milio ya mirindimo ya risasi.

02/02/2024

Duniani leo

02/02/2024

SANGO YA MOKILI LELO

02/02/2024

Watu 3 wamefariki katika ajali ya moto usiku wa kuamkia leo baada ya kituo cha kuuza bidhaa za petroli kushika moto eneo la Embakasi Nairobi. Zaidi ya watu 200 wanauguza majeraha mabaya ya moto.

02/02/2024

Mutu mmoja afariki Dunia na wengine wa 3 kujeruhiwa kwa Bomu ambalo wakaazi wasema limetokea upande wa M23 bomu hiyo imeanguka katika kata la Mugnga Mjini Goma.

01/02/2024

ITV TANZANIA AND MTV ONLINE

01/02/2024

Burundi yatangaza uwepo wake muhimu wa kijeshi kwenye mpaka na Rwanda.

DRC MASISIMapigano makali yaendelea kati ya jeshi la serikali ya Congo FARDC na waasi wa M23 wilayani masisi,taarifa zas...
01/02/2024

DRC MASISI

Mapigano makali yaendelea kati ya jeshi la serikali ya Congo FARDC na waasi wa M23 wilayani masisi,taarifa zasema vijiji vyenyi kuwa eneo la madini huenda vimechukuliwa na waasi wa M23 ambao serikali ya DRC inasema wanasaidiwa na Rwanda,kila Mara Rwanda ikikanusha .mwanzoni mwa wiki hiii Rais wa DRC Felix Tshisekedi alisema hakuna mazungumuzo yoyote na waasi wa M23 atakayo fanya ila jeshi la Congo AFRDC likiungwa mkono SADEC lita hakikisha lina tafuta adui wa DRC.

01/02/2024

Ituri

shirika la msalaba mwekundu mwekundi mkoani Ituri lasema kuwa lili fayulu kuwasaidia wakimbizi wa vita zaidi ya miambili kwenye kituo Rwankole, mjini bunia.

Hii ikiwa ishara kwamba mlaba mwekundi nchini DRC unaendelea kuwajibika kwa uwezo walio nao.

Constant Same Bagalwa toka huko Bunia, atuelezea kamili.

31/01/2024

DUNIANI LEO

31/01/2024

DRC/MTV

watu zaidi ya Nane wa uliwa Na wanao dhaniwa kua ADF kijijini BAETI kaskazini mwa mji mdogo wa oicha wilayani BENI.

31/01/2024

DRC -Rwanda
Vyombo vya usalama kwenye mpaka mdogo kati ya Rwanda na DRC Petite Barrière Goma vyasema tatizo kidogo lililo tokea limepata suluhisho na wananchi wa mataifa mawili wameanza shughuli zao za kibiashara mambo mengine yakiendelea kutatuliwa kwa pande zote .

TANZANIASerikali imesema inaendelea kuhakikisha inaboresha miradi ya kimkakati kwenye sekta ya usafiri iliyopo ili kusai...
31/01/2024

TANZANIA

Serikali imesema inaendelea kuhakikisha inaboresha miradi ya kimkakati kwenye sekta ya usafiri iliyopo ili kusaidia katika ukuaji wa uchumi hasa kupitia sekta ya usafirishaji kwa njia ya maziwa.



Meneja Mipango kutoka Kampuni ya huduma za meli Nchini (MSCL) Mhandisi Gaspar Semoka amesema hayo baada ya kutembelea bandari ya kigoma ili kujionea ukarabati na matengenezo unaoendelea kwenye meli zitakazofanya safari zake ndani ya ziwa Tanganyika.

“uboreshaji wa meli hizi ni hatua ya kuimarisha usafirishaji na biashara kwa wafanyabiashara kati ya mataifa ya Congo, Burundi na nchi nyingine za maziwa makuu na itaongeza uchumi kwa wananchi na taifa kwa ujumla”.

Aidha amesema ipo miradi mingine ambayo inaendelea kutekelezwa ili kuhakikisha huduma za usafiri kwa njia ya maji zinzrejea zikiwa imara.

Kwa upande wake, Msiamizi wa mradi wa ukarabati wa meli ya mafuta Mt.Sangara Mhandisi Kariuki Njenga amesema mradi wa ujenzi wa meli hiyo umefikia alimia 92 na ikikamilika itaanza kutoa huduma haraka.

Tryphone Odace, Mtv Tanzania.

30/01/2024

MATANGAZO YA JIONI VOA

Adresse

Goma
Goma

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque MTV News DRC publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Vidéos

Partager


Autres Agence médiatique à Goma

Voir Toutes