![HUU NI UJUMBE WA PONGEZI NA MOTISHA KWA Matty amissi (MATTY AMISSI )Matty Amissi, mimi napenda kusema asante sana kwa ka...](https://img5.medioq.com/311/063/1345284043110631.jpg)
08/01/2025
HUU NI UJUMBE WA PONGEZI NA MOTISHA KWA Matty amissi (MATTY AMISSI )
Matty Amissi, mimi napenda kusema asante sana kwa kazi nzuri unayo fanya. Wewe ni kijana ambaye umeleta mabadiliko makubwa kwa sanaa ya Uvira. Leo hii, muziki wa Uvira unajulikana mbali na Uvira, na hii ni kwa sababu ya juhudi zako.
Kwa kupitia kazi yako, leo tuna waandishi wengi wa habari mtandaoni, na kurasa(pages)nyingi za Facebook za vyombo vya habari, jambo ambalo hapo awali lilikuwa halipo.
Wewe umekuwa mfano mzuri kwa vijana wa Uvira na wengine wengi.
Najuwa wengi awato kubaliyana na mimi ila mimi naongeya ninacho Kujuwa.
Umeweza kusaidia wasanii wengi kwa kuhamasisha kazi zao, kwa kuandika maandiko ya video zao(script), na kwa kuwaunga mkono katika kukuza vipaji vyao.
Leo, tunapozungumzia vijana wengi wanaofanya kazi nzuri k**a waandishi wa habari, na watengenezaji wa maudhui(créateur de contenu), tunakukumbuka wewe kwa mchango wako mkubwa.
Leo atuwezi Tuka ongeleya sanaa ya uvira bila kuongeleya were Matty Amissi
Nimengi saaana siwezi kuya taja ila Asante kwa yote endeleya kujipa moyo.
Asante sana kwa kuwa na roho ya kujitolea, kwa ujasiri wako, na kwa kutuwezesha vijana wengi kufikia malengo yetu. Hongera na tutaendelea kukuunga mkono.
TinaMagambo Queen rosine MAPYA UVIRA Kivu flever Mista Champagne RAMA KELLY RK Eloge Lulonga IamFiziboy Didier Doctor Official David El Presidiaro Mr Gave Innocent BUDA Spider Google Les Stars Du Kivu Belami Muka Achillian Charlie La Charmante Les motivés de Innocent BUDA Mokili Pouvoir Le N***e